'Ujinga' wa Ikulu unarudi kwa kasi

'Ujinga' wa Ikulu unarudi kwa kasi

Hii tabia ya serikali kuanza kuirudisha nchi kwenye mfumo wa ujamaa, ambao ulithibitika kwa vitendo kuwa mfumo wa kijinga, usiotekelezeka, unaogandisha mawazo na unaowafanya viongozi kuwa watawala pekee na siyo viongozi kweli; ni upotofu na udikteta wa hali ya juu. Serikali yoyote inayopanga bei ni serikali ya wajinga, wenye mawazo mgando na madikteta!

Hivi karibuni serikali ya ccm na magufuli wametangaza kuzuia shule binafsi kupandisha ada eti wangoje kile ambacho ikulu walikiita "ada elekezi".

Nasema huu ni ujinga kwa sababu kinachopaswa kuihusu serikali katika shule binafsi ni kuhakikisha wanafuata mtaala wa nchi tu. Tofauti na hapo hakuna kingine. Kumbukeni hakuna kodi yoyote ya mtu iliyotumika kujenga ama kugharamia chochote kwenye hizi shule!

Sasa kwa nini waingiliwe?! Hivi serikali haitupi ujumbe kwamba kwenye shule binafsi ndiko kuliko na elimu bora na kwa hiyo haki ya kupata elimu bora maana yake ni haki ya kusoma kwa bei ndogo kwenye shule binasi?!

Boresheni shule za walipa kodi. Porojo hatutaki!

subiri maelekezo ya serikali kujipandishia bei elimu kamavibama haikubaliki sasa tunaenda sawa wait
 
Naona shule za uganda na kenya zinakaribia kupata dili tena, boresheni shule za umma hizi za binafsi watashusha wenyewe tu. Shule ni tofauti na petrol elekezeni na mahotel basi na sisi wa hali ya chini tukalale humo!
 
Maswali yako tu yanaonyesha tofauti yangu na wewe.

Haaa haa haa halleluya after knowing the gap of what you know and what you don't know about economics my tactics was good enough to bring you out from what you don't and I hope we can now significantly discuss s'thing rather than world econ sababu naona hivyo ndo viwanja vyako vya kujidai

Eeeh tofauti yako na mimi ni nn?
 
You are susceptible to some lowbrow rumormongered Whatsapp viral bullshit, yet you want to discuss economics.
 
How sure are you? Mkuu mbona umepaniki tatizo nn?

Hlf mbona ishu za econ technically nilishakutoa ktk topic hiyo ila unarudi huko kama unaona ni bora kudiscuss hilo ni bora kwanza ukatafuta notes usome (sorry if it will be harsh 4 you but is not my intention)

Ila mi naona ni bora ukaendelea kudiscuss ishu za tofauti yangu na yako am sure nitakuelewa vizuri zaidi
 
The thought that a guluguja like you could dream of being harsh to me underlines the sheer lack of a developed nervous system, let alone a functioning brain, on your part.
 
Haaa haa haa uko vizuri kaka kumbe unaweza kunena hadi kwa lugha big up

Ok am so glad it was not harsh be4 you, good night
 
Na shule binafsi zilipe kodi TRA bwana! maaana Ada ni kubwa walimu pay ndogo .
 
Jibu rahisi tu, Kama hutaki bei elekezi Sio lazima ufanye biashara ya shule ! Unaweza funga shule yako na madarasa ukafugia Kuku wa kisasa, hii nchi si kila mtu aamue anachokitaka. Hapa kazi tu.
 
Tulia wewe au mganda nini?sasa na majina ya saint/mtakatifu fulani kwisha hakuna cha ubia na kanisa wala nini na mtafanyiwa auditting
 
Agizo la rais. Walioenda nje bila kibali kutika Takukuru wamesimamishwa kazi
 
Kwa kawaida ubepari ni unyama. Ili kupunguza unyama huo serikali zinachukua hatua kadhaa mojawapo ni price control
 
Ujamaa haupo tena kama nchi za kibepari na matajiri wanapiga vita ufisadi na rushwa kwanini sisi tusipige vitaa,ada kubwa kwa shule za binafisi lazima ziwe na ukomo,iwapo benki wanaukomo wa riba kwanini shule binafisi wasidhibitiwe?
 
Wee ndiye mjinga. Fisadi wahedi wee.
Kuna mijitu haiitakii Tanzania heri. Yataka kunonesha vitambi vyao tu.
 
hahahahaaa huyu naye ni kijipu uchungu anabwabwaja tu sijuwi kala maharage ya wapi huyu maana anaongea hovyo hovyo
 
Hii tabia ya serikali kuanza kuirudisha nchi kwenye mfumo wa ujamaa, ambao ulithibitika kwa vitendo kuwa mfumo wa kijinga, usiotekelezeka, unaogandisha mawazo na unaowafanya viongozi kuwa watawala pekee na siyo viongozi kweli; ni upotofu na udikteta wa hali ya juu. Serikali yoyote inayopanga bei ni serikali ya wajinga, wenye mawazo mgando na madikteta!

Hivi karibuni serikali ya ccm na magufuli wametangaza kuzuia shule binafsi kupandisha ada eti wangoje kile ambacho ikulu walikiita "ada elekezi".

Nasema huu ni ujinga kwa sababu kinachopaswa kuihusu serikali katika shule binafsi ni kuhakikisha wanafuata mtaala wa nchi tu. Tofauti na hapo hakuna kingine. Kumbukeni hakuna kodi yoyote ya mtu iliyotumika kujenga ama kugharamia chochote kwenye hizi shule!

Sasa kwa nini waingiliwe?! Hivi serikali haitupi ujumbe kwamba kwenye shule binafsi ndiko kuliko na elimu bora na kwa hiyo haki ya kupata elimu bora maana yake ni haki ya kusoma kwa bei ndogo kwenye shule binasi?!

Boresheni shule za walipa kodi. Porojo hatutaki!

Ulichokiandika ni porojo,hakuna serikali duniani ambayo haifuatilii na kuweka utaratibu katika sekta binafsi.
Sio vizuri kuihushanisha ikulu na maswala yako uchwara ambayo hayana kichwa wala miguu
 
Watu kama nyie ni majipu og kabisa
Mnatumbuka tu....!!!

Kwako wee serekali ni nini sijui.....!!!
 
Back
Top Bottom