Uislamu unafeli wapi? Imani moja ila msimamo haupo! Iddi lini?

kumbe bado mnawazia mambo yasiyokuwa na maana[emoji849]

#ukiwa na elimu ya kuanzia darasa la7 arafu bado unajiita wewe ni Muslim basi tutakuwa na mashaka na hiyo elimu yako, kama mtu unajiita una elimu huwezi jiita Muslim.
 
۞ وَالْمُحْصَنَاتُ مِنَ النِّسَاءِ إِلَّا مَا مَلَكَتْ أَيْمَانُكُمْ ۖ كِتَابَ اللَّهِ عَلَيْكُمْ ۚ وَأُحِلَّ لَكُم مَّا وَرَاءَ ذَٰلِكُمْ أَن تَبْتَغُوا بِأَمْوَالِكُم مُّحْصِنِينَ غَيْرَ مُسَافِحِينَ ۚ فَمَا اسْتَمْتَعْتُم بِهِ مِنْهُنَّ فَآتُوهُنَّ أُجُورَهُنَّ فَرِيضَةً ۚ وَلَا جُنَاحَ عَلَيْكُمْ فِيمَا تَرَاضَيْتُم بِهِ مِن بَعْدِ الْفَرِيضَةِ ۚ إِنَّ اللَّهَ كَانَ عَلِيمًا حَكِيمًا

(AN-NISAAI - 24)
NA WANAWAKE wenye waume, isipo kuwa walio milikiwa na mikono yenu ya kulia. Ndiyo Sharia ya Mwenyezi Mungu juu yenu. Na mmehalilishiwa wasio kuwa hao, mtafute kwa mali yenu kwa kuowa pasina kuzini. Kama mnavyo starehe nao, basi wapeni mahari yao kwa kuwa ni waajibu. Wala hapana lawama juu yenu kwa mtakacho kubaliana baada ya kutimiza waajibu. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua na Mwenye hikima.

Hoja yako iko.wapi katika aya?

Kiingereza sikijui kwa hyo usininukulie aya kwa kiingereza nukuu kwa lugha ya kiswahili tuelewane.
Mmmmmh!
 
Hatuna mungu sisi ila tuna Mungu Jehovah. Nilichoandika ni kuwa umenukuu Agano la Kale. It is valid Yes lakini pia ni situational.
Situation ipi hio? Agano likiwa la kale likiwa la sasa, Mungu tofauti?

Hata ukisoma hayo maandiko yanasema "nikuambiapo"? What does that tell you? Kuwa amri hiyo ni perpetual?
Katika screenshots nilizoleta wapi imeandikwa "When i tell you". Wakati zinaonesha kuwa ni amri nendeni mkafanye ivo. Hata tukijaalia iwe hivo unavotaka wewe kuwa alisema "nikuambiapo" manake still amehalalisha ubakaji na udhalilishaji. Huna pakujificha.

Hebu sasa linganisha na ruhusa mliyopewa. Vinalingana?
Hebu weka ruhusa yetu tuliopewa na linganishe na yenu mliopewa 😀 Nasubiri
 
Kila ninaposoma vitabu vyenu huwa nakumbushwa UKWELI huu: mtu hawezi kusoma Qur'an na akabaki Muislamu unless mtu huyo ni sampuli ya Dr. Zakir Naik. Hebu soma hapa halafu uniambie kama kuna logic yeyote hapa:

Abu Huraira reported Allah's Messenger (ﷺ) having said:
By Him in Whose Hand is my life, if you were not to commit sin, Allah would sweep you out of existence and He would replace (you by) those people who would commit sin and seek forgiveness from Allah, and He would have pardoned them.
(Reference: Sahih Muslim 2749).

Muhammad anasema usipofanya dhambi Allah anakuua ili aumbe watu watakaokuwa tayari kufanya dhambi ili waungame dhambi zao ili Allah awasemehe!! Really? Bado kuna watu wanaamini MUNGU kweli anaweza akaagiza mtu afanye dhambi?

🤣🤣🤣🤣
Unalaana wewe si bure
 
Habari zenu!
Na wale waliofunga na kumaliza na wanaokaribia kumaliza nao napenda niwape hongera kwa hilo!

Ishu yangu ni ndogo, inakuwaje dini "kubwa" duniani ila ina misimamo tofauti tofauti? mimi nimejikita ktk suala hili la iddi. Hii sio mara ya kwanza kutokea mkanganyiko!

Hapa tanzania, waislamu wengine wanadai sherehe yao ni leo na wengine wakidai ni kesho na hata wengine wakidai labda keshokutwa. Ni kwamba hapa Tz dini hii imekosa viongozi wenye msimamo au ndio ilivyo?

Kuna waislamu wako Uarabuni leo, kesho wakija bongo wanakula iddi mara mbili. Sina uhakika na Kenya na Uganda iddi ni lini ingawa nimeona mabandiko mitandaoni yakionesha kuwa iddi kwa ni leo, JE NI WAPI HASA UISLAMU UNAKOSEA? UPANDE WA PILI VITU KAMA HIVI HUWA FIXED, MNAJUA HATA MIAKA 10 MBELE!
Hata kufunga walifunga siku tofauti, sasa iweje kufungua iwe siku moja au wafungue pamoja?!
Tatizo ni mwezi hauandami kwa uwazi, kila mtu anajiamulia anauonaje mwezi, wapo wanaouona kwenye whatsapp, wapo wanaousikia redioni, wapo wauonao kwenye TV, na wapo wauonao kwenye internet na wengine hutumia telescope. Sasa hapo alaumiwe nani dini au mwezi?!
 
