SEASON 3
UMOJA NAMBA TISINI NA SABA
(UNIT NO:97)
BY SINGANOJR
WELCOME TUNAENDELEA

SEHEMU YA 61

INVITATION (MWALIKO)

Mheshimiwa wa Jamhuri ya muungano bwana Henry alikuwa ameshamaliza ziara yake ya kikazi ndani ya nchi ya Marekani na kwasasa alikuwa ndani ya uwanja wa ndege wa kimataifa wa John kennedy kwa ajili ya kurejea nchini Tanzania kwa ajili ya kuendelea na majukumu yake ya kikazi , ziara hio kwake aliona ni moja ya ziara iliokuwa kwenye mafanikio makubwa sana kutokana na makubaliano mengi ya kiuwekezaji alioyakamilisha, jambo ambalo aliaminni atakwenda kupunguza tatizo la ajira .
Baada ya taratibu zote za kiusafiri kuisha hatmae mheshimiwa alikuwa ndani ya ndege a akiwa ameambatana na wasaidizi wake .
Alijikuta akiegamia kwenye kiti chake huku akianza kufikiria mambo kadha wa kadha katika maisha yake ya uongozi mpaka hatua ambayo amefikia kwa wakati huo.
******
ANASIMULIA RAISI HENRY KABLA YA KUWA RAISI
Ni siku ambayo nilipata kuujua ukweli , ukweli ambao katika maisha yangu ulikuwa ni ukweli ambao umenifanya niumie sana , maumivu ambayo katika maisha yangu sikuwahi kuyapitia , maumivu ambayo yalisababishwa na watu wangu wa karibu mno niliowapenda kwa moyo wangu wa dhati , mheshimiwa Bendera na mke wangu Wema , ni watu ambao nilikuwa nikiwajali sana katika maisha yangu , lakini pia ndio watu ambao walikuwa wakinifanya katika maisha yangu nipitie kipindi kigumu sana , nasema nikipindi kigumu sana kwani japo nilikuwa nimeujua ukweli lakini mke wangu hakuwa akifahamu kwamba nilikuwa nikijua siri yake ambayo alikuwa ameificha kwa miaka mingi sana , kwani ni miaka mingi sasa tokea tufunge pingu za maisha , kila nilipokuwa nikimuangalia mke wangu , moyo ulizidi kuniauma , nilikuwa nikimpenda sana , lakini ukweli uliniumiza na ni jambo ambalo nngejua mapema huenda ningemzuia hata Suzzane kufatilia maisha ya nyuma ya mke wangu , lakini sikuwa na jinsi kwani kama ni ukweli nilikuwa nishaujua na sasa nilikuwa nikitakiwa kuukabiri.
Jambo la kwanza nililoliamua kwa wakati huo ilikuwa ni kuhakikisha kwamba hakuna mahusiano yoyote kati ya mke wangu na Bendera tena .
“ Mama Jane hivi kabla sijakuoa ushakuwa na wanaume wangapi ?” Ni swali lililoniponyoka na hata mimi sikuelewa lakini nilijikuta nishauliza wakati huo nikiwa nimepumzika na mke wangu muda wa usiku ndani ya ikulu .
“ Kwanini unauliza mme wangu “
“ Nimeuliza tu , nimekumbuka kipindi na kutongoza ulivyonisumbua “
“ Hahaha … labda niweke vizuri swali lako mme wangu , uliza hivi hivi ni wanaume wako wangapi ambao ushawahi kuwapenda ?”
“ Enhe hivyo hivyo haya nijibu sasa “
“ Kwa wanaume ambao nishawahi kuwapenda wewe wa pili , wakwanza ndio alienitoa usichana wangu nikiwa sekondari “
“ Na ambao hujawapenda ila ulikuwa nao kwenye mahusiano?? “
“ Ni mmoja tu na ilikuwa kipindi hicho nimepigika kimaisha sina mbele wala nyuma ndio maana niliingia kwenye mtego wa mwanaume huyo “.
“ Ilikuaje ukaachana na mwanaume wako wa kwanza?? “.
“ Ni stori ndefu mume wangu , kufupisha nilitokea tu kumpenda baada ya kunisaidia kipindi nikiwa sekondari na hapo ndipo nilipoanza kumpenda , ila bahati mbaya tukaja kupotezana baada ya kuhitimu na kila mtu kurudi nyumbani kwake , lakini baadae nilikuja kujua kuwa mwanaume huyo hakuwa akitaka kuniona tena kutokana na kufeli vibaya katika masomo yake “
“ Wewe ulijuaje ?”
“ Nilijua kupitia rafiki yake “
“ Ulichukua uamuzi gani?? “
“ Kwanza nilihuzinika sana na kuumia moyo kutokana na kwamba nilikuwa nikimpenda , lakini sikuwa na jinsi niliamua kuachana nae na hapo katika kupigana na maumivu ya moyo ndipo nilipokuja kukutana na mwanaume mmoja hivi ambae ndio huyo sikuwa nikimpenda ila nilikuwa na shida ya kihisia ambayo ilikuwa ikihitaji tulizo na pia nilikuwa na shida mmno kipesa “
“ Pole sana mke wangu , sasa ilikuwaje na huyo mwanaume , kwanini mliachana ?”
“ Kwanza alikuwa ni mzungu , pili baada ya kujifungua mtoto ndipo alikuja kuniambia maneno ambayo sikuyategemea kabisa “
“ Kumbe ulijifungua mtoto !! na alikuambia maneno gani ?”
