young_ma
Member
- Mar 28, 2019
- 45
- 73
Yes unanukuu, but kitu unachokosea ni namna unavo itafasiri. Kila aya ilishushwa kwa wakati wake na kulingana na tukio fulani.Laana wakati ninanukuu Qur'an na Hadith za mtume? Siwezi kulaanika hata kidogo.
Hiyo aya inamaanisha wanaadamu we are created sinful by nature na repentance ndio njia pekee ya kujitakasa. Allsh ni mwingi wa huruma na mwingi wa msamaha.
Hivyo basi inamaanisha Allah will always replace a sinful person from a none sinful kwasababu huyo mtu atatubia anapo kosea. Na huyo ambaye hakosei hayupo. Mitume wenyew walkua wakikosea.
Kila dini zina mapishano ndani yake na all ni kwa sabab ya jins watu wanavo tafadiri vitabu vya dini. Na ndio masna kumekua na madhehebu mengi. Ila all in all Allah knows best.
Alaf uspende kukashf imani za watu ilhali hukutake your time kuelimika au kujua hio dini au kusoma vitabu vyake.
Uislamu ni upendo na amani...