Zipewe sifa CDM na kodi zetu
zomba naona nimekufikisha!unadhani bila
uwepo wa chadema arusha barabara hizi zingejengwa au hizi fedha zingeishia mikononi mwa mafisadi?
Kwani ujenzi wa barabara za Arusha umeanza jana au juzi? huu si muendelezo tu.
Hiyo ya fedha kuishia mikononi mwa watu, hayo mambo ya wakati wa Mkapa, Mwinyi na Nyerere, sasa hivi kuna Jakaya Mrisho Kikwete "action speaks louder than words".
...Pesa yako matumizi yako, maswali ya nini sasa?...ujenzi huu wa sasa ni wa ''mafuriko'' lazima kuna shinikizo la kisiasa .
...Pesa yako matumizi yako, maswali ya nini sasa?...
kwa muda wa mwezi mmoja na nusu nimeshuhudia barabara za katikati ya mji wa arusha zikiwekwa lami kwa kasi ya ajabu.tukifumbia macho mambo mengine mengi tunaweza kuita haya yanayoendelea arusha nimafanikio makubwa.
Swali langu ni moja na jepesi tu,
JE KWA MAFANIKIO HAYA NI CHAMA KIPI KINASTAHILI SIFA KATI YA CCM NA CHADEMA?

ujenzi huu wa sasa ni wa ''mafuriko'' lazima kuna shinikizo la kisiasa .
Wananchi walipa kodi ndio wanaotakiwa kupewa sifa kabla ya chochote,na vyama vinatokana na wananchi hao hao pia kodi kwa ajili ya maendeleo ya taifa inachangwa kutoka kwa wananchi hao hao.
Unaulizwa swali jingine unajibu vingine kabisa. Kuwa mkweli.
Zomba , barabara zote zinazozungumziwa zipo katikati ya jiji. Na zipo kwenye kata zinazoongozwa na madiwani wa cdm. Kata ya Levolosi na Ngarenaro zinapojengwa hizo barabara zinaongozwa na madiwani wa cdm. Kwahiyo sifa wapewe cdm.
Nadhani hilo ndilo jibu ulilolitaka!
Jakaya Mrisho Kikwete anastahili kila pongezi jinsi alivyobadili sekta ya barabara Tanzania, hakuna wa kabla yake aliyefanya hata nusu ya anayoyafanya yeye, si katika barabara tu, katika nyanja zote. Leo Arusha kuna vyuo vikuu.
Ni bahati mbaya hoja hii ya inatolewa na mwana JF. Mtoa hoja anapaswa kufahamu kuwa public goods hugharimiwa na Serikali? Hoja ya sifa haina nafasi hapa ni wajibu wa saerikali kufanya hivyo.
kwanza,CHADEMA,pili GODBLESS LEMA,aka, kiboko ya pinda).tatu madiwani wote wa chadema.fungu la ujenzi wa barabara huwa linatolewa au lilishatolewa longtime ila yule mbunge wa magamba anaitwa mrema alipiga crosi akaenda kununua shamba lake la maua na kunashule anajenga njiro sasahivi.kama sio chadema hii nchi sasahivi sijui ingekua imebaki na nini,wangeuza mpaka wake zetu.
sifa kwa yesu!