“Eee!nilijifungua mme wangu naomba unisamehe kwa hilo sikutaka kuliweka wazi kwako kwani ni swala ambalo linanipa mawazo sana kila ninapolikumbuka , ila tu aliniambia kwamba hawezi kumkubali mtoto wangu kwani tayari anafamilia yake hivyo wanafamilia wake wasinge weza kumkubali mtoto wangu “
“ Na huyo mtoto yuko wapi??. “
“ Aliibiwa na rafiki yangu “ Aliongea mke wangu huku akionekana kuwa katika huzuni kubwa mno alinihadhithia kila kitu na nilimuonea huruma kwani ni stori ya kuhudhunisha .
“Aisee pole sana mke wangu na huyo mzungu alirudi kwao?? “.
“ Ndio alirudi “.Uongo
Basi mke wangu alinihadithia kwa ufupi maisha yake ya nyuma japo nilijua anadanganya baadhi ya mambo , ila kwangu ilikuwa ni afadhali ameniambia nusu ukweli , na mimi pia nilijikuta nikikumbuka kipindi nikianza mahusiano na Wema sikuwahi kumuuliza kuhusu maisha yake ya nyuma kwahio mimi ndio niliona ndio wa kulaumiwa sio mke wangu, kwani kipindi kile nilichokuwa nikitaka ni kuanzisha mahusiano nae tu na sio swala lingine .. i was desperate .
“ Na huyo wa kwanza ilikuwaje ,ulikuja kuonana nae tena “.
“ Ndio nilikuja kuonana nae na tayari alikuwa na mke na nikipindi ambacho ulikuwa ukinifatilia , bado nilikuwa nikimpenda , nilimfata na kuongea nae na aliniambia niendelee na maisha yangu kwani tayari alikuwa na mke , niliumia mno , lakini kwa msaada wako niliyashinda maumivu “ Aliongea mke wangu na kweli niliishuhudia huzuni ndani ya macho yake na sikutaka kumuuliza kingine Zaidi ya kukumbatiana nae na kulala .
Kwaweli kwa asilimia kubwa kidogo niliona ile hali ya uchungu moyoni mwangu ilishuka , na hio ni kutokana na maneno ya mke wangu , nilijua kabisa huenda mke wangu alikuwa na sababu ya kunificha ukweli juu ya Bendera kuwa mwanaume wake wa kwanza , huenda labda alidhania urafiki wetu ungekoma .
Niliamua kumsamehe mke wangu , lakini huo ndio mwanzo wa mimi kumfatilia mke wangu , kwani niliogopa huenda akawa na mahusiano ya siri na Bendera , japo nilikuwa nikimuamini , lakini kwangu hilo ndio jambo ambalo niliona linafaa kufanya kwani pia lilinisaidia kutokuwa na mawazo juu ya mke wangu , maisha nayo yalisonga na kiufupi sikuweza kuona mienendo yoyote ya mke wangu kuwa na ukaribu na Bendera wa kimapenzi Zaidi ya kuheshimiana kama kitu na shemeji yake .
Nakumbuka siku ambayo niliujua ukweli ndio siku ambayo mheshimiwa Ndalu alinipigia huku akioneakana kufurahia kweli juu ya mimi kuujua ukweli , lakini niliamua kumpuuza , nakumbuka neno moja tu aliloniambia siku hio lilikuwa ni “ HIO NI HATUA NZURI ULIOFIKIA HENRY“ nilimuuliza anamaana gani lakini hakunieleza Zaidi ya kukata simu ,kumbuka yeye ndie aliesababisha mimi kufatilia mambo ya nyuma ya mke wangu .. mpaka kwa wakati huo sikujua nia yake ni nini.
Suzzane ambaye alikuwa ni mshirika wangu wa siri , alikuwa akiendelea kunifahamisha juu ya utafiti ambao nilimpa aufanye juu ya jinsi safari ya rafiki yangu Bendera ilivyoanza kuelekea ikulu , Na alifanikiwa kwa asilimia kubwa sana , kwani nilikuja kugundua kuwa waliomshawishi Bendera kuchaguliwa walikuwa ni wakongwe wa chama yaani maraisi wa awamu ya tano, ya nne na ya tatu , jambo hilo lilinifanya nikumbuke siku moja Bendera alivyoniambia kuhusu wakongwe wa chama juu ya kuwashawishi na mimi nilimpa jibu rahisi tu ‘ kwasasa hawana nguzu Zaidi kwenye chama ‘ ndio jibu ambalo niliona lilinigharimu sana.
Ukweli wote juu ya Bendera kuingia ikulu niliujua , na pia nilijua kuwa na yeye alikuwa ameshawishiwa kwa ajili ya kuingia ikulu .
Lakini licha ya hayo yote , sikuweza kumchukia Zaidi Bendera , na yeye nilimtengenezea sababu za yeye kutoniambia , lakini pia nilijua huenda alikuwa anaamini hakushinda kutokana na kutoamini nguvu ya wazee wale ndani ya chama , kutokana na hayo basi sikutetereka Zaidi na niliendelea kumsaidia katika majukumu mengi ya kiserikali .
Baada ya miezi kadhaa kupita , nakumbuka mheshimiwa raisi alifanya safari yake ya kwanza kwenda nje ya nchi , ilikuwa ni moja ya nchi ya hapa Afrika , Na pia wakati anaondoka pia mke wangu alikuwa nchini Marekani kibiashara , na mimi nilikuwa nchini kushughulika na majukumu kwa niaba ya raisi.
