joshydama
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,623
- 5,049
Hahahah!!Tafuta hela kwanza dogoo
Geniveros unanikosha sana!
Napambana sana sina mchezo katika kutafuta hela!
Hahahah!!Tafuta hela kwanza dogoo
Eehh!tafuta pesa umiliki watoto wa Kali kama my switie@Asprini anamiliki mm hapa!Hahahah!!
Geniveros unanikosha sana!
Napambana sana sina mchezo katika kutafuta hela!
HahahahEehh!tafuta pesa umiliki watoto wa Kali kama my switie@Asprini anamiliki mm hapa!
Hahahah
Muda sio mrefu nitampindua..
ya kale dhahabu kuna@platozoom pia my switie pie....!!![]()
![]()
![]()
ya kale dhahabu kuna@platozoom pia my switie pie....!!
![]()
![]()
![]()
![]()
Sawa ila ameanza kuchakaa tayari huyo
Bora nichukue nafasi hiyo mapema!
ngoja aje hapa kama utakaa...!![]()
![]()
ngoja aje hapa kama utakaa...!
my babu loves me...!!
Wazee wanajua kulea ndo wazuri vijana stress tupu![]()
![]()
![]()
Kumbe babu?
Mwambie akae atulie alee wajukuu asikae kuhangaika sasa!
basi nakukalibisha kwangu unitembeleesikujua kama ni wa hovyo mpaka nilivyofika kwake jana aiseee ni huzuni
Wazee wanajua kulea ndo wazuri vijana stress tupu

Hahahaaa.mbona una marafiki wa hovyo hovyo
My baby baby yuko vzr kwenye kila angle!!kuna mambo Fulani hawawezi..nguvu hamna
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kabla hamjaoa muombeni sana Mungu awape wake wenye heri na nyinyi ...Miss Chaga,mm nmeishi na mke miaka saba,hii harus ilifanyikia mbez beach maeneo ya makonde,ilikuwa june 2009,huyu mke hakujua kunitengea maji ya kuoga wala kuninyooshea nguo,anafoka,ana matusi nilitaman ardhi ipasuke ,nikamuomba sana Mungu maana nilikuwa naogopa hata kurud nyumban,mambo yalikuwa mengi, ndo siku Moja alijifaragua akaondoka nilimshukuru Mungu,leo ni miez nane yuko kwao na mimi niko kivyangu.Sitaman hata kumuona.Mtu niliyejitesa kwa ajili yake anakuwa mtu wa kunidhalilisha ,iliniuma saanaaa.wanawake wengine wanataka waume wawe watumwa ukiwa tofauti inakuwa shidaaa
Teh teh teh..Hahahaaa.
The birds of same feathers.
Ukishapenda hukumbuk mambo mengine,hv wazaz nao vp? Mm sikwenda na hawajawah kunitafuta,ungeweza kuja inbox ningekuelekeza ungekutana nae,kama ni mtafiti lkn,ni maeneo ya mwenge hapoKabla hamjaoa muombeni sana Mungu awape wake wenye heri na nyinyi ...
Ile misemo ya "mwanamke shape, tabia tutavumiliana" iwekeni kando. Ukikosea ndoa... inakuwa doa.
Hanishindi sasaMy baby baby yuko vzr kwenye kila angle!!

Ina ladha sana geniveros ...mpuuzi huyoo!!
Hakuna kitu kizuri kama kumfulia,kumpikia na kumhudumia mmeo kwa mikono yakoo...!
Kazi ndogo hiyoo watu wanashindwaa...!!
Aisee...
Humpati my baby sijui Yuko wapi lemme coli him@Asprin dear....!!Hanishindi sasa
Achana nae
![]()
![]()
![]()
Pole sana ndugu yangu... ndio ukubwa huo, next time kuwa makini kwenye kutafuta mwenza..Ukishapenda hukumbuk mambo mengine,hv wazaz nao vp? Mm sikwenda na hawajawah kunitafuta,ungeweza kuja inbox ningekuelekeza ungekutana nae,kama ni mtafiti lkn,ni maeneo ya mwenge hapo
Mtoa post hongeraHabari zenu WanaJF:
Ujumbe huu ni kwa rafiki yangu na wengine wenye tabia kama zake. Mtaniuliza kwanini nisimfuate nimwambie uso kwa uso, mwanamke yule anaongea akinisema na jinsi sina maneno mengi nitazimia..
Kwanza nikushukuru rafiki kwa huduma yako jana usiku loh nilienjoy kwa kweli.. Japo uliniharibia furaha yangu na nikaondoka kwako nikiwa na mawazo na sikupata usingizi usiku kucha rafiki..
Kumbuka kauli hii niliyokuambia wakati naondoka "JIREKEBISHE MAISHA HAYAENDI HIVI" ukacheka na kuniambia umeanza na mie nikakuaga na kuondoka..
Shoga kilichoninyima usingizi kikubwa ni hich, mwanao anapata haja kubwa wewe unamwita housegirl wako kwa sauti na kwa ugomvi huku umekishika mtoto mkono mmoja na mguuu mmoja umemning'iniza kama mtoto si wako, nilishtuka nikasema umeona nyoka nini ndani ? kumbe mwanao kapooo si vizuri hivyo ...
Mtoto anashikwa na housegirl anafurahi kuliko ulivyokuwa umeshika wewe jamani si vyema.... Najiuliza kama mwanao anapoo unamtreat hivyo hg yeye anaroho gani ya kuchezea kinyesi cha mtoto wa mwingine? Ukifanya mchezo katapata UTI sababu hujui hata kama anasafishwa vizuri mtoto.... Niliumia kama uligundua pamoja na kuwa wine ilianza kuchanga ila nilikuwa down sana ghafla narudia tena si vizuri vile..
Unalalamika ndoa yako ina matatizo lakini kiukweli kwa tabia ile kufoka foka na ya kufuliwa hadi chupi kazi ipo my dear acha punguza hayo makucha yako anza kufua vichupi vyenu au nunua washing machine uwe unafua na si kumpa hg hapo umepitiliza mpenzi..
Fanya siku moja moja angalia usafi wa nyumba yako pika na wewe acha kuwa kama remote controller we unabonyeza tu kinakuja jana umenichosha jinsi unavyoita weeee unafoka foka mpaka sura umeanza kuzeeka wewe....
Kiukweli nyumba yako haina amani kabisa japo we unajiona upo sawa ila unapoteza mpenzi wangu.. Narudia tena JIREKEBISHE MPENZI".
Ukipiga simu yako sipokei, whats app nipo off labda email.. Nakupenda sana rafiki yangu..
Weekend njema!