Ujinga tutaacha lini?

Ujinga tutaacha lini?

Ujinga utaachwa pale tutakapoacha kuhukumu watu kwa hisia na assumptions zisizo na msingi. Mtu akija JF kama mwanaume au mwanamke, jambo la msingi ni hoja aliyokuja nayo, si kumchunguza jinsia yake kwa kubahatisha.

Kama post haikupendezi, ipite tu. Kama una hoja, jibu hoja. Lakini kugeuza kila mjadala kuwa “huyu ni mwanamke anayejifanya mwanaume” au “huyu ni mwanaume anayejifanya mwanamke” ni kupoteza muda na kushusha kiwango cha mjadala.

JF ni sehemu ya mawazo na mijadala, si ofisi ya sensa ya kuhesabu wanaume na wanawake.
 
Hii kazi ya mtu kupost kitu JF mnaanza kusema huyu ni mwanamke anakuja kiume, cjui ni mwanamme anakuja kike kike muache. Mfano mim ni me afu mtu kabisa na akili zake anasema mimi n dem pumbavu zenu. Hiyo sensor ya kuhesabu wanaume na wanawake nani kawapa? Kama huna cha kukoment achana nayo na sio kuleta mambo ya kidwanzi mbele zangu vichwa mandazi nyie.

Leta mapovu yenu niwatoe nyoro hapa. Akili mnajitoa hambakizi hata za kuvukia barabara. Hapa hakuna mtu anamnunulia mtu simu au bundle aje jf kupangiwa cha kupost mbwa nyie.

Pole dada... Labda jina lako ndo linaonekana kama la kiume. Lakini basi tu nao hawaelewi. Umeandika mwandiko wa kike kabisa huu. Hata ungejiita Juma lakini tone na mwandiko vya kike kabisa.. sema ulivyowachamba hapa hawarudia tena kusema we ni kama mwanaume.
 
mamako amekupa taarifa zangu leo nilivyompga mti. Ntakuroga
 
Back
Top Bottom