Alisina
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 4,281
- 4,614
Bwana Nyerere aliwahi kuandika ya kwamba.Yeye kafanyia mema wangapi? Mimi huu unafiki hata siku moja siupendi.
"Hapana Tajiri Mwenye roho ya kijamaa"
Hivyo Ujamaa hauwezi kuzalisha matajiri wengi.
Utajiri wa Mtu binafsi msingi wake mkubwa ni unyonyaji, Mfano kazi ya Shilingi Elfu kumi mfanyakazi"kijakazi" atafanya kwa shilingi Elfu Moja hutaki kale kwenu.
Maisha bila Unafiki hayasongi,Ukweli mara nyingi hupeleka Watu cemetery.