Ujenzi wa barabara Arusha nani apewe sifa?

kwa muda wa mwezi mmoja na nusu nimeshuhudia barabara za katikati ya mji wa arusha zikiwekwa lami kwa kasi ya ajabu.tukifumbia macho mambo mengine mengi tunaweza kuita haya yanayoendelea arusha nimafanikio makubwa.
Swali langu ni moja na jepesi tu,
JE KWA MAFANIKIO HAYA NI CHAMA KIPI KINASTAHILI SIFA KATI YA CCM NA CHADEMA?

JK waache chadema na roho mbaya zao endelea kujenga Arusha yetu kwani ipo ndani ya mipaka ya tz,
hongera kwani licha ya vituko vingi vya hapa Arusha bado unaendelea kututhamini!
 
Chama kilicho serikalini ,,, sifa ziende kwa muheshimiwa raisi Dr jakaya mrisho kikwete

PS - ingawa chadema mnadhani barabara si muhimu na hazifai kupewa kipaumbele "rejea kauli ya mropokaji nassari bungeni " serikali will do what is right kwa wananchi
 
kwa muda wa mwezi mmoja na nusu nimeshuhudia barabara za katikati ya mji wa arusha zikiwekwa lami kwa kasi ya ajabu.tukifumbia macho mambo mengine mengi tunaweza kuita haya yanayoendelea arusha nimafanikio makubwa.
Swali langu ni moja na jepesi tu,
JE KWA MAFANIKIO HAYA NI CHAMA KIPI KINASTAHILI SIFA KATI YA CCM NA CHADEMA?
Huo ndugu yangu ni mkopo wa World Bank wala sio fedha za halmashauri ya Arusha, sijui fedha za makusanyo yooote hayo zinakwenda wapi????? Barabara kama wewe ni msemaji wao waambie wamalize vipande vidogo kuliko kufumua barabara bila kutengeneza wanasababisha usumbufu, wafanye kazi kitaalamu wasiwe majua kali!!!!

 
Inchi hii angepewa Mtu kama Kagame hivi kwa Miaka 7 ya jk hakya mungu Arusha yote ingekuwa Half London jk ni Dhaifu tu hakuna lolote la maana zaidi ya Safari nje,Rais ujae kazi unayo.
 
Kwanza,CHADEMA,pili GODBLESS LEMA,aka, kiboko ya pinda).tatu madiwani wote wa chadema.fungu la ujenzi wa barabara huwa linatolewa au lilishatolewa longtime ila yule mbunge wa magamba anaitwa mrema alipiga crosi akaenda kununua shamba lake la maua na kunashule anajenga njiro sasahivi.kama sio chadema hii nchi sasahivi sijui ingekua imebaki na nini,wangeuza mpaka wake zetu.

Acha kupotosha umma, barabara hiyo ni mpango wa siku nyingi na upo katika ilani ya CCM. kwani barabara zinazojengwa kwa kasi hivi sasa ni hiyo tu? inaonekana hutembei Tanzania hii. Kila kona kuna miradi kabambe ya ujenzi wa barabara na ni nzuri kwelikweli Juzi nili drive kwenda Kigoma nimeshangaa sana miradi ya barabara ilivyopamba moto, pia nilisafiri kwenda Mbeya Barabara bomba ya kumataifa kati ya Iyovi(Mikumi) na Iringa mjini, kwa kweli ni nzuri sanaaa niliteleza kama kambare.
 
Back
Top Bottom