Ziara ya mheshimiwa ilikuwa ni ya siku tatu nje ya nchi na siku ya pili akiwa ziarani ndipo nilipopokea barua ya mwaliko , barua hio ilikuwa ikinialika kuhudhuria mkutano wa wafanya biashara ndani ya jiji la Singapore , nilialikwa sio kama kiongozi ila nilialikwa kama mfanya biashara , kwani kwa kipindi hicho biashara zangu pia nilikuwa nikizisimamia mwenyewe japo nilikuwa makamu wa raisi , mwaliko ulikuwa ni mwezi mmoja mbeleni , yaani kuhesabu siku therathini kwanzia siku hio .
Kwangu kutokana na kwamba pia mkusanyiko huo wa wafanya biashara wakubwa duniani nilikuwa nikiufahamu vyema , Na pia nishawahi kutamani kuingia kwenye mkusanyiko huo ambao ulikuwa ukifanyika kwenye mataifa mbali mbali kila mwaka , kwangu niliona hio ni fursa moja kubwa kwangu kama ningeweza kuhudhuria mkutano huo , uliokuwa umepewa jina la BIBTWAG(BEST INTERNATIONAl BUSSINESSPERSON TOP WORLD ASSOCIATION GATHERING ).
‘BIBITWAG’ ndio jina la mkusanyiko huu ambao mara nyingi ulikuwa ukihusisha wafanya biashara wakubwa duniani , lakini walikuja baadae kuongeza wafanya biashara chipukizi kwa kila taifa , yaani ili uweze kufanikiwa kuingia ndani ya mkutano huu ni lazima wakuchague wenyewe ukiwa ndani ya taifa husika na ndipo utaweza kupokea kadi yao ya mwaliko , hivyo kila mwaka walikuwa wakitoa mwaliko kwa kila mfanya biashara chipukizi katika mataifa mbalimbali .
Hio kwangu mimi ilikuwa furaha kubwa kupata kadi ya mwaliko , kwanza nilishangaa kwani kulikuwa na wafanya biashara wakubwa tu chipukizi ndani ya Tanzania lakini niliepata nafasi ya kuhudhuria ndani ya mkutano huo nilikuwa mimi .
Mkutano huo ulikuwa ukifanyika ndani ya jengo la ukumbi mkubwa uliokuwa ukimilikiwa na kampuni ya ‘SOUL LAB ‘ ni kampuni ambayo sikuwa na taarifa zake sahihi lakini ndio moja ‘’Group of companies’’ lililokuwa na makampuni mengi ndani ya jiiji la Singapore .
Hatimae baada ya siku kadhaa mheshimiwa raisi alirejea nchini kutokea kwenye ziara yake , lakini pia hata mke wangu alikuwa amerejea nchini kutoka kwenye biashara zake , hatimae siku nazo ziliyoyoma na baada ya siku therathini nilipata ruhusa kwa muheshimiwa kwa ajili ya kuelekea nchini Singapore , ni safari ambayo kwangu ilikuwa ni ya furaha sana wakati nikiwa ndani ya ndege ya Fly Emirates tukielekea ‘Changi international airport’ .
Uzuri kutoka Tanzania kwenda Singapore hapakuwa mbali sana muda wake ni kama unavyopanda basi kutoka Dar es salaam kwenda Mbeya , kwani ilikuwa ni sehemu ya masaa kumi tu ushafika , na mimi ndani ya muda huo nilikuwa ndani ya jiji hili kubwa lililokuwa limejengeka sana katka swala zima la miundombinu .
Utaratibu uliokuwepo ni kwamba kila mshiriki wa ‘BIBTWAG’ analipiwa kila kitu kwanzia mavazi shemu ya kulala na mengineyo , na hio ndivyo ilivyotokea , kwani ile natoka ndani ya uwanja wa ‘Chang’ nilikuja kupokelewa na mwanadada mmoja wa bara la kiasia , mrembo mzuri alievalia suti na kitambulisho chake na nakumbuka jina lake alikuwa akifahamika kwa jina la Lesitha toure .
“ Welcome mister henry in Singapore “ Lesitha aliongea kwa sauti yake nzuri ya kingereza na mimi niliitika kwa furaha .

SEHEMU YA 62

THE BIGINING OF ALL
(MWANZO WA YOTE)
Basi baada ya kupokelewa na mwanadada Lesitha niliingia kwenye moja ya gari ya kifahari kabisa aina ya Bentley ilianza safari yake kwa kuingia ndani ya barabara hio ya uwanja wa ndege , ikaja kukunja kushoto ikaingia mtaa mmoja uliokuwa ukifaamika kwa jina la Atdnata, Hapa ni eneo moja ambalo kuna kampuni kubwa sana kwa sasa inayofahamika kwa jina la ‘Atdnata Singapore Pte Ltd’.
Kusema ukweli jiji hili lilikuwa limejengeka , ilikuwa ni mara yangu ya kwanza kuingia ndani ya kisiwa hichi , miundombinu na kila kitu kilikuwa kinavutia sana , basi baada ya kuingia tena barabara ambayo nilikuja kuijua kwa jina la T4 tulipita ‘Airport’ nyingine iliokuwa ikifahamika kwa jina la ‘Blvd’ , tukapita kwenye daraja kubwa ndani ya barabara iliokuwa ikifahamika kwa jina la Rochor .
