Ujue una laana kama.......................... ........

Ujue una laana kama.......................... ........

1.Umefanya kazi kwenye kampuni miaka saba na hujapandishwa cheo.

2.Unafeli hesabu,english na kiswahili pamoja.

3.Ukiwa polisi halafu unaonea raia.

4.Kama gari lako mwuda mwingi lipo garage kuliko kuwa barabarani.

5.Ukiwa mshabiki wa Arsenal.

6.Mara ya kwanza kutoka nje ya ndoa ndo mara ya kwanza kufumaniwa

7.Umetumia photoshop halafu bado unaambiwa hupendezi.

8.Ukikuta document zako panya kala sehemu iliyoandikwa jina.

9..............................

10......................

11..............

endelea

namba 5 iyooo!
 
Kila mwisho wa mwezi we una allergy ya pesa na ofisini hukanyagi mpaka zikuishie.
 
Ni laana kila usiku unachafua mashuka kwa bao la usingizini.
 
hiyo namba 5,unatafuta ugomvi na mashabiki wa Arsenal.
Vipi ukiwa shabiki wa Liverpool au Newcastle?
 
hiyo namba 5,unatafuta ugomvi na mashabiki wa Arsenal.
Vipi ukiwa shabiki wa Liverpool au Newcastle?

Liverpool na New casstle wamefulia,kushabikia utakuwa unalaana pia
 
Una laana uliyefail mtihani...ukareseat ukafail tena....ukaresaet ukafail....ukareseat Ukafail tena......na hujakata tamaa
 
Kama kila siku ya Ibada unaenda kanisani lakini bado haubadiliki. Ukitoka nje tu yote yaliyohubiriwa unayaacha mlangoni. Bora ubaki home tu.
 
Una laana uliyefail mtihani...ukareseat ukafail tena....ukaresaet ukafail....ukareseat Ukafail tena......na hujakata tamaa
heri hata hawakati tamaa,laana ndo kukata tamaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom