Bandiwe
JF-Expert Member
- Oct 19, 2013
- 9,530
- 3,557
Kwahiyo una miungu wawili ?It is clear as daylight.
Kwahiyo una miungu wawili ?It is clear as daylight.
Wewe si ndiye uliyeileta hadithi hii:-
Abu Huraira reported Allah's Messenger (ﷺ) having said:
By Him in Whose Hand is my life, if you were not to commit sin, Allah would sweep you out of existence and He would replace (you by) those people who would commit sin and seek forgiveness from Allah, and He would have pardoned them.
(Reference: Sahih Muslim 2749).
Sasa hujajua matini ya hii hadithi ni nini?
Wewe si mkamilifu kama ulivyosema na una dhambi, sasa lini unatarajia dhambi zako zitasamehewa na ilhali Yesu keshakufa kwa ajili ya dhambi zenu? au atasulubiwa tena na kuuliwa tena kwa ajili ya wanaotenda dhambi baada ya yeye kuondoka? au kifo chake ukikiamini basi fanya utakalo kwani dhambi zimeshafutwa?
Hata mungu mmoja sina. Nina Mungu MMOJA TU.Kwahiyo una miungu wawili ?
Na wale wanaosali jmoc na jpil si na wale wasio itambua pasaka jeHabari zenu!
Na wale waliofunga na kumaliza na wanaokaribia kumaliza nao napenda niwape hongera kwa hilo!
Ishu yangu ni ndogo, inakuwaje dini "kubwa" duniani ila ina misimamo tofauti tofauti? mimi nimejikita ktk suala hili la iddi. Hii sio mara ya kwanza kutokea mkanganyiko!
Hapa tanzania, waislamu wengine wanadai sherehe yao ni leo na wengine wakidai ni kesho na hata wengine wakidai labda keshokutwa. Ni kwamba hapa Tz dini hii imekosa viongozi wenye msimamo au ndio ilivyo?
Kuna waislamu wako Uarabuni leo, kesho wakija bongo wanakula iddi mara mbili. Sina uhakika na Kenya na Uganda iddi ni lini ingawa nimeona mabandiko mitandaoni yakionesha kuwa iddi kwa ni leo, JE NI WAPI HASA UISLAMU UNAKOSEA? UPANDE WA PILI VITU KAMA HIVI HUWA FIXED, MNAJUA HATA MIAKA 10 MBELE!
Hilo la kubaka nimeshalitolea ufafanuzi kwenye moja ya posts zangu za mapema kabisa kwenye hii thread. Niliandika kuwa kwenye uislamu hakuna neno " ubakaji" maana like Wakristo tunachokiita kuwa ni ubakaji kimehalalishwa kwenye uislamu. Kwa mantiki hiyo kumuingilia mtumishi wa ndani, mtumwa au mwanamke "yeyote alie chini ya mamlaka" ya muislamu mwanaume ni halali kwa mujibu wa maandiko ya uislamu (Qur'an na Hadith).
Sasa katika kitendo cha kubaka mbona katika Qur'aan hakuna ? Je unaweza kunaimbia kwama au kunipa ushahidi kwamba wale watumwa walikuwa hawakunali kuingiliwa na mabwana zao ?
Lakini achilia mbali kwa uongo wako kwenye jambo halali na wewe ukaliita "ubakaji" je utumwa ukiendelea au ulikomeshwa ?
Ujinga wako tu, na si Bakwata. Kama umeuona si ufungue ?BAKWATA INATUHARIBIA UISLAMU
Mungu wako mmoja ni Yehova na Yesu !?Hata mungu mmoja sina. Nina Mungu MMOJA TU.
Hivi wewe mwenyewe ukisoma ulichoandika hapa unaelewa?
Hivi wewe mwenyewe ukisoma ulichoandika hapa unaelewa?
Hii hapa ndani ya furqan! Halafu niwekee alimfanyaje Safiyah baada ya kuwaua baba yake na mmewe!Naelewa ndio maana nimekuuliza swali. Sasa nionyeshe kubaka katika Qur'aan na Hadithi.
Ukiwa Mwezini unalima mwezi utauona wapi??Ujinga wako tu, na si Bakwata. Kama umeuona si ufungue ?
Kuna watu wanaitwa Bohora, nao wanadai nio Waislaam. Wanaswali kivyao (bohora tu) wanafunga kwa kalenda yao siku 30 net, na wana Eid yao wao peke yao kama Bohora. Mbona hao huwashangai !?
Kwahiyo !? Kuna neno lolote 'kubaka hapo' ?Hii hapa ndani ya furqan! Halafu niwekee alimfanyaje Safiyah baada ya kuwaua baba yake na mmewe!View attachment 1119839
Hii hapa ndani ya furqan! Halafu niwekee alimfanyaje Safiyah baada ya kuwaua baba yake na mmewe!View attachment 1119839
Kwahiyo !? Kuna neno lolote 'kubaka hapo' ?
Muulize huyo uliyemuona analima huko !Ukiwa Mwezini unalima mwezi utauona wapi??
Inao wamiliki mikono yao ya KUUME NI WAKE ZAO? Safiyah huna ujuzi nalo eeh?!Nimekuwekea na aya za kabla na baada ili upate mtiririko wa maana :
1. HAKIKA wamefanikiwa Waumini,
2. Ambao ni wanyenyekevu katika Sala zao,
3. Na ambao hujiepusha na mambo ya upuuzi,
4. Na ambao wanatoa Zaka,
5. Na ambao wanazilinda tupu zao,
6. Isipo kuwa kwa wake zao au kwa iliyo wamiliki mikono yao ya kulia. Kwani hao si wenye kulaumiwa.
7. Lakini anaye taka kinyume cha haya, basi hao ndio warukao mipaka.
8. Na ambao wanazitimiza amana zao na ahadi zao, (al Muuminuun : 1- 8)
Ama kuhusu suala la Safiyya hilo sina elimu nalo,wewe unae jua ndio uniletee ushahidi kwamba alibakwa,maana hatutaki maneno ya vijiweni yasiyo kuwa na ushahidi. Nataka unionyeshe wapi mtume alibaka usilete kona na porojo.
Nataka ushahidi wapi mtume alibaka ?
Inao wamiliki mikono yao ya KUUME NI WAKE ZAO? Safiyah huna ujuzi nalo eeh?!
Kubaka NI kufanya nini?? Hata Huoni Allah kaweka tafsida...[emoji12]Kwahiyo !? Kuna neno lolote 'kubaka hapo' ?
Sio wake zao ila sheria iliwaruhusu kuwaingilia na ilikuwa halali kwao,kwa maana walikuwa wanaingiliwa kwa hiari ukitaka.
Sasa nionyeshe wapi walibakwa ? Usipoteze muda nataka uonyeshe wapi nani alibakwa ?