Uislamu unafeli wapi? Imani moja ila msimamo haupo! Iddi lini?

Habari zenu!
Na wale waliofunga na kumaliza na wanaokaribia kumaliza nao napenda niwape hongera kwa hilo!

Ishu yangu ni ndogo, inakuwaje dini "kubwa" duniani ila ina misimamo tofauti tofauti? mimi nimejikita ktk suala hili la iddi. Hii sio mara ya kwanza kutokea mkanganyiko!

Hapa tanzania, waislamu wengine wanadai sherehe yao ni leo na wengine wakidai ni kesho na hata wengine wakidai labda keshokutwa. Ni kwamba hapa Tz dini hii imekosa viongozi wenye msimamo au ndio ilivyo?

Kuna waislamu wako Uarabuni leo, kesho wakija bongo wanakula iddi mara mbili. Sina uhakika na Kenya na Uganda iddi ni lini ingawa nimeona mabandiko mitandaoni yakionesha kuwa iddi kwa ni leo, JE NI WAPI HASA UISLAMU UNAKOSEA? UPANDE WA PILI VITU KAMA HIVI HUWA FIXED, MNAJUA HATA MIAKA 10 MBELE!

Arabuni waliokula idd ni dubai na saudia na qatar wengine wote idd ni kesho hii inategemea na muandamo wa mwezi sikukuu ya idd haendi na kalenda kwamba ni siku maalum
 
Habari zenu!
Na wale waliofunga na kumaliza na wanaokaribia kumaliza nao napenda niwape hongera kwa hilo!

Ishu yangu ni ndogo, inakuwaje dini "kubwa" duniani ila ina misimamo tofauti tofauti? mimi nimejikita ktk suala hili la iddi. Hii sio mara ya kwanza kutokea mkanganyiko!

Hapa tanzania, waislamu wengine wanadai sherehe yao ni leo na wengine wakidai ni kesho na hata wengine wakidai labda keshokutwa. Ni kwamba hapa Tz dini hii imekosa viongozi wenye msimamo au ndio ilivyo?

Kuna waislamu wako Uarabuni leo, kesho wakija bongo wanakula iddi mara mbili. Sina uhakika na Kenya na Uganda iddi ni lini ingawa nimeona mabandiko mitandaoni yakionesha kuwa iddi kwa ni leo, JE NI WAPI HASA UISLAMU UNAKOSEA? UPANDE WA PILI VITU KAMA HIVI HUWA FIXED, MNAJUA HATA MIAKA 10 MBELE!

BAKWATA INATUHARIBIA UISLAMU
 
mbona simple tu,tatizo ni Saud arabia,wale ni imposter au spoiler lakini wanakwenda kwa umakini mkubwa,katika uislam waliona wapenyee hapo kwenye sikukuu ili kucreate disunity,uwahabi uliundwa na majasusi wa magharibi
 
Duh leo mmetuchanganya kweli kweli kama movie ya gwajiboy.
 
mbona simple tu,tatizo ni Saud arabia,wale ni imposter au spoiler lakini wanakwenda kwa umakini mkubwa,katika uislam waliona wapenyee hapo kwenye sikukuu ili kucreate disunity,uwahabi uliundwa na majasusi wa magharibi
Chief

Tupe darsa kwa uyasemayo....

Ikiwa una Elimu
 
Habari zenu!
Na wale waliofunga na kumaliza na wanaokaribia kumaliza nao napenda niwape hongera kwa hilo!

Ishu yangu ni ndogo, inakuwaje dini "kubwa" duniani ila ina misimamo tofauti tofauti? mimi nimejikita ktk suala hili la iddi. Hii sio mara ya kwanza kutokea mkanganyiko!

Hapa tanzania, waislamu wengine wanadai sherehe yao ni leo na wengine wakidai ni kesho na hata wengine wakidai labda keshokutwa. Ni kwamba hapa Tz dini hii imekosa viongozi wenye msimamo au ndio ilivyo?

