Ujinga wa Wanawake wa Kiafrika

Hapa unataka kisema nini? Una kazi? watu wanapitia kwenye magumu? Kwa kuwa wanapitia kwenye magumu so wanapoteza uanaume wao ili wasipitie magumu au nini hasa concern yako?
 
Hapa unataka kisema nini? Una kazi? watu wanapitia kwenye magumu? Kwa kuwa wanapitia kwenye magumu so wanapoteza uanaume wao ili wasipitie magumu au nini hasa concern yako?
We umejuaje kuwa madogo hawapambani au waliokuzunguka wewe? Hao wanawake wakuwatunza wanaume wapo wangapi na umewahesabu vipi? Huo uwanaume wameupoteza vipi hasa wakati kila jamii na kabila inatafsiri yake ya uanaume? Chakuingiza ishu za ushoga kwenye pure conversation zisizohusisha wala kutaja hivyo vitu ni kwamaana gani hasa? Hizo hela uwe nazo kiasi gani hasa ndio uitwe mwanaume maana wewe umetafsiri uanaume kwa mithili ya pesa?
 
Naona unalia lia tu dogo. Nini hasa hoja yako nikujibu mkuu? Haya umeshinda kuwa na usiku mwema.
 
Nje ya Mada, mbali na wanawake,, wanaume wa kiafrika wengi wao wana kitabia cha kuomba omba hela, tena ukijifanya awe rafiki yako akaomba na namba ya simu tegemea upigwe nuclear bomb, yana ukifanya kaurafiki tu unaombwa hela, ni aibu sana janaume zima linaomba hela wakati lina nguvu ya kufanya kazi

Bhujiku ng'waka
 
Sasa si uoe, ili umuhudumie mkeo, unataka umfuje binti wa watu buree, afu ukaoe mwingne na umpe huduma??

Uzinzii na umalaya ndo tatizoo.
Hapo ni win win boss na hakuna wa kumfuja mwenzie coz kila mtu ana kazi so moment ambayo mna-enjoy pamoja ni through love pekee... bt naamini kama mwanamke ana kazi then she's selfish bas hakupendi so hapo kosa ni kwa mwanaume kupenda sehemu ambayo haupendwi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mie nilishamaliza kwenye comment angu
 
Bure Kwaiyo inabid nimnunue siyo Bure maana ake anajiuza Ili umpate lazma ununue
Lazima umnunue, hata mke unamununua pia Yale mahari? Au unajitoa ufahamuu?

Tena mke unamnunua na baada ya hapo unamuhudumia kila siku.
 
Sio kwa style hiyo mkuu tatzo wanawake mnatangaza njaa mapema sana swala la kusaidiana lipo ila sio mnaanza kuombana mapema hivo wakati ndio hata sijakutongoza
Kumbe hujamtongoza? Hapo sawa, ila km ulionesha nia ya kutaka kumtongoza alikua sahihi kukuomba hela.
 
Hakuna kitu km hicho boss, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naona unalia lia tu dogo. Nini hasa hoja yako nikujibu mkuu? Haya umeshinda kuwa na usiku mwema.
🤣 🤣 🤣 mtu mzima hajui kuitana majina, don't be petty! Nishinde kwani huu uchaguzi, masifa yatakuua boss.
 
Kmmq wallah 😂🤣
 
Point hapa kwann mnageuza wanaume Kuwa wazazi wenu, Yani unakuta demu Kila kitu anataka umhudumie aisee... Anatoka kwao anaenda kupanga Ili wanaume wamhudumie Yani kudate na mwanamke saiv unakua mzazi wake.
Kama kwenye Ndoa ni sahihi kuhudumiwa.
Ukiona kila kitu unafanya wewe umekosea chaguo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…