Ujumbe kwa rafiki yangu

Huyo nimtoto wangu na yeye,yule wa kwangu ambaye tumekaa naye toka grade one na sasa yko grade six, alijaribu kumfukuza nikawa mkali,ila dogo vitisho vilizid akatoroka akaenda kwa hib yke mzaa mama.
pole sana huyo mama ana roho mbaya lloohh!!
kuna wazazi hua wanachangia ndoa kuvunjika kabisa tena ukute wana kajiuwezo sasa ndo utajuta
 
Nilienda kumuona mtoto nayeye nilimkuta,halafu kna chama flan wote tumo huwa tunakutana kila mwez na yeye anakuwepo.yuko kwao kabisa,confirmed.
Duuhh!!kazi kwelikweli!
Yule kwao ni first born halafu wazaz wake ni kama wanamuogopa flan hv,so alitegemea na mume atamuogopa.kimsingi aliondoka kwa kiburi tuu ingawa nilikuwa nataman aondoke maana,,,,
Wazazi majipu!!
Mume ni mume apewe heshima yake!!
Mjinga huyo Dada!
 
Pole sana Mkuu!

Ila kama naona ni mbinu ya kutafuta mwanamke mwingine humu JF.

Fair comment brother.. Usimaindi!!
 
Mwanamke mzuri ni yule wa Mithali 31, na imekuwa kitu kigumu kidogo sisi wanawake kufikia Mithali 31 tujitahdi jamani. Sisi ndio wajengaji na wabomoaji wa familia.
 
bora umesema, hiyo ndo maana ya kuwa true to yourself
 
Rafiki yako anafanya hivyo labda kwasababu yeye hajui kazi,
 
jamani pole . mwanamke wa kufoka si mzuri kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…