Wanaume huwa tuna fujo sana ktk mahusiano,na ni vigumu mke kuhimili mikiki yote ya mwanaume,na ili ndoa idumu na usimgasi mkeo unajikuta unatafuta wa nje atakayeweza kuendana na hiyo mikikiShida zote hizo za nini si utulie tu na mkeo? Jamani
Wanaume huwa tuna fujo sana ktk mahusiano,na ni vigumu mke kuhimili mikiki yote ya mwanaume,na ili ndoa idumu na usimgasi mkeo unajikuta unatafuta wa nje atakayeweza kuendana na hiyo mikiki
Mnachepuka sanaaa😏Mmeamua kutusema sasa
tena mmejiachia mnatusema vibaya wanaume
Si wanaume tunapenda kudekezwa kama watoto,sasa mama akishakuwa na watoto mapenzi yanahama...unajikuta unatafuta wa kukudekeza ingawa kuna garama pia.Lakini ndio maisha..Mkuu wangu mm nadhani sio mikiki ni mentality yenu tu
MmhhWanaume huwa tuna fujo sana ktk mahusiano,na ni vigumu mke kuhimili mikiki yote ya mwanaume,na ili ndoa idumu na usimgasi mkeo unajikuta unatafuta wa nje atakayeweza kuendana na hiyo mikiki

Si wanaume tunapenda kudekezwa kama watoto,sasa mama akishakuwa na watoto mapenzi yanahama...unajikuta unatafuta wa kukudekeza ingawa kuna garama pia.Lakini ndio maisha..
Mnachepuka sanaaa![]()
sio wote afu sisi tunaojificha tuko kwenye kundi la wasiochepuka ko wanabaki asilimia chache sana ko tunaweza kusema it's negligibleNdio hivyo mkuu...na tunaochepuka kwa akili familia zetu muda wote zinafuraha,kwa sababu humsumbui bi mkubwa na yeye atakupa akiwa na hamu na wewe tu.Pia na wewe unakuwa umepunguza mzigo huko pembeni na unakuwa umeondoa stressMmhh
We mfuate umwambie ukweli. Umezunguka mbaali ila tumekusoma, m nakusihi uendelee kukaza
Mother con
Ukilitafakari neno la upumbavu utapata jibu,kwanza ile siku anayoamua kukupa cheo cha upumbavu ndio siku anayoacha kukupenda. Sasa anakuchukulia kama mtu dhaifu anaehitaji msaada
Kwahiyo ww hata ukienda cambodia ukarudi kama mbwa wa kienyeji atakupokea tu atakulisha ukaendelee na mambo yako uko'
Let asshole be asshole u'll sleep better
Sema ukweli wako,huna mchepuko wewe??sio wote afu sisi tunaojificha tuko kwenye kundi la wasiochepuka ko wanabaki asilimia chache sana ko tunaweza kusema it's negligible
maisha sio fair kila siku ninasema kama maana nishasoma uzi hapa hapa wanawake wakawa wana sema wanawapenda sana wanaume waliokwisha kuwa kwenye ndoa eti wanajua kucare na hawana usumbufu na inafikia hatua hadi wanajitongozesha sijui sisi binadamu tunakwamaga wapi ila kama tungekua tuanjua thamani zetu haya yote yasingetokeaHabari MMU
Naomba niwape ujumbe nilioutafakari kwa kipindi kirefu,mimi sijaolewa kwa maana hio sijui ndoa ila ntawashauri wanaume mliooa wenye ndoa zenu.
Wanaume mna hii mentality kuwa huwezi kukaa na mwanamke mmoja, lazima uchepuke ! Umeanza kuchepuka mtoto wa watu anakupenda anaamini utatulia anakufanyia kila kitu chako kama kakuzaa,anakuzalia na watoto anawalea kama unamlipa. Wewe kazi yako kubwa ulioiona ni kujilisha upepo wa kucheat!
Haya basi mtoto watu kakaa kaona isiwe tabu mme wangu labda ndo nature yenu kucheat "my hubby Cheat in peace" basi unajiona ndo umeshinda kombe unabadili wadada kila siku dharau nyumbani.
Ngoja niwaambie kitu wanaume ,mwanamke akishakuacha u cheat in peace kwanza kashakuona wewe ni mpumbavu. Hata kama una miaka 50 wewe utabaki kuwa mpumbavu mbele yake!usijidanganye "mwanamke wangu ata hanifatilii yanii nna raha kweli"
Mynigga hakufatilii kwasababu hawezi kuhangaisha akili yake kwa ajili ya "mpumbavu"
Na wewe kuacha hawara zako wampande mkeo kichwani ni Upumbavu XXL.
Haicost kitu kuambia mpango wa kando nna mke mapenzi yetu yawe na mipaka, usinipigie masimu ovyo ovyo usinitumie masms huwezi kushindana na mtu anaenilea kwa kila kitu! Ukiona unachepuka na mwanamke anaeshindwa kuyaelewa hayo muache tu mbona wamejaa sana ambao watakubaliana na term zako ili mjilishe upepo vizuri.
Lingine my nigga's wanawake wa sikuizi wanaroga,mtarogwa msahau future zenu na wake zenu/watoto/familia zenu! Wewe chekelea kujilisha upepo na akina mwajuma wa buza kumbe unarogwa na wewe unachekelea.. Hakuna mwanamke kama mke wako,wewe jilishe upepo weeeh kwa mama fulani utarudi sikumoja,jifunzeni kutofautisha kati ya An empress na concubine,Weka mpaka kati ya Hawara na Mke wa ndoa.
NB: Hii ni kwa wanaume waliooa wanawake wanaojielewa,wanaotimiza wajibu wote.
Wanawake mlioolewa na tabia zenu mbofu mbofu sina la kuwatetea.
Sema ukweli wako,huna mchepuko wewe??


mambo yako bhana hapana niurafiki tu classmate siunajua kusaidiana kupo sisi binadamu Leo kwangu kesho kwakeha ha ha mnapenda kudekezwa,ila ukimdekeza yule anayeongoza familia lazima amani na utulivu uwepo na kicheko kinakuwepo muda wote;mfano mwanaume akiwa home anatakiwa achukuliwe kama mtoto mdogoHivi kwani wanawake ndo hatupendi kudekezwa au?![]()
Mfyuuu😂😂😂jibu swali hukoomambo yako bhana hapana niurafiki tu classmate siunajua kusaidiana kupo sisi binadamu Leo kwangu kesho kwake


mi sijaoa ko sichepuki nafanya uzinzi ko kwenye hilo kundi lauchepukaji sihukumiwi kabisa
Mfyuuujibu swali hukoo
Na hiyo staili yako ya nywele umeoa wewe...unazuga tuu hapa😝mi sijaoa ko sichepuki nafanya uzinzi ko kwenye hilo kundi lauchepukaji sihukumiwi kabisa
Na hiyo staili yako ya nywele umeoa wewe...unazuga tuu hapa![]()



napenda sana kuchimba chimba vitu vya zamani ungejua umri wangu na hio picha ungenipa hongera lakini kunawazee humu hawaijui Nipigie makofi huko