Ujenzi wa barabara ya lami yenye njia nane kutoka jijini Dar es Salaam kuelekea mkoa wa Pwani wafikia 96% shukrani kwa nidhamu ya matumizi ya fedha

Umejuaje kama kuna nidhamu ya matumizi ya pesa wakati hamtaki kukaguliwa?

Pesa za Covid mmegoma kueleza mmezitumia vipi,sembuse hizi nyingine!

Kuna ufisadi upo tu sema awamu hii cover up ni kubwa!
 
Kwani ukipongeza ujenzi huo utapungukiwa na nini? 😂😂, acha roho ya kichawi basi
 
Barabara Muhimu ya kimkakati

Matokeo Chanya yatokanayo na Matumizi Sahihi ya Rasilimali Zetu

Nidhamu kwenye ukusanyaji wa Kodi

Sera nzuri za Kizalendo pongezi kubwa kwa Mhe Rais wetu Na Mzalendo Nambari 1 Dkt John Pombe Magufuli
Bado kuna wasioona, ingawa wanapita kwenye hizo barabara...
 
Hapo kwenye nidhamu, sijui umetumia vigezo gani kuhalalisha hiyo nidhamu. Nchi hii watu wanapiga tena zile grand, kuanzia chamwino ni mwendo wa kupiga tu. Waulize EU.
 
Barabara Muhimu ya kimkakati

Matokeo Chanya yatokanayo na Matumizi Sahihi ya Rasilimali Zetu

Nidhamu kwenye ukusanyaji wa Kodi

Sera nzuri za Kizalendo pongezi kubwa kwa Mhe Rais wetu Na Mzalendo Nambari 1 Dkt John Pombe Magufuli
Kwa hili nampongeza Magufuli
Naondoa shilling kwa consultant waliofanya design walikosea sana mambo mengi wataalamu wa design na ujenzi tukipita kuna makosa mengi ni poor design.
 
Yawezekana ndio bajeti yetu ilipoishia maana kwa awamu hii kinachoangaliwa ni kutatua tu tatizo lililopo lakini sio kuangalia quality kama design ya kitu kinachotengenezwa.
 
Ungem-quote CAG bhasi tuone na matumizi Kama kunanidhamu sio unaongea blaah blah tu
 
Hapo kwenye nidhamu, sijui umetumia vigezo gani kuhalalisha hiyo nidhamu. Nchi hii watu wanapiga tena zile grand, kuanzia chamwino ni mwendo wa kupiga tu. Waulize EU.
Ulitaka wakupe wewe. Kutesa kwa zamu. Kuwadi wa EU!
 
Back
Top Bottom