Uislamu unafeli wapi? Imani moja ila msimamo haupo! Iddi lini?

...lingine viongozi wao hawaoi(maajabu hayo).......
Hiyo ya kutokuoa ni utaratibu tu, wala sio amri, na huo utaratibu unaweza kubadilishwa muda wowote ule na Kanisa. Kwa hiyo si sahihi kuihesabu kama 'tofauti ya kiimani'

Matayo 19:10-12
10 Wanafunzi wake wakamwambia, “Kama hivi ndivyo hali ilivyo kati ya mume na mke, basi ni afadhali mtu asioe!” 11 Yesu akajibu, “Si kila mtu anaweza kupokea mafundisho haya isipokuwa wale ambao Mungu amewajalia. 12 Kwa maana wako watu wasioweza kuoa kwa sababu wamezaliwa na hali hiyo; na wengine wamefanywa hali hiyo na binadamu; na pia wako wengine ambao wameamua kutokuoa kwa ajili ya Ufalme wa mbinguni. Awezaye kuli pokea fundisho hili na alipokee.”
 
SAHIH MUSLM 2749 ni reference ya kuruani hiyo?

Kwani Uislamu ni Qur'an pekee? Hii ni Hadith na unaikana sasa kwa kuwa tu huwezi kuitetea. Haya; nakuletea aya kutoka Qur'an (na usije baadae ukaniletea Hadith ya kukanusha hiyo aya ya Qur'an maana kwa mujibu wako Hadith si za kutilia maanani isipokuwa say za Qur'an).

Kwa mujibu wa aya hii hapa chini; mtu akienda Corner Bar (au mahali popote pengine) akakubaliana na binti Muislamu wakagegedana hakuna dhambi bora tu mwanaume amlipe mwanamke walichokubaliana. Ni amri ya Allah.

SAHIH INTERNATIONAL
And [also prohibited to you are all] married women except those your right hands possess. [This is] the decree of Allah upon you. And lawful to you are [all others] beyond these, [provided] that you seek them [in marriage] with [gifts from] your property, desiring chastity, not unlawful sexual intercourse. So for whatever you enjoy [of marriage] from them, give them their due compensation as an obligation. And there is no blame upon you for what you mutually agree to beyond the obligation. Indeed, Allah is ever Knowing and Wise.
(Surah An-Nisa 4:24)
 
۞ وَالْمُحْصَنَاتُ مِنَ النِّسَاءِ إِلَّا مَا مَلَكَتْ أَيْمَانُكُمْ ۖ كِتَابَ اللَّهِ عَلَيْكُمْ ۚ وَأُحِلَّ لَكُم مَّا وَرَاءَ ذَٰلِكُمْ أَن تَبْتَغُوا بِأَمْوَالِكُم مُّحْصِنِينَ غَيْرَ مُسَافِحِينَ ۚ فَمَا اسْتَمْتَعْتُم بِهِ مِنْهُنَّ فَآتُوهُنَّ أُجُورَهُنَّ فَرِيضَةً ۚ وَلَا جُنَاحَ عَلَيْكُمْ فِيمَا تَرَاضَيْتُم بِهِ مِن بَعْدِ الْفَرِيضَةِ ۚ إِنَّ اللَّهَ كَانَ عَلِيمًا حَكِيمًا

(AN-NISAAI - 24)
NA WANAWAKE wenye waume, isipo kuwa walio milikiwa na mikono yenu ya kulia. Ndiyo Sharia ya Mwenyezi Mungu juu yenu. Na mmehalilishiwa wasio kuwa hao, mtafute kwa mali yenu kwa kuowa pasina kuzini. Kama mnavyo starehe nao, basi wapeni mahari yao kwa kuwa ni waajibu. Wala hapana lawama juu yenu kwa mtakacho kubaliana baada ya kutimiza waajibu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua na Mwenye hikima.

Hoja yako iko.wapi katika aya?

Kiingereza sikijui kwa hyo usininukulie aya kwa kiingereza nukuu kwa lugha ya kiswahili tuelewane.
 
