wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 26,597
- 29,530
Inaonyesha mkuu wee umezaliwa kijijini sanaHaya mazingira kwao vitu kama hivyo ni kawaida, asubuhi ukiwa unakwenda shule unapishana na nyoka kama watatu tofauti, unajua kabisa kona ile wako wakijani weusi wako pale. Ni maisha flani amazing, ukitoka shule njiani unaokota maembe fresh yaliangushwa na upepo wa adhuhuri.