Ujio wa sheykh Sudeys Tanzania

Je sisi makafiri tunaruhusiwa
[quote uid=274358 name="halloperidon" post=21444955]Makafiri tunaruhusiwa?[/QUOTE]<br />Qur-an ni muongozo kwa walimwengu wote. Naomba unipm ndugu mwema ili nikupe special treat siku ya Mashindano mana unaweza kuja ukakuta uwanja ushajaa. WOTE MNAKARIBISHWA
 
8e56a983eb1e64929051e5fea6420221.jpg
 
Mbona tukikuuliza kuhusu kama kuna channel yoyote itaonyesha unapotezea?
Kumradhi ndugu yangu, na ndugu wote waliouliza juu ya live coverage ya kwa local stations, haikuwa nia yetu kudharau swali lenu ila tulikuwa Tunasubiria uhakika wa jambo husika na kwa kipindi hiko tulikuwa bado halijakamilika. Ila uhakika kwa sasa ni kuwa Azam TV wataonyesha live... Ila karibu uwanjani umuone Sudeys live kwa macho yako
 
Mimi niko uwanjani hapa,uwanja umeishajaa,na bado daladala zinamwaga watu.mashaalaah.
 
Back
Top Bottom