Kitimoto waislam washika dini wanakula
Pombe waanzilisha wa ukristo yaani Roman wanakunywa pombe

Mimi huwa nashangaa mamluki wa juzi ndio wanajifanya waislam

Kuna uislam kama nchi za kiarabu, na ndio wafiraji na wala kitimoto, Wewe mtanzania dini unasimuliwa

Kuna ukristo kama Vatican lakini Wao ndio wabakaji na walawiti na dini wanaijua

Ahaaa tufanye kazi, Imani ina wenyewe
Baki ulivyo itakusaidia labda
 
hakuna mahali uislamu unafeli,kabla hujatoa msimamo wowote chukua muda kidogo ujifunze uislamu ulivyo ndipo utajua,vizuri sana kwanini,idi haiwezi kuswaliwa siku moja duniani,hiyo haiwezekani kabisa
Naombanijue hivyo vitu kupitia wewe unayejua.
 
kwanza lazima ujue kuwa uislamu jama ilivyo kwa dini zingine una madhehebu mengi ambayo tanatofautiana sana juu ta rafsiri ya kuruani,hivyo madhehebu hayo yanatofautiana juu ya siku ta kuanza kufunga na siku ya kufungua,pia kufunga na kufungua kunategemea muandamo wa mwezi,na kwakuwa,jiografia ya dunia iko tofauti,mwezi ukionekana bara fulani la dunia hii,bara lingine inaweza labisa kuwa mqezi haujaonekana
Haya ni maelezo rahisi kabisa,ya kwanini,haiwezekani qaislamu wote dunia nzima hawawezi kuwa na siku moja ya iddi
yapo maelezo mengine ya kiishahidi wa kuruani ambayo sidhani kama itafaa kuyaweka hapa
 
Habari zenu!
Na wale waliofunga na kumaliza na wanaokaribia kumaliza nao napenda niwape hongera kwa hilo!

Ishu yangu ni ndogo, inakuwaje dini "kubwa" duniani ila ina misimamo tofauti tofauti? mimi nimejikita ktk suala hili la iddi. Hii sio mara ya kwanza kutokea mkanganyiko!

Hapa tanzania, waislamu wengine wanadai sherehe yao ni leo na wengine wakidai ni kesho na hata wengine wakidai labda keshokutwa. Ni kwamba hapa Tz dini hii imekosa viongozi wenye msimamo au ndio ilivyo?

Kuna waislamu wako Uarabuni leo, kesho wakija bongo wanakula iddi mara mbili. Sina uhakika na Kenya na Uganda iddi ni lini ingawa nimeona mabandiko mitandaoni yakionesha kuwa iddi kwa ni leo, JE NI WAPI HASA UISLAMU UNAKOSEA? UPANDE WA PILI VITU KAMA HIVI HUWA FIXED, MNAJUA HATA MIAKA 10 MBELE!
Mkanganyiko huu unaonyesha watu wanafikiri, wanawaza na wanaamua siyo kunyenyekea ujinga na misimamo ya Wakubwa. Dini inasema mwezi ukioneka watu wafungulie, mwezi umeonekana unasubiria nini sasa. Nawapongeza wanaofuata utaratibu bila kusubiri matamko ya viongozi wa kujipendekeza. Eid Mubarak
 
Habari zenu!
Na wale waliofunga na kumaliza na wanaokaribia kumaliza nao napenda niwape hongera kwa hilo!

Ishu yangu ni ndogo, inakuwaje dini "kubwa" duniani ila ina misimamo tofauti tofauti? mimi nimejikita ktk suala hili la iddi. Hii sio mara ya kwanza kutokea mkanganyiko!

Hapa tanzania, waislamu wengine wanadai sherehe yao ni leo na wengine wakidai ni kesho na hata wengine wakidai labda keshokutwa. Ni kwamba hapa Tz dini hii imekosa viongozi wenye msimamo au ndio ilivyo?

