de Gunner
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 10,726
- 21,312
Acha kutafuta sympathy kwa Wanaume wengine, wewe boya linalo elea wewe.Unamcheka rafiki yako 😂
Acha kutafuta sympathy kwa Wanaume wengine, wewe boya linalo elea wewe.Unamcheka rafiki yako 😂
We jamaa acha kunifananisha na taka takaNakumbuka nyakati zile kuna id ya Da Vinci ilikuwa kama ya huyu De Gunner wa siku hizi. Ilikuwa inachangamoto sana na mishangazi ya wakati huo.
Sawa mkuu mamunzi ni yako mimi nilikua natoa ushaurii gor yo bro wagwan
Na wewe ndo wale wale kuna siku umevujisha DM za watu humu, nikakuuliza unapata wapi access ukakosa majibu...Daah wakuu mm sifanani chochote na huyu kijana labda mnafananisha ID. And sijawahi kutafuta mishangazi humu.
Yupo mtu anaitwa @DavinciXIV labda ndo mwamfananisha nae ila sio mimi.
We jamaa ni unatabia za kike kabisa...Kwani ni Ids za mtu mmoja ?
Naona uwasilishaji wao unafanana.
Nitumie mimi nina kazi nazo😂Screenshot ninazo nikuwekee??
Bro samahani kwani we ni muhaya?We jamaa acha kunifananisha na taka taka
Hakuna kiumbe kama mimi humu
Na wale wakaka jeAnajiliza sana kwa wamama huko dm
Unafikiri I even bother malaya wewe?Screenshot ninazo nikuwekee??
Ban inakuita😂Unafikiri I even bother malaya wewe?
Ni ujuha tu uliona na watu wanajua direct kuwa kumbe wewe ni dumb head toka mwanzo
Ndo maana nilikuwa nahisi kuna kitu kati yako na huyo mshenzi kumbe na wewe ni mpuuzi flani tuNa wale wakaka je
Kwekwekwe!🤣Ndo maana nilikuwa nahisi kuna kitu kati yako na huyo mshenzi kumbe na wewe ni mpuuzi flani tu
Nimetukana wapi?Ban inakuita😂
I was so fucking stupid na nilijua toka mwanzo utakuwa na ushirika na washenziKwekwekwe!🤣
Chapisho lako tu linaonyesha una mmbo ya keHii kazi ya mtu kupost kitu JF mnaanza kusema huyu ni mwanamke anakuja kiume, cjui ni mwanamme anakuja kike kike muache. Mfano mim ni me afu mtu kabisa na akili zake anasema mimi n dem pumbavu zenu. Hiyo sensor ya kuhesabu wanaume na wanawake nani kawapa? Kama huna cha kukoment achana nayo na sio kuleta mambo ya kidwanzi mbele zangu vichwa mandazi nyie.
Leta mapovu yenu niwatoe nyoro hapa. Akili mnajitoa hambakizi hata za kuvukia barabara. Hapa hakuna mtu anamnunulia mtu simu au bundle aje jf kupangiwa cha kupost mbwa nyie.