Ujumbe wa MO mitandaoni

Ujumbe wa MO mitandaoni

Ileje

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
13,544
Reaction score
21,094
By Mwandishi Wetu, Mwananchi

IN SUMMARY
Mfanyabiashara Mohamed Dewji ametumia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Twitter kuandika ujumbe kuhusu anayekufanyia mabaya umlipe kwa mema na kuwagusa watu wa kada mbalimbali

Dar es Salaam. Ujumbe wa mfanyabiashara Mohamed Dewji ‘Mo’ aliouweka katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Twitter akizungumzia kutenda mema hata kama umefanyiwa ubaya umeibua mjadala mitandaoni.

Katika ujumbe huo Mo ambaye alitekwa na watu wasiojulikana Oktoba 11, 2018 na kupatikana Oktoba 20, 2018 ameandika, “Hutofanya ubaya kwa aliyekufanyia ubaya, ila utamsamehe na kumfanyia ukarimu.” Mtume Muhammad (S.A.W) JumaahKareem.

Baada ya ujumbe huo watu wa kada mbalimbali wametoa maoni yao akiwemo waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii, Khamis Kagasheki aliyesema, “Hii ni imani ya ngazi ya juu sana.”

Wengine walioonyesha kuguswa na ujumbe huo ni @MsTayanah aliyeandika, “ila mkuu watanzania bado tungependa kujua walikupeleka wapi mkuu.”

Naye gagula16 ameandika, “Safi sana ndio maana halisi ya hekima. Na ndio maana mfalme Suleiman aliomba hekima na busara kwa mwenyezi Mungu.”

Naye MrMsambwe6% amesema, “Mungu akubariki katika kutufikishia ujumbe katika siku takatifu ya leo Nikutakie ijumaa Kareem.”

“Watu wakarimu tunalipizaga ubaya kwa wema mpaka wanaona aibu,” amesema Bonimawalla.

Soma zaidi: VIDEO: Polisi waonyesha nyumba aliyohifadhiwa ‘Mo’ Dewji
 
Mfalme Suleiman aliomba yeye mwenyewe hekima na busara kwa mwenyezi Mungu huyu wa kwetu anaomba aombewe
 
Yeye kafanyia mema wangapi? Mimi huu unafiki hata siku moja siupendi.
 
Hana ubavu wa kupambana na Magufuli
 
Ila ni kumpigia Mbuzi gitaa
Hii ya kutenda mema hata kama umefanyiwa ubaya, nadharia yake ni nyepesi sana, kazi ipo kwenye kutekeleza falsafa hii kwa vitendo. Inaonekana Mo anamaanisha alichoandika, hongera zake sana.
 
Aheri wanaoitwa mabeberu kuliko hawa wanafiki wa safari hii.

Majitu yamekuwa na roho za kinyama lla bado kuna maibilisi yanawatetea kisa tu yananufaika na uwepo wao.Ubinafsi wa kiwango cha juu sana huu!!
umesoma kilichoandikwa au umekimbilia kuandika uduvi tu?
 
MO, umetuangusha sana,Tunataraji Uwe mstari wa mbele kutetea Masibu wengine
 
Back
Top Bottom