Kuna waislamu wako Uarabuni leo, kesho wakija bongo wanakula iddi mara mbili. Sina uhakika na Kenya na Uganda iddi ni lini ingawa nimeona mabandiko mitandaoni yakionesha kuwa iddi kwa ni leo, JE NI WAPI HASA UISLAMU UNAKOSEA? UPANDE WA PILI VITU KAMA HIVI HUWA FIXED, MNAJUA HATA MIAKA 10 MBELE!
Kwani da mange anasemaje??
 
Sio uislam hio ni shida ya dini nyingi duniani,tena Bora uislam kwenye IDD tu,Kuna dini wanatumia kitabu kimoja lakini kuna kundi wanaruhusu kunywa pombe, lingine wanakataza kula nguruwe,lingine viongozi wao hawaoi(maajabu hayo).......
Dini ni moja aliyoiacha Petro, haya mengine ni ujasiriadini!
 
Kila ninaposoma vitabu vyenu huwa nakumbushwa UKWELI huu: mtu hawezi kusoma Qur'an na akabaki Muislamu unless mtu huyo ni sampuli ya Dr. Zakir Naik. Hebu soma hapa halafu uniambie kama kuna logic yeyote hapa:

Abu Huraira reported Allah's Messenger (ﷺ) having said:
By Him in Whose Hand is my life, if you were not to commit sin, Allah would sweep you out of existence and He would replace (you by) those people who would commit sin and seek forgiveness from Allah, and He would have pardoned them.
(Reference: Sahih Muslim 2749).

Muhammad anasema usipofanya dhambi Allah anakuua ili aumbe watu watakaokuwa tayari kufanya dhambi ili waungame dhambi zao ili Allah awasemehe!! Really? Bado kuna watu wanaamini MUNGU kweli anaweza akaagiza mtu afanye dhambi?

Sahihi muslim hadithi ya 2749 ipo katika mlango wa saum yaani باب الصيام.

Kuna vitabu ambavyo nadhani kila mlango unaanzia hadithi moja na vile ambavyo namba ya hadithi huendelea.

Sasa namba ya hidhi uliyoitaja ipo katika mlango wa swaumu na inazungumzia kuhusu mtu ambaye amekufa ilhali ana madeni ya ramadhani.

Ebu tuambbie sahihi muslim hyo ni ipi kaka?
 
Acha UONGO. Hapa unasoma nini?

۞ وَالْمُحْصَنَاتُ مِنَ النِّسَاءِ إِلَّا مَا مَلَكَتْ أَيْمَانُكُمْ ۖ كِتَابَ اللَّهِ عَلَيْكُمْ ۚ وَأُحِلَّ لَكُم مَّا وَرَاءَ ذَٰلِكُمْ أَن تَبْتَغُوا بِأَمْوَالِكُم مُّحْصِنِينَ غَيْرَ مُسَافِحِينَ ۚ فَمَا اسْتَمْتَعْتُم بِهِ مِنْهُنَّ فَآتُوهُنَّ أُجُورَهُنَّ فَرِيضَةً ۚ وَلَا جُنَاحَ عَلَيْكُمْ فِيمَا تَرَاضَيْتُم بِهِ مِن بَعْدِ الْفَرِيضَةِ ۚ إِنَّ اللَّهَ كَانَ عَلِيمًا حَكِيمًا

(AN-NISAAI - 24)
NA WANAWAKE wenye waume, isipo kuwa walio milikiwa na mikono yenu ya kulia. Ndiyo Sharia ya Mwenyezi Mungu juu yenu. Na mmehalilishiwa wasio kuwa hao, mtafute kwa mali yenu kwa kuowa pasina kuzini. Kama mnavyo starehe nao, basi wapeni mahari yao kwa kuwa ni waajibu. Wala hapana lawama juu yenu kwa mtakacho kubaliana baada ya kutimiza waajibu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua na Mwenye hikima.

Hoja yako iko.wapi katika aya?

Kiingereza sikijui kwa hyo usininukulie aya kwa kiingereza nukuu kwa lugha ya kiswahili tuelewane.

Ni hapo nilipopa-bold.
 
Back
Top Bottom