squirtinator
JF-Expert Member
- Sep 20, 2015
- 2,765
- 4,174
Habari zenu!
Na wale waliofunga na kumaliza na wanaokaribia kumaliza nao napenda niwape hongera kwa hilo!
Ishu yangu ni ndogo, inakuwaje dini "kubwa" duniani ila ina misimamo tofauti tofauti? mimi nimejikita ktk suala hili la iddi. Hii sio mara ya kwanza kutokea mkanganyiko!
Hapa tanzania, waislamu wengine wanadai sherehe yao ni leo na wengine wakidai ni kesho na hata wengine wakidai labda keshokutwa. Ni kwamba hapa Tz dini hii imekosa viongozi wenye msimamo au ndio ilivyo?
Kuna waislamu wako Uarabuni leo, kesho wakija bongo wanakula iddi mara mbili. Sina uhakika na Kenya na Uganda iddi ni lini ingawa nimeona mabandiko mitandaoni yakionesha kuwa iddi kwa ni leo, JE NI WAPI HASA UISLAMU UNAKOSEA? UPANDE WA PILI VITU KAMA HIVI HUWA FIXED, MNAJUA HATA MIAKA 10 MBELE!