Basi tukatembea nayo hio wakati huo nikiendelea kushangaa mandhari ya kuvuitia , na nilikuja kuvutiwa Zaidi tulipoingia barabara ya beach na gari hio ilitembea na kwenda kusimama kwenye hoteli moja kubwa ya kisasa kabisa iliokuwa ikifahamika kwa jina la JJ ORCHAD hotel , ilikuwa ni hoteli kubwa ya kitalii , hoteli ambayo nilikuja kuambiwa na Lesitha kuwa hio ni moja ya hoteli ambayo wafanya biashara wakubwa duniani kote waliokuwa wakifika ndani ya Singapore kwa ajili ya kusanyiko hilo walikuwa ndani ya hio hoteli , kiufupi aliniambia kuwa imekodiwa na waandalizi wa ‘BIBTWAG’ nakumbuka alinitajia na baadhi hoteli zingine ambazo zilikuwa zimekodiwa na “BIBTWAG “ alinitajia hoteli ya Marine bay , York hotel na Scarlet , zote hizo zilikuwa ni moja ya hoteli kubwa mno ndani ya jiji la Singapore ambazo zilikuwa ni za nyota tano .
Basi nilipewa chumba pale na kadi yangu nikiongozana na mrembo huyu wa kiasia , ambaye nilikuja kumjua baadae kwamba alikuwa ni mfilipino , alikuwa ni mrembo kweli kwa kumuangalia , lakini pia nilifurahia kutokana na uchangamfu wake na alikuwa akinipa maelekezo yote , basi baada ya kufika ndani ya chumba namba 209, kilikuwa ni moja ya chumba kizuri mno , kilikuwa ni ‘Master suite’ kizuri na cha kuvutia mno nilikiangalia na kujiridhisha huku nikikaa chini na hapo ndipo mwanadada huyu alipo jitambulisha ..
“My name is Lesitha toure, Soul lab Nun Agent who works for BIBTWAG , I came from Manila, a city where I was for two months after Tanzania( kwa jina naitwa Lesitha toure , Nun kutoka Soul lab ambaye nafanya kazi chini ya ‘BIBTWAG’ , nimetokea Manila jiji ambalo nimekaa kwa miezi kadhaa baada ya kutokea Tanzania “.
Ni utambulisho ambao kwa kweli ulinishangaza sana mpenzi msomaji , kwanza Soul lab nilikuwa siifahamu vyema na kunichanganya sana , lakini hilo neno ‘Nun’ lilinichanganya mno lakini pia kitendo cha mwanadada huyo kutokea Tanzania pia kilinichanganya .
“Umetokea Tanzania “,Nilimuuliza Kwa lugha ya kingereza
“ Ndio , mimi ndio nilikuletea kadi ya mwaliko “ Aliongea mwanadada huyo akizidi kunichanganya.
“ Kwa hio ulikuja Tanzania kwa ajili ya kuniletea kadi ya mwaliko ?”
“ Hapana nilikuwa nchini Tanzania kwa muda wa miaka mitatu kwa ajili yako “
“ Kwa ajili yangu ?”
“ Ndio nilikuwa nikikuangalia kwa muda mrefu sana , unaweza ukashangaa ila nimaelekezo kutoka BIBTWAG kukufatilia “
“ Kwanini ulikuwa ukinifatilia?? “
“ Kwasababu ulikuwa umechaguliwa kuwa mwanachama wa’ BIBTWAG’ hivyo ni utamaduni kuwafuatilia wanachama wetu kabla ya mkusanyiko mkuu wa mwisho “
Haikunishangaza sana kwani niliamini ‘BIBTWAG’ ilikuwa ni moja ya shirika kubwa la kibiashara Duniani , lakini hili swala la kufatiliwwa lilinichanganya .
“ Mister Henry natakiwa kwenda kuripoti kama umefika nchini , ili taratibu za kukuandaa kwa ajili ya mkutano mkuu zianze , kwasasa utatumia simu hii kuwasiliana na mimi na pia unatakiwa kunikabidhi kila kitu chako vikatunzwe mpaka pale kikao kitakapo isha “ Aliongea na kunifanya nishangae Zaidi .
“ Kwanini unataka kuchukua vitu vyangu ilihali ndio nitavitumia?? “
“ Ni utamaduni wa kila mwanachama wa ‘BIBTWAG’ atakaye hudhuria , ukishaingia kwenye hoteli hii huruhusiwi kuwasiliana na family yako mpaka pale mkutano utakapoisha , pili hutakiwi kukutana na mwanamke yoyote Zaidi yangu “.
“ Unamaanisha nini ?? “.
“ Ndio ni moja ya utaratibu , kwa haraka mimi ni bikra na hatua ya kwanza itakayo kuwezesha kushirikia kikao ni kunitoa bikra yangu , lakini haruhusiwi kuni mwagia shahawa , ila unatakiwa uzimwage kwenye hiki “
Alitoa chupa ndogo iliounganishwa na umeme na ilikuwa na mkanda mrefu unaovutika kama ile ya kufungia funguo , ilikuwa ni kama "themosi" lakini zile ndogo kabisa , kiufupi nilijikuta nikianza kushangazwa na kila kinacho endelea na sio kushangazwa tu lakini pia hata hofu ilianza kunishika .
Lesitha aliniacha kwenye mshangao mkubwa baada ya yeye kutoka huku akiniambia kuna sheria nyingi sana za kufata na atakuwa akinielekeza moja baada ya nyingine pale atakaporudi na mpaka nitakapohudhuria kikao .
Nilimwangalia mpaka anatoka huku akiniangalia na kutabasamu na kunipiga busu la hewani , alikuwa na mapozi kweli , mapozi ambayo yalinifanya nimfikirie inakuwaje akawa bikra , na kwanini mimi nimtoe bikra , na kwanini nisimwage ndani , nimwagie kwenye kile kifaa , niliwaza sana mpaka nilipokuja kupotelea usingizini , bila hata ya kuoga .
