Uislamu unafeli wapi? Imani moja ila msimamo haupo! Iddi lini?

Uislamu unafeli wapi? Imani moja ila msimamo haupo! Iddi lini?

Habari zenu!
Na wale waliofunga na kumaliza na wanaokaribia kumaliza nao napenda niwape hongera kwa hilo!

Ishu yangu ni ndogo, inakuwaje dini "kubwa" duniani ila ina misimamo tofauti tofauti? mimi nimejikita ktk suala hili la iddi. Hii sio mara ya kwanza kutokea mkanganyiko!

Hapa tanzania, waislamu wengine wanadai sherehe yao ni leo na wengine wakidai ni kesho na hata wengine wakidai labda keshokutwa. Ni kwamba hapa Tz dini hii imekosa viongozi wenye msimamo au ndio ilivyo?

Kuna waislamu wako Uarabuni leo, kesho wakija bongo wanakula iddi mara mbili. Sina uhakika na Kenya na Uganda iddi ni lini ingawa nimeona mabandiko mitandaoni yakionesha kuwa iddi kwa ni leo, JE NI WAPI HASA UISLAMU UNAKOSEA? UPANDE WA PILI VITU KAMA HIVI HUWA FIXED, MNAJUA HATA MIAKA 10 MBELE!
Hakuna dini ya kinafiki kama ya kiislam
 
Mfanya ushirikina utapata tabu sana, wacha kuchinja ma albino
yaani mnavyochinjana na ma Alshabaab yenu mara IS eti mnamtetea Mungu, yaani Allah hana uwezo wa kijitetea mpaka awatume mlazimishe watu wamfuate na wanaokataa mnawachinja!! Au Allah anapenda sana damu? Kwani kama Peponi kutamu kuna haja gani ya kuwalazimisha watu mwende nao? si mwende wenyewe mkafaidi hao mabikra 72, ujinga mtupu
 
hao wsomali na waarabu wanatetea haki zao ni propaganda tu zimetengenezwa wakaitwa magaidi
 
Upande wa pili hukaa jopo na kuamua sikukuu iwe tarehe 25kila disemba.Waislamu hutegemea muandamo wa mwezi hivyo kisayansi kuna tofauti ya location/mahala hivyo mwezi hauwezi kuonekana dunia nzima kwa muda mmoja.Kasome vizuri mistari ya latitudo na longitudo na majira yake utaelewa kwa nini waislamu hawana universal date kama nyie.Kumbuka unajimu haukuanzishw na wazungu bali mashariki ya kati.Warabu wanaelimu ya unajimu zaidi ya wazungu.Umewahi kujiuliza kwa nini tarehe za wazungu haziendani na miandamo ya mwezi.Wazungu wanajua wao walipotoa tarehe lakini hazipo sahihi.Leo tarehe 3 wakati mwezi utaandama leo au kesho ambap ndio tarehe moja kwa mijibu wa mwandamo.
NASA wanachombo huko mwezini hamujawauliza kama una mwanga

Hivi vituko unaabudu mwezi pumbavu

Sasa wewe unajimu gani wakati Mtume hakujua kusoma wala kuandika

Khaa Katika Mecca mnamo miaka ya 500 watu wawili tu akiwamo Aboubakar ndie aliyejua kusoma

Mtume hakujua kusoma wala kuandika

Mfyuuuuuuu, Wewe una elimu ahera tu, Mambo ya science na historia achia kanisa katoliki wao ndio wanavitabu na wamehifadhi historia ya dunia
 
Kitimoto waislam washika dini wanakula
Pombe waanzilisha wa ukristo yaani Roman wanakunywa pombe

Mimi huwa nashangaa mamluki wa juzi ndio wanajifanya waislam

Kuna uislam kama nchi za kiarabu, na ndio wafiraji na wala kitimoto, Wewe mtanzania dini unasimuliwa

Kuna ukristo kama Vatican lakini Wao ndio wabakaji na walawiti na dini wanaijua

Ahaaa tufanye kazi, Imani ina wenyewe
usamehewe bule
 
hakuna dini inayoongozwa na mashoga kama ukristu

Hivi kweli watu mnaamini kwenye mafundisho ya Uislamu? Kwa mfano unaamini katika hili hapa chini?

074-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Yapendeza Kupiga Chafya Na Yachukiza Kupiga Miayo

Lu-ulu-un-Manthuwrun
(Mkusanyiko Wa Hadiyth Mbali Mbali Na Mafunzo Yake)

Hadiyth Ya 74: Yapendeza Kupiga Chafya Na Yachukiza Kupiga Miayo

Imepokelewa kutoka kwa Abuu Hurayrah (رضي الله عنه) kwamba Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم ) amesema: ((Hakika Allaah Anapenda chafya na Anachukia kupiga miayo. Anapopiga chafya mmoja wenu akamhimidi Allaah (تعالى) ni wajibu kwa kila Muislamu anayemsikia kumwambia: “Yarhamuka Allaah” (Allaah Akurehemu). Ama kupiga miayo, hakika hivyo ni kutoka kwa shaytwaan, basi anapopiga miayo mmoja wenu ajizuie kadiri awezavyo. Mtu anaposema: “Aaawh” shaytwaan humcheka)). [Al-Bukhaariy]

In English:

Praise be to Allaah.
It was proven in the hadeeth of Abu Hurayrah (may Allaah be pleased with him) that the Prophet (peace and blessings of Allaah be upon him) said: “Allaah likes the act of sneezing and dislikes the act of yawning, so if any one of you sneezes and praises Allaah (says “al-hamdu Lillaah”), it is a duty on every Muslim who hears him to say to him, “Yarhamuk Allaah (may Allaah have mercy on you).” As for yawning, it is from the Shaytaan, so if any of you feels the urge to yawn, he should suppress it as much as he can, for when any one of you yawns, the Shaytaan laughs at him.”
 
