Ujenzi wa barabara Arusha nani apewe sifa?

meningitis

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
8,349
4,674
kwa muda wa mwezi mmoja na nusu nimeshuhudia barabara za katikati ya mji wa arusha zikiwekwa lami kwa kasi ya ajabu.tukifumbia macho mambo mengine mengi tunaweza kuita haya yanayoendelea arusha nimafanikio makubwa.
Swali langu ni moja na jepesi tu,
JE KWA MAFANIKIO HAYA NI CHAMA KIPI KINASTAHILI SIFA KATI YA CCM NA CHADEMA?
 
Chadema, of course.
 
Kwanza,CHADEMA,pili GODBLESS LEMA,aka, kiboko ya pinda).tatu madiwani wote wa chadema.fungu la ujenzi wa barabara huwa linatolewa au lilishatolewa longtime ila yule mbunge wa magamba anaitwa mrema alipiga crosi akaenda kununua shamba lake la maua na kunashule anajenga njiro sasahivi.kama sio chadema hii nchi sasahivi sijui ingekua imebaki na nini,wangeuza mpaka wake zetu.
 
kwa muda wa mwezi mmoja na nusu nimeshuhudia barabara za katikati ya mji wa arusha zikiwekwa lami kwa kasi ya ajabu.tukifumbia macho mambo mengine mengi tunaweza kuita haya yanayoendelea arusha nimafanikio makubwa.
Swali langu ni moja na jepesi tu,
JE KWA MAFANIKIO HAYA NI CHAMA KIPI KINASTAHILI SIFA KATI YA CCM NA CHADEMA?

nakumbuka barabara ya lami kutoka makuyuni karatu, wakati wa kampeni mkapa kasema ni matunda ya kazi ya ccm.
 
Sifa na utukufu wapewe CDM kwani wametoa changamoto kubwa sana kwa serikala ya magamba katika mkoa wa Arusha.
 
kwa muda wa mwezi mmoja na nusu nimeshuhudia barabara za katikati ya mji wa arusha zikiwekwa lami kwa kasi ya ajabu.tukifumbia macho mambo mengine mengi tunaweza kuita haya yanayoendelea arusha nimafanikio makubwa.
Swali langu ni moja na jepesi tu,
JE KWA MAFANIKIO HAYA NI CHAMA KIPI KINASTAHILI SIFA KATI YA CCM NA CHADEMA?

Kwa nini kila kitu mnakihusisha na siasa.Siasa zitatupeleka pabaya kwani kila kitu kinachofanyika tunaweka siasa ndani jambo ambalo ni tatizo kubwa kwa maendeleo ya sehemu yoyote.
 
mkuu siasa ni kila kitu wala tusiwe wanafiki!huu ujenzi wa barabara ni siasa mkuu,
 
Hayo ndio mambo ya Jakaya Mrisho Kikwete.

Action speaks louder than words.
zomba naona nimekufikisha!unadhani bila
uwepo wa chadema arusha barabara hizi zingejengwa au hizi fedha zingeishia mikononi mwa mafisadi?
 
Chadema chini ya lema kwani fedha ilishatolewa kwanzia 2007 lakini magamba wakaisweka baada ya lema kuingia akaifatilia manispaa akaambiwa haijaingia, jamaa akawasiliana na WB wao wakamwambia tayari walishaitoa yote, wb wakaitumia ujumbe sirikali ya magamba na kuipa miezi 3 iwe imeshapeleka mahesabu kamili na kila taarifa inayohusiana na huo mradi halafu watatumwa wakaguzi, nyinyiem kuona wameshikwa pabaya ndio hii wanachimbua barabara zote si shangai hapa twn kwani barabara ya arusha namanga wamechakachua sababu tokea ngaramtoni ilitakiwa double wao wamefanya single
 
nakumbuka barabara ya lami kutoka makuyuni karatu, wakati wa kampeni mkapa kasema ni matunda ya kazi ya ccm.

Ujenzi ule uligharamikiwa na serikali ya Japan na kwa kumbukumbu zangu wakairuhusu ile kampuni ya KONOIKE kuifanya ile kazi nao kwa kuwa wameshakuwa magwiji hapa Tanzania nao wakafanya ile kazi kwa uchakachuaji wa kufa mtu.
Nasema walichakachua kwa sbb wakati barabara inakaribia kumalizika balozi wa Japan hapa nchini alifanya ziara pale na akakuta uborongaji wa kufa mtu na ndipo akakodoa macho na ikaimarishwa angalau. Kwa hiyo Mkapa akijidai ni ccm wametengeneza ni dhahiri kbs ya kwmb wanaidanganya umma.

ccm wako ICU!
 
Ni CHADEMA maana wameikataa ccm kwa kushindwa kutekeleza ahadi na ccm haina namna ya kukubalika zaidi ya kutimiza ahadi kwa vitendo
 
kwa muda wa mwezi mmoja na nusu nimeshuhudia barabara za katikati ya mji wa arusha zikiwekwa lami kwa kasi ya ajabu.tukifumbia macho mambo mengine mengi tunaweza kuita haya yanayoendelea arusha nimafanikio makubwa.
Swali langu ni moja na jepesi tu,
JE KWA MAFANIKIO HAYA NI CHAMA KIPI KINASTAHILI SIFA KATI YA CCM NA CHADEMA?
Badala ya kujenga barabara ya kuunganisha Tabora na Iringa au Tabora na Mbeya , serikali ya CCM inajikomba kuwafurahisha CHADEMA huko Arusha, watu ambao wana uhakika wa kuopata kura zao.
Sijui tuite nin kitu hii?
 
Back
Top Bottom