Muda wa saa kumi na moja za jioni kwa muda wa Singapore nilijikuta nikishituliwa na Lesitha na nilishangaa kwani sikujua kuwa amefika saa ngapi , kwani wakati nashituka alikuwa amevaa taulo tu na alionekana kuwa na maji , jambo lililonifanya nijue kuwa alikuwa amefika muda mrefu .
“ Nenda kaoge Henry uje ule ujiandae kwa hatua yako ya kwanza “ Aliongea kwa sauti flani nyororo ilionifanya nimwangalie mwanamke huyu na kujikuta nikikiri kuwa alikuwa ni mrembo haswa , mpaka mimi mwenyewe nilianza kushangaa ilikuwaje wakati wa kuingia sikujua kuwa alikuwa mrembo kiasi hicho , na kwa jinsi alivyokuwa amevalia , nilijikuta nikichanganyikiwa kabisa kama mwanaume rijali , niliamka na nikaelekea bafuni huko na nilikaa kwa dakika kadhaa tu mlango wa bafuni ulisukumwa na Lesitha aliingia akiwa hana nguo hata moja yaani alikuwa kama alivyo letwa duniani , jambo ambalo lilinifanya nitumbue macho kumwangalia , huku nikimthaminisha kibaharia mrembo huyu ambae wakati huo alikuwa ameachia tabasamu pana huku akinisogelea , na alivyonifikia alichukua sabuni niliokuwa nimeishikilia ya kuogea bila kuongea chochote alianza kunipaka sabuni na kuniogesha , jambo lililonifanya nimkumbuke mke wangu kipindi tunaanza mahusiano yetu ndio mambo kama hayo niliokuwa nikifanyiwa na mlimbwende huyu ambae hakuwa na doa kabisa kwenye mwili wake , alikuwa na mikono soft , mikono ambayo ilinifanya niwaze kwamba muda si mrefu kwa mara yangu ya kwanza ninaenda kumsaliti mke wangu, maana kwa jinsi rungu yangu ilivokuwa ikinesa nesa , nidhahiri kwamba nisingeweza kutoka kwenye mikono ya mwanamke huyu mpaka kuna muda nikajisemea kwamba huyu dada hakuwa bikra kama alivyoniambia , basi niliogeshwa nikatakata na kisha nikafutwa maji nikapakwa mafuta , yaani mambo niliokuwa nikifanyiwa nilijiona dunia nyingine kabisa , kwani msisimko niliokuwa nikiusikia ulikuwa wa aina yake , msisimko ambao ulichangizwa na uzuri wa Lesitha , yote hayo tuliokuwa tukifanya hapo ndani yalifanyika kimya kimya , hakuna aliekuwa akiongea , mimi nilikuwa nimefumba macho tu kusikilizia mikono laini ya mwanadada huyu ikifanya kazi ya kupaka mafuta kuanzia kwenye dudu mpaka kichwani , nakumbuka mara baada ya kupaka mafuta na kumaliza aliniambia nivae taulo na muda mfupi chakula kilifika , na wine ambayo mpaka leo sijawahi kuijua ile wine inapatikana wapi , kwani niliitafuta mitandaoni sikuweza kuiona nakumbuka ilikuwa imeandikwa kwa jina la kifaransa ‘Alodie ’.
Basi tulikula huku nikimpa tahadhari kwamba mimi nina mke na hivyo siwezi kumsaliti , jambo ambalo lilimfanya acheke sana kwa mapozi ambayo yalizidi kuufanya uzuri wake uzidi kumakinika ndani ya mboni za macho yangu .
“ Tutajua Henry kama kweli umeoa , lakini nikukumbushe tu , hii ndio hatua ya kwanza kwako kuingia katika umoja wa ‘BIBTWAG’ “
“ Mambo ya biashara yanahusiana nini na mimu kufanya ngono na wewe ?” Lilikuwa ni swali ambalo nilimuuliza na alitabasamu tu huku akinipa glass ya mvinyo ninywe “
“ Utaelewa Baadae Henry , lakini kwa sasa utanifata kila ninachokuambia kwakua mimi ndio nitakupa muongozo wa kila kitu “.
“ Lakini siwezi kumsaliti mke wangu , kwa ajili ya kufanya mapenzi na wewe , kama kuna njia nyingine itumike hio “
“ Hahahaha , Henry wewe ni mwaminifu kwa mke wako , lakini mbona yeye sio mwaminifu kwako “
“ Mke wangu ni mwaminifu sana , na namwamini “
“ Sio kweli , namjua mke wako nje ndani “
“ Unamjuaje mke wangu wewe? “
“ Siku chache zilizopita alikusaliti “ aliongea na kunifanya nimshangae
“ Haiwezekani , kwanza alikuwa hayupo Tanzania “ Niliongea huku nikiwa siamini kabisa maneno ya lesitha , lakini alitabasamu na kunyanyuka na kulisogelea kabati na kutoa tablet ya kampuni ya Xiaomi , na wakati huo tulikuwa tushamaliza kula , alitachi kwa dakika kadhaa na kisha alinipa nikaona video akaniambia niplay na hapo ndipo nilipokuja kushituka mno nilichokiona kwenye ile video , hasira na wivu vilianiandama kwa wakati mmoja , video ilikuwa ikimuonesha mke wangu akiwa na Bendera kitandani wakifanya mapenzi , machozi mepesi ya kiiume yalianza kunitoka , nilijikuta nikivuta funda moja la umivu sikupenda kuangalia zaidi video ile .
