Eng Godfrey lupimo
Senior Member
- Sep 3, 2016
- 148
- 76
Hivi wewe ukiambiwa zako ni shobo utajibu nini,unafkiri hii ni facebook kama kila post uchangie,umeangalia kichwa cha habari "ujumbe kwa wana udsm tu" sasa wewe ukiulizwa?acha kushubokea post zisizokuhusu,so hata kama mtu ni kilaza wewe inakuhusu nini,au baba yako alimsaidia ada?jifunze kuheshimu post za watu kijana,
Acha upuuzi ww!!!!
Hii n jamii forum (a patriotic network)
Kwa stuation mnayo ishi nayo na cheni zenu ni vzr ikawa na border sio mpaka humu muambukize macheni yenu
Be ye kind.