UJENZI: Let us transform your design ideas into reality - Nile house designs

UJENZI: Let us transform your design ideas into reality - Nile house designs

6nile.jpg
karibuni sana.

Call/whatsapp 0715477041
 
Karibuni sana wadau , njoo ujipatie design ya ndoto zako, tuambie unataka nini na tutadesign kama unavyotaka.

call/whatsapp 0715477041

myarchitectai_9maqu4qzy_sd.jpg
 
Je, una kiwanja kidogo lakini unataka nyumba nyingi zilizopangwa vizuri?
Tunatoa huduma ya usanifu wa nyumba kwenye maeneo madogo, nyumba zenye mpangilio bora unaoweza kutosha hadi unit 8 pamoja na eneo la parking.

✅ Mpangilio wa kisasa na matumizi mazuri ya nafasi
✅ Nyumba zilizopangwa kwa faragha na urahisi wa matumizi
✅ Eneo la parking lililopangwa vizuri
✅ Inafaa kwa uwekezaji wa nyumba za kupangisha
✅ Michoro ya kitaalamu yenye kuzingatia mwonekano wa kisasa

Wasiliana nasi leo upate design inayoongeza thamani ya kiwanja chako na mapato ya uwekezaji.

Call/whatsapp 0715477041

nile.2_3 - Photo.jpg
nile.2_1 - Photo.jpg
 
3 bedroom house (two self contained)
dining
super lounge
kitchen
store
Library

affordable price!!

tupigie ## 0715477041

Drawings can be adjusted to meet client's ideas

(michoro yaweza rekebishwa kukidhi matakwa ya mteja)

## picha zote zimetengenezwa na nile house design ( no copied images)
View attachment 1700063
Haka kazuri! Sasa najiuliza sijui hili kolokolo langu linaweza kubadilishwa likawa la kisasa zaidi?
 
Karibuni sana wadau , njoo ujipatie design ya ndoto zako, tuambie unataka nini na tutadesign kama unavyotaka.

call/whatsapp 0715477041
myarchitectai_iewb98ljt_sd.jpg
 
Mkuu share picha za ukweli field kama ile umeweka ya kwanza itavutia zaidi wadau.. ushauri tu
 
Ok ahsante boss kwa ushauri, nitazingatia maoni.

Lakini pia hizi ni design za wadau niliofanya nao kazi.
 
Back
Top Bottom