Ujumbe kwa bunge: Legacy ya Nyerere na Magufuli ni tofauti na wengine

Nyerere should never be put on the same sentence with any president we have had.

He was the greatest black man to have ever lived, he left us with philosophical foundations, principles and so much more that people have not yet come to understand. Some would argue he was close to a saint.

Ni kosa kubwa sana kumtaja mwalimu JK Nyerere kwenye sentence moja tena yenye neno "legacy" na mtu yoyote Afrika. Hata Hayati Mandela hana ubavu huo.
 
Read my post in betwixt the line.
 
Ni vyema tukaweka kumbumbu sawa.

Unapoongelea legacy usioongelee kijuujuu au kimasihara. Katika nchi hii tunaweza kuongelea legacies mbili muhimu. Yaani legacy ya Mwalimu Nyerere iliyotuwekea maono na miongozo baada ya Uhuru.

Halafu tutaongelea legacy ya Magufuli katika utekelezaji wa maono na miongozo baada ya uhuru ambayo yalikwama kutekelezwa.

Yoyote mwenye kutoa maoni anapaswa kuwa honest na tena asiye na mawaa.

Tukubali au tukatae awamu ya 1 na awamu ya 5 ni awamu muhimu kwa taifa letu na kamwe hadi sasa hatutaweza kuzilinganisha na awamu nyingine.

Tusidilute mada bana.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!
Usitulishe mawazo yako nasi tunayo yetu.
 
Back
Top Bottom