Bandiwe
JF-Expert Member
- Oct 19, 2013
- 9,530
- 3,557
Tafsida ya Qur'an ulijifunza kwa Sheikh gani !?Kubaka NI kufanya nini?? Hata Huoni Allah kaweka tafsida...[emoji12]
Tafsida ya Qur'an ulijifunza kwa Sheikh gani !?Kubaka NI kufanya nini?? Hata Huoni Allah kaweka tafsida...[emoji12]
Kwenye Quran [emoji106]Tafsida ya Qur'an ulijifunza kwa Sheikh gani !?
Kwenye Quran [emoji106]
Nimekuwekea na aya za kabla na baada ili upate mtiririko wa maana :
1. HAKIKA wamefanikiwa Waumini,
2. Ambao ni wanyenyekevu katika Sala zao,
3. Na ambao hujiepusha na mambo ya upuuzi,
4. Na ambao wanatoa Zaka,
5. Na ambao wanazilinda tupu zao,
6. Isipo kuwa kwa wake zao au kwa iliyo wamiliki mikono yao ya kulia. Kwani hao si wenye kulaumiwa.
7. Lakini anaye taka kinyume cha haya, basi hao ndio warukao mipaka.
8. Na ambao wanazitimiza amana zao na ahadi zao, (al Muuminuun : 1- 8)
Ama kuhusu suala la Safiyya hilo sina elimu nalo,wewe unae jua ndio uniletee ushahidi kwamba alibakwa,maana hatutaki maneno ya vijiweni yasiyo kuwa na ushahidi. Nataka unionyeshe wapi mtume alibaka usilete kona na porojo.
Nataka ushahidi wapi mtume alibaka ?
Unionyeshe wewe kama hawabakwi!
HAKIPO KWENYE QURAN ILA KIPO KWENYE UISLAM. HOW?Kama unaamini kuwa NAJIKANGANYA na huku kila nilichokinukuu kinatoka ama kwenye Qur'an au Hadith za mtume; utakataaje kuwa Uislamu UNAJIKANGANYA PIA?
Kwa akili yako, kuna uwezekano mwanamke uliemuulia mumewe, baba na ndugu zake wengine akubali umuingilie kwa hiari yake?
Soma matini hiyo ayat then usome alivyo tafsiriKwenye Qur'an kuna tafsiri ya 'tafsida' ? Ilete
Kila ninaposoma vitabu vyenu huwa nakumbushwa UKWELI huu: mtu hawezi kusoma Qur'an na akabaki Muislamu unless mtu huyo ni sampuli ya Dr. Zakir Naik. Hebu soma hapa halafu uniambie kama kuna logic yeyote hapa:
Abu Huraira reported Allah's Messenger (ﷺ) having said:
By Him in Whose Hand is my life, if you were not to commit sin, Allah would sweep you out of existence and He would replace (you by) those people who would commit sin and seek forgiveness from Allah, and He would have pardoned them.
(Reference: Sahih Muslim 2749).
Muhammad anasema usipofanya dhambi Allah anakuua ili aumbe watu watakaokuwa tayari kufanya dhambi ili waungame dhambi zao ili Allah awasemehe!! Really? Bado kuna watu wanaamini MUNGU kweli anaweza akaagiza mtu afanye dhambi?
🤣🤣🤣🤣
Kwa akili yako, kuna uwezekano mwanamke uliemuulia mumewe, baba na ndugu zake wengine akubali umuingilie kwa hiari yake?
SAHIH MUSLM 2749 ni reference ya kuruani hiyo?
Mimi nanukuu toka Ilimu Islam[emoji106] nashukuru sana kwa kunipa jukwaa [emoji23]Jibu rahisi ni kuwa huwezi kuonyesha hilo,kwahiyo wewe ni mzushi muongo. Acha tabia ya kuzua uongo utakuja kuulizwa siku ya malipo.
Kazi yangu imeisha.
Eid huwa inategemea moon sighting. Hali kadhalika Malaysia, Japan, Egypt, Jordan, Australia wamesherehea J5. Wavaa kata suruali ni visebengo. Wao wananasabaisha suala hili kisa mgogoro wao na Bakwata. Ni kweli Bakwata ni miyeyusho ila kuna maeneo mnaweka kando tofauti na kuwa kitu kimoja. Ila wafuga uchebe hawaelewi hili.mkuu, unajua kuwa Tanzania na Iraq wana muda mmoja (3+hours from GMT) ila Iraq nao wamekula iddi leo? Abu Dhabi tumepishana saa moja ako mbele ila iddi leo, UAE pia ni saa oja wako mbele!
kwenye hili hoja yako haina mashiko!
Si ndio kubaka huko?! Hebu TOA maoni yako kama sio kubaka [emoji117]View attachment 1119969View attachment 1119970
Tafsiri iko wape ? Huelewi nini kuhusu 'male and female' ? Yeye ndiye kaumba.Soma matini hiyo ayat then usome alivyo tafsiriView attachment 1119915
Wao wana Mufti wao na sie tuna Mufti wetu, wao wana baraza lao Ulamaa na sie tuna letu. Wao hawata tufuata sisi tukiona mwezi, na sisi hatuwafuati wao.mkuu, unajua kuwa Tanzania na Iraq wana muda mmoja (3+hours from GMT) ila Iraq nao wamekula iddi leo? Abu Dhabi tumepishana saa moja ako mbele ila iddi leo, UAE pia ni saa oja wako mbele!