Ujue una laana kama.......................... ........

Kama kila siku ya Ibada unaenda kanisani lakini bado haubadiliki. Ukitoka nje tu yote yaliyohubiriwa unayaacha mlangoni. Bora ubaki home tu.
Ni laana pia kwenda kanisani siku za matukio tu
 
Umetongoza zaidi ya mwezi hakijaeleweka...kama sio laana ni nini? inabidi kwenda Kaole fasta
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom