Nile_house_designs
JF-Expert Member
- Nov 13, 2020
- 481
- 524
- Thread starter
- #441
TUmerudi tulipoishia, karibuni tena mjipatie ramani kalikali za ujenzi
Mkuu zipo za kutosha, pitia uzi page za mwanzoni lakini pia waweza toa mahitaji yako, tukatengeneza ramani uitakayoMkuu hakuna ata pich za nyumba za sisi hoehoe ramani zake.... Wazee wa store, jiko na sebule na choo pia
Hiyo design wakikosea kujenga huwa inaingiza maji ndani au kunyevusha kuta za ndani so rangi zitabanduja dailybado mafundi wetu wa kibongo hawajawa wazoefu wa kujenga design hiyo ya nyumba, nimehangaika sana, kila ninaye mjaribisha ni magumashi tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sasa kuna mafundi wazuri na wenye uzoefu wa kutosha kuweza kufanya aina hii ya paa. Usisite tutafute tukuhudumieHiyo design wakikosea kujenga huwa inaingiza maji ndani au kunyevusha kuta za ndani so rangi zitabanduja daily
Kiongozi design ya msikiti je huwa mnafanya au ni makazi tu?Karibuni sana wadau
Tunafanya mkuu, kuna mmoja nilipost mdogomdogo, nauquote hapaKiongozi design ya msikiti je huwa mnafanya au ni makazi tu?
tunataka kuweka msikiti double storey 14x8m (112Sqm)
Tutatengeneza design unayoitaka, nakucheck inboxHuo ni single storey sio double.
Je unaweza nipa wa doublev storey?
gharana ya complete architectural drawings na structural drawings inaenda ngapi?
Ujenzi inagharimu ngapi
-foundation
-foundayion to slab
-Jengo lote