“ Ni ya lini hii?? “
“ Kama nilivyokuambia , hio ni video ya juzi mkeo hakwenda Marekani kama alivyodai , ila alisafiri na mheshimiwa “
Nilisikiliza maneno ya Lesitha huku moyo ukiwa unaniuma sana , lakini sikuwa na la kufanya kwa wakati huo sina ambae ningemlaumu kwa wakati huo kwani nilikuwa kwenye nchi ambayo ilikuwa ni mbali na nyumbani kwangu , niliwaza huku hisia zikiniambia kabisa , kama ni hivyo basi hata saivi ukute wako pamoja nilikumbuka siku ambayo nilimuomba mheshimiwa ruhusa ya kuja huku Singapore na wala hakuniuliza Zaidi ya kunipa ruhusa huku akionekana kuwa mwenye tabasamu , niliona yote hayo yalikuwa ni maigizo na ilikuwa ni fursa kwake kupata wasaaa wakuinjoi na mke wangu .
Sikutaka kufikiria Zaidi , nilichukua ile wine ambayo kama nilivyosema sikuwahi kuinywa kwenye maisha yangu na kisha niliigida karibia yote kwa hasira na hapo ndipo nilipotulia huku nikimwangalia mrembo huyu aliekuwa akiniangalia huku akiwa ameweka tabasamu zito ..
“ Uko tayari kwa hatua ya kwanza ?”
“ Niko tayari “ niliongea , kwani nilikuwa nikijua ni nini alikuwa akimaanisha .
Aisee japo mwanadada huyu aliniambia na bikra , lakini mambo ambayo alikuwa akinifanyia sikuamini hata kidogo , alionekana kama mtu mmoja mzoefu sana , hata yale mawazo juu ya usaliti wa mke wangu , yalipotea yote kwa wakati mmoja na nilichokuwa nikisilizia kwa wakati huo ilikuwa ni huduma ya mwanadada huyu .
Alikuwa amekaa juu yangu mimi nikiwa nimelala chali , dudu yangu ilikuwa imesimama vyema lakini ilikuwa imeegamia tumbo na mwanadada huyu alikuwa ameikalia kwa juu na alikuwa akikata mauno akiisugua dudu yangu na kitumbua chake , hakika ilikuwa ni utamu ambao sikuwahi kuupata kwenye maisha yangu , nilipata msisimko wa ajabu sana na hata mimi mwenyewe nilijishangaa , kuna muda nilijisema labda ni ile wine .
Aliendelea kufanya utundu wake ambao ulinihamisha katika ulimwengu halisia na kunipeleka kwenye ulimwengu ambao nilihisi kama nipo hewani , baada ya vitendo vyake ndipo alipoinua dudu yangu na kunilalia kifuani huku mkono mmoja akiwa amejilengesha kwenye Mbususu yake , mimi wakati huo nilikuwa kama zoba kwa kweli sikuwa nikiongea lolote juu ya kile kilichokuwa kinafanyika , nilikuwa nikiangalia tu kuona mwisho wake , lakini pia utamu niliokuwa nikiusikia ni kama vile ulinifanya nipate ugonjwa wa kiharusi kwa muda .
Nilimshuhudia akifumba macho kwa maumivu na mimi pia dudu yangu nilihisi ikilazimishwa kuingia kwenye mlango wenye upenyo mdogo na hatimae iliingia kabisa , na hapo hapo nikahizi vijimaji vya joto vikigusa ngozi yangu ambavyo baadae nilikuja kujua kuwa ilikuwa ni damu , na ni kweli msichana yule alikuwa bikra , baada ya muda kidogo tu , yule msichana ni kama alikuwa akijua anacho kifanya kwani alivuta kile kijikopo mfano wa ‘Thermos’ zile za watoto wanazowekewa maziwa lakini hiki kikiwa kimefungwa , alikifungua na akatoa kitu kama kondomu na kisha alinivalisha na kisha kazi ikaendelea mpaka pale nilipokuja kufika mshindo na kutoa mbegu nyingi mno siku hio hata mimi nilijishangaa , lakini baadae nilikuja kujua yote ni sababu ya ile wine kwani ilikuwa na kazi moja ya kunifanya nitoe manii nyingi . baada ya shughuli ile nilisimama na Lesitha alitoa ile kondomu na kisha aliitumbukiza kwenye kile kijichupa na zilipika kama sekunde kadhaa mlango wetu uligongwa na Lesitha alifungua mlango na akaingia jamaa moja aliekuwa amevalia mavazi kama ya kitabibu na bango kwenye koti iliokuwa na jina la ‘SOUL LAB ‘ akiwa na gloves mkonni huku akiwa amebeba kijiboksi kama kile cha kutunzia chanjo ‘Cold box’ baada ya kuingia alitoa ile heshima ya kuinama kama wakorea na kisha alisogelea ile chupa ambayo Lesitha alikuwa ameweka ile kondomu na aliichukua na kutoa ule waya na kisha aliingiza kwenye ile ‘Cold box’ kisha alinisogelea akiwa mkononi ameshika kifaa kama vile vya kusajilia laini lakini kwa nyuma vina camera flani hivi lakini pia hiki kifaa kilikuwa na utofauti na vile vya kusajilia simu hiki kilikuwa na teknolojia kubwa aliniamrisha ni weke kidole kwa ajili ya kuchukua ‘Finger print’ nilimwangalia Lestiha na yeye akatingisha kichwa na mimi nikaweka kidole , alivyomaliza aliinua ule upande uliokuwa na kamera kisha akaniambia ni weke na jicho langu la kulia kwa nusu dakika alitoa na kisha alirudisha kile kijifaa kwenye koti lake kisha akatabasamu na kuinama mbele yangu na kisha akatingisha kichwa baada ya kuangaliana na Lesitha na kisha alitoka yote hayo yaliokuwa yakifanyika nilikuwa na waswasi mno sikujua kwamba kwenye mikutano ya ‘BIBTWAG’ kunakuwaga na utaratibu wa aina hio .
