Uislamu unafeli wapi? Imani moja ila msimamo haupo! Iddi lini?

Uislamu unafeli wapi? Imani moja ila msimamo haupo! Iddi lini?

Hv Agano la kale isn't part of a Bible? naona kama unalalia upande wa Agano jipya

Ni part ya Bible. Ila kila Agano lina malengo yake; kwa mfano leo hii hatuwezi bado kusoma Isaya 9:6 (ambacho ni kitabu cha Agano la Kale) kwa muktadha uleule uliokuwepo kabla Bwana Yesu Kristo hajazaliwa. Lakini haina maana kuwa hiyo aya ni ya uongo au haina maana.
 
Kila ninaposoma vitabu vyenu huwa nakumbushwa UKWELI huu: mtu hawezi kusoma Qur'an na akabaki Muislamu unless mtu huyo ni sampuli ya Dr. Zakir Naik. Hebu soma hapa halafu uniambie kama kuna logic yeyote hapa:

Abu Huraira reported Allah's Messenger (ﷺ) having said:
By Him in Whose Hand is my life, if you were not to commit sin, Allah would sweep you out of existence and He would replace (you by) those people who would commit sin and seek forgiveness from Allah, and He would have pardoned them.
(Reference: Sahih Muslim 2749).

Muhammad anasema usipofanya dhambi Allah anakuua ili aumbe watu watakaokuwa tayari kufanya dhambi ili waungame dhambi zao ili Allah awasemehe!! Really? Bado kuna watu wanaamini MUNGU kweli anaweza akaagiza mtu afanye dhambi?

🤣🤣🤣🤣
sasa hiyo ni quraan!!!?..unaugua ndani ya fuvu nini!!!?
 
Habari zenu!
Na wale waliofunga na kumaliza na wanaokaribia kumaliza nao napenda niwape hongera kwa hilo!

Ishu yangu ni ndogo, inakuwaje dini "kubwa" duniani ila ina misimamo tofauti tofauti? mimi nimejikita ktk suala hili la iddi. Hii sio mara ya kwanza kutokea mkanganyiko!

Hapa tanzania, waislamu wengine wanadai sherehe yao ni leo na wengine wakidai ni kesho na hata wengine wakidai labda keshokutwa. Ni kwamba hapa Tz dini hii imekosa viongozi wenye msimamo au ndio ilivyo?

Kuna waislamu wako Uarabuni leo, kesho wakija bongo wanakula iddi mara mbili. Sina uhakika na Kenya na Uganda iddi ni lini ingawa nimeona mabandiko mitandaoni yakionesha kuwa iddi kwa ni leo, JE NI WAPI HASA UISLAMU UNAKOSEA? UPANDE WA PILI VITU KAMA HIVI HUWA FIXED, MNAJUA HATA MIAKA 10 MBELE!
Ungeshuhulikia yakwako ingependeza zaid, maana hata uko uliko kuna mambo zaidi ya hayo
 
sasa hiyo ni quraan!!!?..unaugua ndani ya fuvu nini!!!?

Mwenzenu aliikana Hadith hivyo hivyo (akadai cha kuamini ni Qur'an ila si Hadith). Nikamletea aya kutoka Qur'an nayo akaikana kuwa madai kuwa aya hiyo ni "ya Mashia" utadhani kuna Qur'an ya Sunni ambayo ni tofauti na ya Shia.Uislamu gani usio na Sunnah na Hadith?
 
unafikiri mi mjinga mwenzio?!..
 
Mwenzenu aliikana Hadith hivyo hivyo (akadai cha kuamini ni Qur'an ila si Hadith). Nikamletea aya kutoka Qur'an nayo akaikana kuwa madai kuwa aya hiyo ni "ya Mashia" utadhani kuna Qur'an ya Sunni ambayo ni tofauti na ya Shia.Uislamu gani usio na Sunnah na Hadith?
Unachokifanya ww ni kucheza na akili za watu sehem zenye utata kwa watu wanaoifaham dini kwa uchache(waumini)..watafute watu kama mazinge ujadiliane nao.
Usiwapandishe watu hasira humu wakaanza kutukan dini zngne.(3:7)qur-an
 
Ukiona unakereka na kitu kilichoandikwa kwenye vitabu vya dini yako basi anza kujiuliza ikiwa kweli hiyo ni dini. Mazinge unapaswa kumuuliza wewe ili akufafanulie hayo unayoyaita yana utata, maana mimi nilishatambua muda mrefu kuwa kufuata Uislamu ni kuingizwa chaka.
Btw; situkani Uislamu. Kama unaona ninachokiandika ni matusi basi ni Uislamu wenyewe ndio unajitukanisha maana kila ninachokinukuu hapa ama kipo kwenye Qur'an au hadith za mtume. Ngoja nikupe neno la kulalia.

Kwa mujibu wa mtume wenu, nzi (NAAM NZI) akiingia kwenye kinywaji chako chochote unapaswa kumtumbukiza mzima mzima kwenye kinywaji MAANA BAWA LAKE MOJA LINA UGONJWA NA LA PILI LINA TIBA ZA HUO UGONJWA.

Sijazusha wala kutunga. Jisomee hapa:

"Abu Huraira alisimulia: Nabii alisema, 'Kama nzi ameangukia kwenye kinywaji cha mtu yoyote kati yenu, na amchovye (kwenye kinywaji), kwani bawa lake moja lina ugonjwa na lingine lina tiba ya huo ugonjwa." Bukhari juzuu ya 4 kitabu cha 54 (Mwanzo wa Uumbaji) sura ya 16 na.537 uk.338. Tazama pia Abu Dawud juzuu ya 3 kitabu cha 21 (Kitabu cha Vyakula) na.3835 uk.1080.

Volume 4, Book 54, Number 537: Narrated Abu Huraira:
The Prophet said "If a house fly falls in the drink of anyone of you, he should dip it (in the drink), for one of its wings has a disease and the other has the cure for the disease."

Halafu bado watu mnaamini vitu vya namna hii kweli????
🤣 🤣 🤣 🤣
 
Are you crazy?? Wapi nimeandika habari ya mke au girl friend? Hiyo aya niliyonukuu nilikuambia inahusiana na girlfriend au mke? Au kwako mtumwa na/au mtumishi wa ndani ni mke au girlfriend?
Give us a break.
Huna akili eti ndio maana hujafahamu ulichoulizwa.

You need to take break from the BS in bible 😀 Jibu maswali nlokuuliza
 
yaani mnavyochinjana na ma Alshabaab yenu mara IS eti mnamtetea Mungu, yaani Allah hana uwezo wa kijitetea mpaka awatume mlazimishe watu wamfuate na wanaokataa mnawachinja!! Au Allah anapenda sana damu? Kwani kama Peponi kutamu kuna haja gani ya kuwalazimisha watu mwende nao? si mwende wenyewe mkafaidi hao mabikra 72, ujinga mtupu
Ujinga ni kuongea kitu usichokijua na kujifanya unakijua.

Crusaders ulisahau walipovamia Jerusalem wakachinja watu. Fool!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom