Ujumbe muhimu kwa wana UDSM tu

Ujumbe muhimu kwa wana UDSM tu

Kudakwa ni kawaida na sio ukilaza na we ndio kilaza umeishia form4 masikini una four hujui lolote
 
kama kawaida mwezi wa freemanson udsm septemba@willium kavuruga watu pigeni desa kwa nguvu sana msipokuwa makini anawabebesha!shikamoo willium
 
poleni sanaa kwa wale walio sap ila nimoja ya mapambanooo..... najua kule CONAS nkiwanda cha sap hsa pale departmnt ya wildlife na zoology ni hatarii...poa si issue ni kupga shulee #SAY NO TO CARRY
 
kila semister unatiwa nyavuni kilaza mkubwa wewe.

Hivi wewe ukiambiwa zako ni shobo utajibu nini,unafkiri hii ni facebook kama kila post uchangie,umeangalia kichwa cha habari "ujumbe kwa wana udsm tu" sasa wewe ukiulizwa?acha kushubokea post zisizokuhusu,so hata kama mtu ni kilaza wewe inakuhusu nini,au baba yako alimsaidia ada?jifunze kuheshimu post za watu kijana,
 
Kwa wale tuliotiwa nyavuni,mechi za ufunguzi zitaanza kuchezwa kuanzia tarehe 22/sept hadi 26/sept.so popote pale ulipo nakushauri piga shule sana ndugu yangu.over

nipo na vijana wa UDSM hapa ofisin kwangu wanafanya field....wanadai ni tarehe 15 hadi 9 September...fuatilia vizuri hiyo taarifa
 
Wapi wadogo zangu pale UDBS?
Accounting 101 n.k
FN zote
n.k
Mmepona???
 
nipo na vijana wa UDSM hapa ofisin kwangu wanafanya field....wanadai ni tarehe 15 hadi 9 September...fuatilia vizuri hiyo taarifa[/QUtarehe22 mwezi wa9 nilienda chuo nikaambiwa na patrick wa Ds.
 
Nnamwalm hapa wa eboebo naye anaipönda UDSM kwamba hakuna lolote pale!
Mi namshaur ache kujinanga hivyo mana hana sababu ya kusema namna ile huwez kujizalilsha namna hyo kuiponda ud!
 
Hongera ipo sku uwanja wko utang'arishwa na nyota yingi ni vzr sana mkuu.!
lzma ukubari matokeo
Jiandae kubeba kombe la mabaka ya nyota mkuu.
 
Back
Top Bottom