Ujumbe tata wa Ney wa Mitego kwa Fred Vunjabei

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,115
27,099
"Naomba Mumkumbushe Fred kua walikuwepo wauza nguo kama yeye walikuwa na hela kuliko yeye, walikuwa washamba wa mademu wa mjini kama yeye na wakafilisika na hawapo tena, so na yeye kwa ushamba huo huo wa mademu tutamsahau ni muda tu #hawakatai zikiisha sasa." - Nay wa Mitego.

ney.jpg
 
View attachment 1847115
sababu ya huo ujumbe n huu ujumbe wa Fred
Screenshot_20210709-183821_Instagram.jpg
 
Mwanangu Fred,mshamba aiseee

I thought the nigga was a different breed mpaka alipoanza kuongea ungese

Nadhani ana njaa kali sana ya kujulikana,hii njaa ya kutaka umaarufu unazidi njaa ya kufanya biashara,soon graphs zitapishana tutafute roots of the two quadratic equations!
freddy seems to be a nice guy. and to slay queens, a nice guy is as good as a foolish guy
 
Back
Top Bottom