Na tangu lini ndoa ikaitwa
mutah nikah? Zinaa inatafsiriwa tofauti kwenye uislamu. Ndio msingi wa hoja yangu na kuna wenzio humu wamekiri kuwa:
1. Hakuna neno ubakaji katika uislamu
2. Mwanaume wa Kiislamu kumuingilia mtumwa wake/mtumishi wa ndani/mwanamke asie muislamu (awe anataka au la) ni halali kabisa katika uislamu. Na ndio asili ya wanawake wa Kiislamu kuamrishwa wavae hijabu (ili wanaume wa Kiislamu wawatofautishe na makundi niliyoyataja - kumbuka watumwa/watumishi wa ndani/wanawake wasio waislamu hawakuruhusiwa kuvaa hijabu). Sio kwamba haya mambo nayazusha; soma hapa (na tilia maanani kwenye bold).
In
Surah 33:59 Muhammad is commanded to ask his family members and other Muslim women to wear outer garments when they go out, so that they are not harassed:
[19]
The Islamic commentators generally agree this verse refers to sexual harassment of women of Medina. It is also seen to refer to a free woman, for which
Tabari cites
Ibn Abbas.
Ibn Kathir states that the
jilbab distinguishes free Muslim women from those of
Jahiliyyah, so other men know they are free women and not slave-girls or whores, indicating covering oneself doesn't apply to non-Muslims.