Kuna waislamu wako Uarabuni leo, kesho wakija bongo wanakula iddi mara mbili. Sina uhakika na Kenya na Uganda iddi ni lini ingawa nimeona mabandiko mitandaoni yakionesha kuwa iddi kwa ni leo, JE NI WAPI HASA UISLAMU UNAKOSEA? UPANDE WA PILI VITU KAMA HIVI HUWA FIXED, MNAJUA HATA MIAKA 10 MBELE!
Hata Rwanda Iddi ni leo, nimekutana na muumini akasema kwake Iddi ni leo kwa sababu alianza mapema
 
Kitimoto waislam washika dini wanakula
Pombe waanzilisha wa ukristo yaani Roman wanakunywa pombe

Mimi huwa nashangaa mamluki wa juzi ndio wanajifanya waislam

Kuna uislam kama nchi za kiarabu, na ndio wafiraji na wala kitimoto, Wewe mtanzania dini unasimuliwa

Kuna ukristo kama Vatican lakini Wao ndio wabakaji na walawiti na dini wanaijua

Ahaaa tufanye kazi, Imani ina wenyewe
Kazi gani hio wakati mnachuna ngozi na kuwakata viungo ma albino watanzania?
 
Habari zenu!
Na wale waliofunga na kumaliza na wanaokaribia kumaliza nao napenda niwape hongera kwa hilo!

Ishu yangu ni ndogo, inakuwaje dini "kubwa" duniani ila ina misimamo tofauti tofauti? mimi nimejikita ktk suala hili la iddi. Hii sio mara ya kwanza kutokea mkanganyiko!

Hapa tanzania, waislamu wengine wanadai sherehe yao ni leo na wengine wakidai ni kesho na hata wengine wakidai labda keshokutwa. Ni kwamba hapa Tz dini hii imekosa viongozi wenye msimamo au ndio ilivyo?

Kuna waislamu wako Uarabuni leo, kesho wakija bongo wanakula iddi mara mbili. Sina uhakika na Kenya na Uganda iddi ni lini ingawa nimeona mabandiko mitandaoni yakionesha kuwa iddi kwa ni leo, JE NI WAPI HASA UISLAMU UNAKOSEA? UPANDE WA PILI VITU KAMA HIVI HUWA FIXED, MNAJUA HATA MIAKA 10 MBELE!
Naomba ubadilishe Kichwa chako cha habari

Uislam haukufeli na wala hautofeli

Sema
Waislam mumefeli wapi?!

Jawabu fupi

Elimu ndio ufunguo sahihi wa maisha ya Binaadam,Bila ya Elimu,mara nyingi mwanaadam anakuwa hana tofauti na Mnyama,

Tatizo ni Elimu Sahihi ya Dini

Na Elimu Sahihi inavigezo vyake

Jambo dogo tu Chief

Kwakuwa hatukusoma wengi wetu,Basi tunakuwa na maswali mfano wa hili

Swali hili

Majibu yake yapo katika Vitabu,lkn kwakukosa kwetu elimu,Hatujui ni wapi pa kutokea!!!!

Hili ni janga la Taifa

Na sisi Waislam tuliowengi,Dini yetu tumeikabidhi kwa watu(Masheikh)
Tumebaki kuwa mfano wa Sikio tu
Tunasikiliza zuri na baya,na wala hatuna uwezo wa kuchuja

Tutaangamia ikiwa hatutorudi katika mstari wa sawa,kwa kusoma kwa bidii huku tukimuomba Allah atufungulie fahamu na atupe elimu pamoja na kheri ya Dunia na kesho Akhera

Shukran Chief
 
Kwa mfano, usishangae kusikia wafanyakazi wa ndani wanawake wanabakwa huko Uarabuni maana Uislamu umehalalisha mwanaume kuwalala walio chini ya milki yake. Akifanya hivyo mtu anaejiita Mkristo basi atakuwa ameasi Ukristo.
Wapi katika uislam umehalalisha kubaka?

Mi naona ukiristo ndio umehalalisha ubakaji
slave2.JPG
slaves.JPG
 
Kila ninaposoma vitabu vyenu huwa nakumbushwa UKWELI huu: mtu hawezi kusoma Qur'an na akabaki Muislamu unless mtu huyo ni sampuli ya Dr. Zakir Naik. Hebu soma hapa halafu uniambie kama kuna logic yeyote hapa:

Abu Huraira reported Allah's Messenger (ﷺ) having said:
By Him in Whose Hand is my life, if you were not to commit sin, Allah would sweep you out of existence and He would replace (you by) those people who would commit sin and seek forgiveness from Allah, and He would have pardoned them.
(Reference: Sahih Muslim 2749).

