Missing home village...maembe matamu mpaka kisogoniHaya mazingira kwao vitu kama hivyo ni kawaida, asubuhi ukiwa unakwenda shule unapishana na nyoka kama watatu tofauti, unajua kabisa kona ile wako wakijani weusi wako pale. Ni maisha flani amazing, ukitoka shule njiani unaokota maembe fresh yaliangushwa na upepo wa adhuhuri.
Missing home village...maembe matamu mpaka kisogoni
Unakumbuka maembe kunguni na maembe bolibo?Ninakumbuka vilinge yako mvirngo hivi, ng'ongo ni matamu ya rojo unavyonza hivi, maembe papai kweli yana aroma ya papai, dodo usiseme.
Kumbe wa enzi zile nzuri tumo wengi . maisha yalikua matamu sana enzi zileHaya mazingira kwao vitu kama hivyo ni kawaida, asubuhi ukiwa unakwenda shule unapishana na nyoka kama watatu tofauti, unajua kabisa kona ile wako wakijani weusi wako pale. Ni maisha flani amazing, ukitoka shule njiani unaokota maembe fresh yaliangushwa na upepo wa adhuhuri.
Usihofu ndege John hawadhuriani na Faru John.kuna sehemu siku hizi hazitajwitajwi
Labda ni toy...!!
Kawaida tu hiyo prof. Sisi wengine tulikua "bhayeye" nyoka ndio zilikua ng'ombe na sungura zetuHuyo nyoka huwenda kafa wasinge jiamini kumsogerea namna hiyo.
Ohooo!!!Kawaida tu hiyo prof. Sisi wengine tulikua "bhayeye" nyoka ndio zilikua ng'ombe na sungura zetu
Ukitaka kujua hapo nani mwenye mbio manati ya mmoja wapo ikatike ghafla