Quran imejitosheleza katika masuala yote ya msingi. Aidha, waislam wameamini yote, yaliyoteremshwa kwa Muhammad na kwa mitume waliokuwepo kabla yake kwani wote walikuja na kauli moja tu, "muabuduni Mwenyezi MUNGU na mtii yale mitume wanawafundisha". Hakuna mtume yoyote alikuja na ujumbe tofauti na huo, wala hakuna mtume aliyekuja na akasema "niabuduni mim", hilo ndio msingi wa Kitabu chochote Kilicho cha Mwenyezi MUNGU.Hujamalizia mkuu, Quran ni kitabu chenye ubabaishaji ambacho hakijitoshelezi ndomaana kikasema ukiwa na swali uje utuulize watu wa kitabu sasa nyie badala ya kuuliza mnalazimisha kuongozwa na kitabu cha majini
Hakuna atakayekuzuia mkuu, Hakika hakuna.Sasa suala la nyama ya Nguruwe unalitoa wapi katika uzi huu? Au lengo ni kuharibu mada ya mtoa mada?
Na ujue sio mara yangu ya kwanza kuhudhuria mikutano ya kiislam na hata majuzi nilikuwa katika sherehe zenu huko Arusha na kula msosi wa ukweli tena nilikaribishwa kukaa katika meza na viongozi wa dini na walijua kbs mimi ni Mkristo.
Siwezi kula nguruwe hadharani kwani nitawaudhi Waumi'nin hivyo usijali mkuu
Wasiwasi wangu ni pale getini kuingia bila kanzu na barakashia kama wengine wengi, nahisi sintaruhusiwa.
Mimi mwenyewe nimevaa bukta na niko uwanjani tokea salaa ya alfajiri,juu ya bukta nimejaladia msuli sarong kitu ya indonesia.Wasiwasi wangu ni pale getini kuingia bila kanzu na barakashia kama wengine wengi, nahisi sintaruhusiwa.
Shukran mkuu, baada ya muda mfupi nipo hapo uwanjani.Hakuna atakayekuzuia mkuu, Hakika hakuna.
Hayo yapo kila siku mbonaView attachment 522208 haya watayaweka lini?
Wale ni wana siasa, ndio maana yamewakutaKikwete kwanza otoe mashekhe wetu maa busu mwaka wa nne 4 kesi haijasomwa ingekuwa wanawe Ridh na Miraji ange fanya hivo aache sura mbili
View attachment 522208 haya watayaweka lini?
Yupo Joseph Kusaga, na mwenyeji Paul MakondaMimi ni Mkristo ila nitakuja (kama nisipozuiwa getini) kwani nipo free.
Shukraan.
Ni kushindana, kwa usahihi wa matamshi.Lengo la mashindano ni nini?