Muhammad anasema usipofanya dhambi Allah anakuua ili aumbe watu watakaokuwa tayari kufanya dhambi ili waungame dhambi zao ili Allah awasemehe!! Really? Bado kuna watu wanaamini MUNGU kweli anaweza akaagiza mtu afanye dhambi?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ya kweli haya??.
Kumbe ndo mana ukiwa mwema haukai sana duniani wenyewe wanasema vizuri havidumu. [emoji23][emoji23]
 
Naomba ubadilishe Kichwa chako cha habari

Uislam haukufeli na wala hautofeli

Sema
Waislam mumefeli wapi?!

Jawabu fupi

Elimu ndio ufunguo sahihi wa maisha ya Binaadam,Bila ya Elimu,mara nyingi mwanaadam anakuwa hana tofauti na Mnyama,

Tatizo ni Elimu Sahihi ya Dini

Na Elimu Sahihi inavigezo vyake

Jambo dogo tu Chief

Kwakuwa hatukusoma wengi wetu,Basi tunakuwa na maswali mfano wa hili

Swali hili

Majibu yake yapo katika Vitabu,lkn kwakukosa kwetu elimu,Hatujui ni wapi pa kutokea!!!!

Hili ni janga la Taifa

Na sisi Waislam tuliowengi,Dini yetu tumeikabidhi kwa watu(Masheikh)
Tumebaki kuwa mfano wa Sikio tu
Tunasikiliza zuri na baya,na wala hatuna uwezo wa kuchuja

Tutaangamia ikiwa hatutorudi katika mstari wa sawa,kwa kusoma kwa bidii huku tukimuomba Allah atufungulie fahamu na atupe elimu pamoja na kheri ya Dunia na kesho Akhera

Shukran Chief
shukrani sana
 
Wapi katika uislam umehalalisha kubaka?

Mi naona ukiristo ndio umehalalisha ubakajiView attachment 1117258View attachment 1117259

Huujui Ukristo wewe. Mkristo ni yule anaemfuata Yesu Kristo wa Nazareth. Na habari kuu ya Ukristo ni Upendo.

Ulichokileta hapa ni historia ya Israeli, na Wakristo tunaposoma Agano la Kale huwa ni kujikumbusha tu historia hiyo na pia kuangalia unabii uliomo humo ambao haujatimizwa. Leo hii unabii mwingi umetimizwa ila chache tu (na ambazo zote zinahusiana na siku za mwisho) ndizo zilizobaki.

Na kusema ukweli, neno ubakaji halipo kwenye Qur'an wala Hadith (maana hilo neno linaashiria uhalifu wa mwanaume kumuingilia mwanamke bila hiari yake). Lakini kumuingilia mwanamke - especially asie muislamu (ndio asili ya wanawake wa Kiislamu kuamriwa kuvaa hijabu ili waepuke kubakwa) bila hiari yake kwenye Uislamu sio haramu kwa mantiki hiyo sio ubakaji japo kwetu sisi (na kisheria kwa nchi nyingi) ni ubakaji.
Au watumwa na vijakazi huombwa ridhaa?
 
wewe ndio unafeli, dunia moja huku usiku kule mchana, je umewahi kuuliza hilo? ndio sababu halisi ya iddi ya kweli kuwa na tofauti ya huku na kule, haiwezi kuwa siku moja kwa mizania hiyo ya dunia moja huku jioni kwenu asubuhi
 
Hakuna Time difference kati ya Saud Arabia na Tanzania, ikiwa usiku Saud Arabia ni usiku pia Tanzania kwa majira yale yale
 
wewe ndio unafeli, dunia moja huku usiku kule mchana, je umewahi kuuliza hilo? ndio sababu halisi ya iddi ya kweli kuwa na tofauti ya huku na kule, haiwezi kuwa siku moja kwa mizania hiyo ya dunia moja huku jioni kwenu asubuhi
mkuu, unajua kuwa Tanzania na Iraq wana muda mmoja (3+hours from GMT) ila Iraq nao wamekula iddi leo? Abu Dhabi tumepishana saa moja ako mbele ila iddi leo, UAE pia ni saa oja wako mbele!
kwenye hili hoja yako haina mashiko!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom