[emoji40] [emoji40] [emoji40] kuna sehemu siku hizi hazitajwitajwi
Bolibo, kunguni hizo embe ni za kwetu, umezijuaje? Pia Kadonga umezisahau.Unakumbuka maembe kunguni na maembe bolibo?
Hasa chato[emoji40] [emoji40] [emoji40] kuna sehemu siku hizi hazitajwitajwi
hahahaha embe bolibo..daaah kitambo sana mkuuUnakumbuka maembe kunguni na maembe bolibo?
Ha!Ha!shida itakuja wakimkosa.....
awesome life styleHaya mazingira kwao vitu kama hivyo ni kawaida, asubuhi ukiwa unakwenda shule unapishana na nyoka kama watatu tofauti, unajua kabisa kona ile wako wakijani weusi wako pale. Ni maisha flani amazing, ukitoka shule njiani unaokota maembe fresh yaliangushwa na upepo wa adhuhuri.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji40] [emoji40] [emoji40] kuna sehemu siku hizi hazitajwitajwi