“ Amejuaje kama tumemaliza ?” lilikuwa ni swali langu kwenda kwa lesitha .
“ Aliniangalia kisha kama kawaida yake alitabasamu na kisha alinosogelea..
“ Hupaswi kuwaza kwa sasa unatakiwa kupumzika kesho kikao kinaanza “ aliongea Lesitha huku akinipa mkono na kuinuka nae kuelekea bafuni , alionekana kuwa na maumivu lakini alikuwa akijikaza , nilimwangalia na kujikuta nikitabasamu , na nilijikuta nikiwaza siku mke wangu aliotolewa bikra na Bendera na kile nilichokiona wakati uliopita , nilijikuta wivu ukinishika lakini niliamua kupotezea kwani nilijua nitajipa maumivu bure .
Siku hio ilipita mimi na Lesitha tukiwa tumelala kitanda kimoja , baada ya kesho yake kikao kilianza ndani ya ukumbi mkubwa wa ’SOUL CLASSIFIER LAB’ , siku hio ilikuwa ni siku ya ufunguzi watu walikuwa wengi mno waliokuwa wamalikwa ndani ya mkutano hio , utambulisho mbalimbali ulifanyika na hapo ndipo nilipokuja kuwaona matajiri wakubwa duniani wakiwa ndani ya mkutano huo , kulikuwa na maonyesho mbalimbali ambayo pia yalikuwa yakifanyika ndani hapo ambayo kwakweli yalikuwa ni ya kuvutia sana , lakini jambo la kushangaza ni kwamba kila mtu aliehuduhiria hapo ndani alikuwa na mwanamke au mwanaume.
Yaani kama mimi nilivyokuwa na Lesitha na kwa wengine hivyo hivyo walikuwa na wanawake warembo sana ndani ya mkutano huo , na jambo ambalo lilinishangaza ni kuwaona baadhi ya watumishi wakubwa wa Mungu, Mashekhe na Wachungaji na Mapadri nao wakiwepo ndani hapo na nilijikuta nikiwaza matendo niliofanya na Lesitha na kuwaangalia watumishi hao wa kimataifa nilijikuta nikiwaza kama nawao wamefata utaratibu kama wangu na kama walifata inamaana wanakiuka maagizo ya Mungu , nilijikuta nikiwaza lakini Lesitha alinitoa kwenye mawazo na alinionyesha upande ambao tulikuwa tukipaswa kuelekea , tulitembea kwenye ‘hall’ hio na kuja kutokea upande mwingine kabisa kwa nje kuna bonge ya bustani , lakini pia kulikuwa na watu ambao walikuwa wakipita kutoka kwenye ‘hall’ flani iliokuwa mbele kidogo na ‘hall’ kubwa ambayo mkutano ulikuwa ukifanyika tulitembea kuelekea kwenye ‘hall’ hio ndogo huku nikiendelea kushangaa mandhari ya hapo ndani , kiukweli palikuwa pakivutia sana , yaani palikuwa pamepambwa sana na bustani ya maua , ukiachana uwepo wa majengo ambayo ufanisi wake ulikuwa wa hali ya juu kiasi cha kupendezesha eneo hilo ila kulikuwa na Zaidi ambayo yalikuwa yakipendezesha hilo eneo kwangu ulikuwa ni mshangao tu .
Baada ya kufika kwenye hio ‘hall’ , haikuwa hall kama nilivyodhania ilikuwa ni sehemu ambayo ilionekana ilikuwa ni sehemu ya maonyesho , lakini sio maonyesho kama nilivyodhania ilikuwa ni sehemu ambayo ilikuwa imezungukwa na screen nyingi za Tv zikionesha mipango mingi ya miaka ijayo , sehemu ya kwanza kabisa , kulikuwa na Tv kubwa ambayo ilikuwa ikionesha vifaa vya kwendea angani yaani ‘STARSHIP’ hapa ndipo niliposhangaa Zaidi na wakati nikiwa nakodolea macho ndipo alipokuja kijana mmoja alikuwa kama mchina hivi na kujitambulisha kwetu kuwa ni moja ya wahudumu wanaotoa maelezo ndani ya eneo hilo na hapo ndipo nilipomuomba atueleze kinachoonekana .
“Hio unayoina ni Starship, ni mpango ambao unafanyiwa kazi kwa sasa duniani na wafanya biashara wengi wakubwa tayari wanaunga mkono mpango huo lengo kuu la mpango huo ni kupeleka binadamu kwenye sayari ya mars ili kwenda kuanza maisha huko”.
“ Inawezekana ?”
“ Ndio inawezekana lakini itakuwa ni gharama kubwa sana lengo la kwanza lilikuwa ni kupeleka binadamu moja kwa moja , lakini kwa sasa mpango huo umebadilika “
“ Kivipi umebadilika si umesema mpango ni kupeleka binadamu huko ??“
“ Mpango wa kupeleka binadamu uko pale pale , ila kwa namna tofauti kwanza kabisa mpango uliopo ni kuhakikisha teknolojia inakuwa kubwa sana iii kuwezesha kutuma roboti ambazo zitakuwa na uwezo sawa na binadamu “
“Na hizo roboti zikishatumwa?”
