Ujumbe kwa wanaume

Wakati mwingine kuacha mwanaume sababu ya kucheat ukaenda kwa mwanaume mwingine eti huyo ametulia nikujidanganya,kama unataka kuingia kwenye ndoa lazima uwe na akili timamu
 
I can now see your concern
 
Nimetaka kujua tu kwanza, maana kuna mambo huyajua zaid kwa experience sio kwa kuyaskia su kuyaona tu kwa macho
Sijaolewa bado ila hiyo hainizuii kujua mambo mengi maovu yanayofanywa na wanaume na hiyo mbona inajulikana yaani wanaume kwenye swala la kuchepuka wanajifanyaga wametia nta kwenye masikio
 
Wakati mwingine kuacha mwanaume sababu ya kucheat ukaenda kwa mwanaume mwingine eti huyo ametulia nikujidanganya,kama unataka kuingia kwenye ndoa lazima uwe na akili timamu
Kwahiyo hata wewe hauwezi kuacha mwanamke kwa sababu ya kucheat?
 
Sijaolewa bado ila hiyo hainizuii kujua mambo mengi maovu yanayofanywa na wanaume na hiyo mbona inajulikana yaani wanaume kwenye swala la kuchepuka wanajifanyaga wametia nta kwenye masikio
Okey!

Some other things you normally learn with time!
 
Mfano mdogo tu ambao unaweza kuwa nje ya context, na nimeamua kukuletea huo ili usije ukaanza kufkiria tofauti.

Siku moja nimefika dar nkapanda mwendokasi, nkakutana na mshkaji ambae nilipiga nae o'level ambae back then alikuwa akijiona yeye ndio "mwana" if you know what I mean. Aliwasumbua sana walimu na kila aliloambiwa aliwaona watu wote hawajui.


Sisi alituita watoto wa mama na yeye ndio mjanja, basi tulikutana kwenye mwendokasi kachoka balaa. Mimi nlikuwa naelekea manzese na yeye anaelekea kimara huko but ile ongea ongea akaamua kushuka nami pale manzese, tukaongea na akanielezea regrets zake na namna alivyopoteza muelekeo. Akaniambia anavyojutia maisha yake alivyoyaishi and stuffs like that.

Hakuweza kuelewa back then, but with time now anaelewa. So hata kwako, there are some stuffs you can't understand now. Especially when we talk about marriage considering you are not married.
 
Deception!
 
Nielekeze mahala nikabatilishe kauli

Ila mkuu kama umetulia huu uzi utakua haukuhusu . Ila nashukuru kama wanaume kama nyinyi mpo
Tupo mkuu,hata mm sasa nimejitafakari nimegundua uzi huu haunihusu
 
Thread hii inahusu jinsi maisha yalivyo kwa upande wa mchepuko - kukosa furaha. Inabidi iwekewe poll ili kujua uzito wa jambo hili.
 
Hatari sana mzee baba
 
Sasa ndo nimeomba mifano ya hayo mambo ambayo nitayaelewa 'with time' wewe niambie tu maana maneno yangu siyo sheria na mimi sijasema kwamba kila ninaloamini mimi ni sawa so whatever I say I always stand to be corrected where I am wrong
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…