Kila ninaposoma vitabu vyenu huwa nakumbushwa UKWELI huu: mtu hawezi kusoma Qur'an na akabaki Muislamu unless mtu huyo ni sampuli ya Dr. Zakir Naik. Hebu soma hapa halafu uniambie kama kuna logic yeyote hapa:
Abu Huraira reported Allah's Messenger (ﷺ) having said:
By Him in Whose Hand is my life, if you were not to commit sin, Allah would sweep you out of existence and He would replace (you by) those people who would commit sin and seek forgiveness from Allah, and He would have pardoned them.
(Reference: Sahih Muslim 2749).
Muhammad anasema usipofanya dhambi Allah anakuua ili aumbe watu watakaokuwa tayari kufanya dhambi ili waungame dhambi zao ili Allah awasemehe!! Really? Bado kuna watu wanaamini MUNGU kweli anaweza akaagiza mtu afanye dhambi?
🤣🤣🤣🤣
WE MJINGA KWELI HIYO SIYO QURAN RUDI DARASANI TENA BIG BOGAS
 
Kitimoto waislam washika dini wanakula
Pombe waanzilisha wa ukristo yaani Roman wanakunywa pombe
Mimi huwa nashangaa mamluki wa juzi ndio wanajifanya waislam
Kuna uislam kama nchi za kiarabu, na ndio wafiraji na wala kitimoto, Wewe mtanzania dini unasimuliwa
Kuna ukristo kama Vatican lakini Wao ndio wabakaji na walawiti na dini wanaijua
Ahaaa tufanye kazi, Imani ina wenyewe
HUYO KASHIKA DINI KWA MIKONO
 
Gussie; kuwepo na padre mbakaji hakufanyi Ukristo uwe ni dini ya ubakaji. Ukristo (kama ulivyo Uislamu) haupimwi kwa matendo ya mtu binafsi bali maandiko yake yanaagiza nini.
Kwa mfano, usishangae kusikia wafanyakazi wa ndani wanawake wanabakwa huko Uarabuni maana Uislamu umehalalisha mwanaume kuwalala walio chini ya milki yake. Akifanya hivyo mtu anaejiita Mkristo basi atakuwa ameasi Ukristo.
TWENDE TARATIBU NDUGU. JE UNAWEZA KULETA USHAHIDI WA HAYO ULIYOSEMA KATIKA UISLAM
 
Hivi kweli watu mnaamini kwenye mafundisho ya Uislamu? Kwa mfano unaamini katika hili hapa chini?

074-Lu-ulu-un-Manthuwrun: Yapendeza Kupiga Chafya Na Yachukiza Kupiga Miayo

Lu-ulu-un-Manthuwrun
(Mkusanyiko Wa Hadiyth Mbali Mbali Na Mafunzo Yake)

Hadiyth Ya 74: Yapendeza Kupiga Chafya Na Yachukiza Kupiga Miayo

Imepokelewa kutoka kwa Abuu Hurayrah (رضي الله عنه) kwamba Nabiy (صلى الله عليه وآله وسلم ) amesema: ((Hakika Allaah Anapenda chafya na Anachukia kupiga miayo. Anapopiga chafya mmoja wenu akamhimidi Allaah (تعالى) ni wajibu kwa kila Muislamu anayemsikia kumwambia: “Yarhamuka Allaah” (Allaah Akurehemu). Ama kupiga miayo, hakika hivyo ni kutoka kwa shaytwaan, basi anapopiga miayo mmoja wenu ajizuie kadiri awezavyo. Mtu anaposema: “Aaawh” shaytwaan humcheka)). [Al-Bukhaariy]

In English:

Praise be to Allaah.
It was proven in the hadeeth of Abu Hurayrah (may Allaah be pleased with him) that the Prophet (peace and blessings of Allaah be upon him) said: “Allaah likes the act of sneezing and dislikes the act of yawning, so if any one of you sneezes and praises Allaah (says “al-hamdu Lillaah”), it is a duty on every Muslim who hears him to say to him, “Yarhamuk Allaah (may Allaah have mercy on you).” As for yawning, it is from the Shaytaan, so if any of you feels the urge to yawn, he should suppress it as much as he can, for when any one of you yawns, the Shaytaan laughs at him.”
Kibaya kipi hapo?
 
Hatuna mungu sisi ila tuna Mungu Jehovah. Nilichoandika ni kuwa umenukuu Agano la Kale. It is valid Yes lakini pia ni situational. Hata ukisoma hayo maandiko yanasema "nikuambiapo"? What does that tell you? Kuwa amri hiyo ni perpetual?
Hebu sasa linganisha na ruhusa mliyopewa. Vinalingana?
Hv Agano la kale isn't part of a Bible? naona kama unalalia upande wa Agano jipya
 
Kitimoto waislam washika dini wanakula
Pombe waanzilisha wa ukristo yaani Roman wanakunywa pombe

Mimi huwa nashangaa mamluki wa juzi ndio wanajifanya waislam

Kuna uislam kama nchi za kiarabu, na ndio wafiraji na wala kitimoto, Wewe mtanzania dini unasimuliwa

Kuna ukristo kama Vatican lakini Wao ndio wabakaji na walawiti na dini wanaijua

Ahaaa tufanye kazi, Imani ina wenyewe
Acha kashfa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom