Ujue una laana kama.......................... ........

Hii nimeirusha laivu, manake kapita kadada hapa mbele yangu nikakisia tu kwamba kana miguu manake haionekani kiurahisi lakini ana kaskin jeans ka rangi ya zambarau halaf kamepauka kwa kuvaliwa sana
Ni husninyo huyo, katoka hapa kwangu kavaa hivo, hivo! Eti kamepauka lol, una laana wewe!
 
Hii nimeirusha laivu, manake kapita kadada hapa mbele yangu nikakisia tu kwamba kana miguu manake haionekani kiurahisi lakini ana kaskin jeans ka rangi ya zambarau halaf kamepauka kwa kuvaliwa sana

lawyer haya bana, ngoja tutafute dawa za kunenepesha miguu. Lol
 
Usishangae chwitiii, hiyo ni laivu. Bahati nzuri nimefotoa na sim, post ijayo nitaweka na ushahidi wa picha
Sheria za jf haziruhusu kumwita mke mwa mtu sweetie, umepewa kibali na Rejao au una hamu ya pamanenti ban?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom