Ujio wa sheykh Sudeys Tanzania

Ujio wa sheykh Sudeys Tanzania

Kama hujui tafsiri ya neno kafiri kwenye uislam bila shaka na wewe ni kafiri mwenzangu

Haya twende tukaudhurie
Ndio jibu nililo TARAJIA kutoka kwako..

Ndio maana kwenye BANGO wamesema "WAISLAMU na Watu wote mnakaribishwa.

Hapa hajabaguliwa yeyote...
Kamtaarifu na KINGUNGE asiye na DINI...[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Lolote ulitendalo hapa duniani, mtetea mtanzania kwanza, pili mwafrika alafu dunia yote na Universe, omba amani! That's it!
 
Point, manake kwenye tukio lazima kuwe na mfikishaji Ujumbe kwa walengwa, sijui wametumia kigezo gani kumualika mtu ambaye hatoleta impact yoyote
Hapa ndipo walipo bugi wasiangalie kujikaribisha kwa Serikali bali inabidi waangalie huyo mgeni atatoa nasaha ili iwe chachu/hamasa kwa watu wengine kuhifadhi Quran kutokana na nasaha zake sasa huyu PM dah ataweza kweli......!

Mbona Dar Masheikh ambao wamehitimu Madina Islamic University wapo wengi sana wangemteua hata mmoja ingekuwa khairi!!
 
Kwani hujui murtadi au unataka tufiche ukweli tuwe kama aliye mfananisha mengi na mtume tukae kimya waislaam waongopewe mchunguze vizuri utamjua hatuwezi kila siku tunawatanguliza watu kama hawa katika shuguli za kiislaam kuna watu walimpeleka lowasa msikitini wakamvalisha kanzu kisha wakampa jina la ABDALLAH bira hata haibu ndio maana tunapata laana ya mwenyezi mungu
 
Naona bora tuache mijadala mingine bora tutume post zinazofungamana na tukio usika na sio mambo mengine

بارك الله فيكم يا أيها المسلمون
 
Kuna sheikh m Ghana nasoma Quran vizuri anaitwa okasha kamenya video zake zipo YouTube. Mashah Allah kwa kweli.ingawa wapo wengi na mwengine mtoto mdogo wa kisomali anaitwa Abbas ukimsikiliza utapenda
 
Uislamu haumlazimishi mtu kuingia ilihali mwenyewe hajaridhia, hakuna kulazimishana ktk dini... Njoo katika mashindano ila suala la kuslimu ama kubaki na dini yako ni maamuzi yako binafsi wala halazimishwi na wala hutolazimishwa japo kwa maneno tu.... karibu Taifa
Nimependa majibu yako, laiti kama na watu wengine wangekuwa wanaelewa haya unayoyasema ingekuwa vizuri sana. Viongozi wa dini endeleeni kutoa elimu kwa wengine ili waelewe kuwa mtu halazimishwi kuingia kwenye imani nyingine ni uamuzi wake. Na pia kama imani yako inatofuatiana na mwingine isiwe ugomvi, kila mtu aishi kwa amani na mtu wa imani nyingine. Mbona tukifanya hivyo dunia itakuwa ni mahali salama tu.
 
Mgeni rasmi ni Waziri Mkuu Mh. Kassim Majaliwa, mgeni maalumu ni imamu mkuu wa Makkah na Madina sheykh Sudeys na wageni waalikwa ni maraisi wawili wastaafu, Alhaji mzee Mwinyi ambaye pia ni mlezi wa Taasisi ya Alhikma na Mh. Dr. Jakaya Kikwete, raisi mstaafu wa awamu ya nne... Karibuni sana
Mashaallah
 
Hata hao magaidi wanapindisha aya na khadithi kwa maslahi yao. Na wewe kama unapenda kupindisha endelea tu. Ni lazima tuishi katika hii dunia kwa kuheshimiana na kwa amani. Tumekatazwa kuitana majina yenye kuudhi na mwishowake ni kukosa amani. Hata Mtume S.A.W. allishi na wasio kuwa waislamu kwa amani.
Na wale aliokuwa anawachinja ilikuwaje?
 
Unaona hiyo mfalme mmoja tu wa Belgium aliuwa wakingoman milioni 10. Huyu hakua mwarabu
 
Back
Top Bottom