“Roboti hizo zitagawanywa kwenye makundi makuu matatu, kundi la kwanza litakuwa ni kwa ajili ya kuendeleza kufanya utafiti ndani ya sayari hio, na kundi la pili litakuwa ni kwajili ya kuandaa mazingira ya binadamu kuzaliana pamoja na kuishi yaani hapa nazungumzia maswala ya kula na upatikanaji wa maji ndani ya sayari hio na kundi lingine na la mwisho ni kwa ajili ya kulea “
“Kulea tena mnaelea nini?”
“Mpango uliopo kwa sasa ni kuhakikisha ndani ya sayari ya mars kunatengenezwa ‘incubators’ zenye teknolojia ya hali ya juu ambayo itakuwa wezeshi kwa ajili ya kutuma yai la mwanamke na mbegu zake kwa ajili ya kuzaliana “
“Unamaanisha kwamba mbegu hizo zikishafika zinawekwa kwenye hizo incubators halafu mtoto anakuwa Kwa miezi tisa kama binadamu anavyofanya “
“Hakika , nadhani umenipata , na binadamu huo akizaliwa ndani ya sayari hio hatakuwa na mawazo tena ya kurudi duniani ila ataifikiria sayari hio kama sehemu alipozaliwa na ataangalia namna ya kuishi ndani ya sayari hio “.
Aisee japo maelezo yalikuwa ni mengi sana, lakini nilijikuta nikishangaa sana .
“ Hizo mbegu mnatoa wapi ? “
“Mpaka sasa zipo mbegu nyingi sana ambazo zipo na pia yapo mayai mengi tunayo yatarajia kutoka kwa wanawake bikra “
“ Wanawake bikra ?”
“ Utafiti unaonesha kwamba wanawake bikra ana uwezo wa kuzaa mtoto mwenye uwezo mkubwa sana wa kiakili akikutana na mwanaume kwanzia miaka arobaini kupanda juu “.
Nilijikuta nikimwangalia Lesitha na yeye aliniangalia na kutabasamu aisee ni maneno ambayo yalinishangaza sana , lakini pia kuna jambo lilianza kunijia akilini jambo hilo lilikuwa ni juu ya lesitha kuwa na bikra na mimi pia kuitoa hio bikra na ukiangalia umri wangu ulikuwa ni juu ya miaka arobaini hivyo kunifanya niwe ‘ perfect candidate ‘ nilijikuta nikitabasamu na hata sikujua natabasamu nini (labda niliwaza kuwa moja ya watu watakao kuwa na watoto kwenye sayari ya mars na nitakapo fanya safari nitafikia kwake haha utani ).
Basi tuliendelea kushangazwa na melengo ya miaka ijayo ambayo yalikuwa yanaoneshwa kwenye hio hall ambayo inafahamika kwa jina la’ Soul classifier lab exhibition hall(SCLEH) ‘ hayo yalikuwa ndio maandishi makubwa yaliokuwa yakisomeka kwa juu kabisa ya jengo hilo .
Basi siku hio tulipita kushangaa aina mbali mbali za teknolojia ambazo zimekwisha kuvumbuliwa na ambazo zipo kwenye majaribio , kiufupi nilijifunza mengi kupitia kongamano hilo la ‘BIBTWAG’ lakini pia nilijikuta nikisisimkwa na mwili Zaidi hasa pale nilipo ona kuwa mimi ni moja ya watu ambao wanaangaziwa katika kufanya mikakati hio kutimia .
Basi siku ya kwanza ilipita siku ambayo ilikuwa ni utambulisho ya watu wakubwa sana duniani wakiwemo matajiri wakubwa sana duniani wanasiasa , wanasayansi wakubwa jambo ambalo lilinishangaza , kwani nilidhani ndani ya eneo hilo lilikuwa ni wale wafanya biashara tu wakubwa ndio waliokuwa wakishiriki kwenye kongamano hilo lakini haikuwa hivyo watu wakubwa sana duniani walikuwepo wakiwemo mpaka wasanii .
Nakumbuka wakati nikiwa ndani ya ‘SCLEH ‘ kuna jambo liningine lilinishangaza mno ni pale nilipo onyeshwa mbegu za kiume za michal Jackson na hapa sikupata maelekezo kwani guider wetu tulikuwa tushaachana nae na alikuwa akihudumiwa watu wengine .
Siku ya pili yake ilikuwa ni hotuba kutoka kwa mkurugenzi mkuu wa BIBTWAG , nakumbuka kabisa maneno mwanamama huyu mwenye asili ya kijerumani mpaka leo na neno kubwa nililokumbuka zaidi kutoka kwake ni hili
“It will come a time when the world will no longer be safe, and it is our rensponsibility to ensure that humanity continue to exist forever and we are chosen to make that happen “ .
“Utafika wakati ambao dunia haitakuwa salama tena na ni wajibu wetu sisi kuhakikisha kwamba binadamu anaendelea kuishi na sisi hapa tumechaguliwa kwa kazi hio “.
Ni sehemu ya maneno ambayo nakumbuka katika hotuba yake hio mwanamama huyu kiongozi wa BIBTWAG aliekuwa akifahamika kwa jina la ‘Hanner weber’ nakubuka hutuba io ilidumu kwa muda wa masaa mawili na nusu , na kikubwa kilichokuwa kikizungumziwa katika hotuba hio kilikuwa ni maendeleo ya teknolojia..
ITAENDELEA .
HERI YA MWAKA MPYA WASOMAJI
SEE YOU FOR NEXT EPISODES
UNAWEZA NICHEKI KWA NAMBA 0687151346 Watsapp only Dont call just text me
UNA MCHANGO WOWOTE ILI KUE DEKEA KUBORESHA UANDISHI WANGU HAKIKISHA UNAACHA COMMENT YAKO .