Hii kazi ya mtu kupost kitu JF mnaanza kusema huyu ni mwanamke anakuja kiume, cjui ni mwanamme anakuja kike kike muache. Mfano mim ni me afu mtu kabisa na akili zake anasema mimi n dem pumbavu zenu. Hiyo sensor ya kuhesabu wanaume na wanawake nani kawapa? Kama huna cha kukoment achana nayo na sio kuleta mambo ya kidwanzi mbele zangu vichwa mandazi nyie.
Leta mapovu yenu niwatoe nyoro hapa. Akili mnajitoa hambakizi hata za kuvukia barabara. Hapa hakuna mtu anamnunulia mtu simu au bundle aje jf kupangiwa cha kupost mbwa nyie.
Leta mapovu yenu niwatoe nyoro hapa. Akili mnajitoa hambakizi hata za kuvukia barabara. Hapa hakuna mtu anamnunulia mtu simu au bundle aje jf kupangiwa cha kupost mbwa nyie.