Ujue una laana kama.......................... ........

lawyer haya bana, ngoja tutafute dawa za kunenepesha miguu. Lol
Onana na mzizimkavu, alisema ugoro ukiuchanganya na asali mbichi na majani ya mbaazi inasaidia. Mzizimkavu ni zaidi ya mchina.
 
Usipokuwa shabiki wa Namba 5 hapo juu RVP+AOC, Surely u gonna be
 
unachati na binti/kijana wa mfanyakazi mwenzio kwenye facebook
 
Tahazari: Rejao ni mbahili sometime anajikopesha mwenyewe.
Hahahaha,
Km hujui ni kwamba Huby wangu anawabania nyie tu,
Kwa kuhakikishia hilo tangu usiku wa jana kanimilikisha ufunguo wa seifu na pasiwedi za atm zake lol!
Nakushukuru kwan wezi wote watakaa mbali na Rejao wangu.
 
Hahahah...rejao ni bonge ya pedeshee full kugawa minoti!
Kwa advataiz nimemkabidhi Canta ka Vits open roof ka kuendea gengeni!
Rejao bana, Canta leo nimemfuma kwenye boda boda anawahi kibarua.
 
Hahahaha,
Km hujui ni kwamba Huby wangu anawabania nyie tu,
Kwa kuhakikishia hilo tangu usiku wa jana kanimilikisha ufunguo wa seifu na pasiwedi za atm zake lol!
Nakushukuru kwan wezi wote watakaa mbali na Rejao wangu.

Usisahau Rejao anafanya kazi ya ulinzi wa magari, usije ukatafutwa ukaisaidie polisi. Think! canta think!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…