Hebu Muulize Mama yako vidole vina taste gani

Najua Yeye ni muislamu safi mpaka ina kwenye vidole,

Muulize vina kazi gani kwenye uislamu

Vidole ni sunna
Vidole vya albino ukivila una taste gani? 🙂
 
Hebu Muulize Mama yako vidole vina taste gani

Najua Yeye ni muislamu safi mpaka ina kwenye vidole,

Muulize vina kazi gani kwenye uislamu

Vidole ni sunna
Labda tumuulize mama yako mana ndie mshirikina mwenzako.

Najua yeye ni kafiri na makazi yake motoni.

Kafara ni Wajibu kwenu.
 
Mkuu kitimoto is the best food
Mashehe wanaokula ndio wamepanga Iddi na serikali iwe kesho
Mkuu muhimu ni elimu na si sheikh maana naona umekazania masheikh hivi mara vile.
 
Habari zenu!
Na wale waliofunga na kumaliza na wanaokaribia kumaliza nao napenda niwape hongera kwa hilo!

Ishu yangu ni ndogo, inakuwaje dini "kubwa" duniani ila ina misimamo tofauti tofauti? mimi nimejikita ktk suala hili la iddi. Hii sio mara ya kwanza kutokea mkanganyiko!

Hapa tanzania, waislamu wengine wanadai sherehe yao ni leo na wengine wakidai ni kesho na hata wengine wakidai labda keshokutwa. Ni kwamba hapa Tz dini hii imekosa viongozi wenye msimamo au ndio ilivyo?

Kuna waislamu wako Uarabuni leo, kesho wakija bongo wanakula iddi mara mbili. Sina uhakika na Kenya na Uganda iddi ni lini ingawa nimeona mabandiko mitandaoni yakionesha kuwa iddi kwa ni leo, JE NI WAPI HASA UISLAMU UNAKOSEA? UPANDE WA PILI VITU KAMA HIVI HUWA FIXED, MNAJUA HATA MIAKA 10 MBELE!
Si ajabu kwa waislamu kutofautiana kwa baadhi ya mambo hilo ni la kawaida kwenye dini yetu na wala huna haya ya kuiita hali hii mkanganyiko

Kibaya ktk uislam ni kutofautiana katika misingi mikuu ya uislam na kutoka katika imani ya kua na Mungu mmoja tu na mtume Muhhammad kama mjumbe wa mwenyez Mungu kama ya M/Mungu

Si sahihi pia kuutaja uislam pekee hata UKRISTO una madhehebu mbali mbali ambayo hayakubaliani katika baadhi ya mambo mfano wasabato hawana chritzmas wala pasaka/ mroman haendi ibadani lutheran n.k

Ni jambo tu la kukubali kutokukubaliana

I stand to be corrected
 
Sio uislam hio ni shida ya dini nyingi duniani,tena Bora uislam kwenye IDD tu,Kuna dini wanatumia kitabu kimoja lakini kuna kundi wanaruhusu kunywa pombe, lingine wanakataza kula nguruwe,lingine viongozi wao hawaoi(maajabu hayo).......
umeshndwa ku stick kwa kilichoulzwa mkuu
 
Habari zenu!
Na wale waliofunga na kumaliza na wanaokaribia kumaliza nao napenda niwape hongera kwa hilo!

Ishu yangu ni ndogo, inakuwaje dini "kubwa" duniani ila ina misimamo tofauti tofauti? mimi nimejikita ktk suala hili la iddi. Hii sio mara ya kwanza kutokea mkanganyiko!

Hapa tanzania, waislamu wengine wanadai sherehe yao ni leo na wengine wakidai ni kesho na hata wengine wakidai labda keshokutwa. Ni kwamba hapa Tz dini hii imekosa viongozi wenye msimamo au ndio ilivyo?

Kuna waislamu wako Uarabuni leo, kesho wakija bongo wanakula iddi mara mbili. Sina uhakika na Kenya na Uganda iddi ni lini ingawa nimeona mabandiko mitandaoni yakionesha kuwa iddi kwa ni leo, JE NI WAPI HASA UISLAMU UNAKOSEA? UPANDE WA PILI VITU KAMA HIVI HUWA FIXED, MNAJUA HATA MIAKA 10 MBELE!
Upande wa pili hukaa jopo na kuamua sikukuu iwe tarehe 25kila disemba.Waislamu hutegemea muandamo wa mwezi hivyo kisayansi kuna tofauti ya location/mahala hivyo mwezi hauwezi kuonekana dunia nzima kwa muda mmoja.Kasome vizuri mistari ya latitudo na longitudo na majira yake utaelewa kwa nini waislamu hawana universal date kama nyie.Kumbuka unajimu haukuanzishw na wazungu bali mashariki ya kati.Warabu wanaelimu ya unajimu zaidi ya wazungu.Umewahi kujiuliza kwa nini tarehe za wazungu haziendani na miandamo ya mwezi.Wazungu wanajua wao walipotoa tarehe lakini hazipo sahihi.Leo tarehe 3 wakati mwezi utaandama leo au kesho ambap ndio tarehe moja kwa mijibu wa mwandamo.
 
Situation ipi hio? Agano likiwa la kale likiwa la sasa, Mungu tofauti?

Katika screenshots nilizoleta wapi imeandikwa "When i tell you". Wakati zinaonesha kuwa ni amri nendeni mkafanye ivo. Hata tukijaalia iwe hivo unavotaka wewe kuwa alisema "nikuambiapo" manake still amehalalisha ubakaji na udhalilishaji. Huna pakujificha.

Hebu weka ruhusa yetu tuliopewa na linganishe na yenu mliopewa 😀 Nasubiri

Soma verse hii:

Quran in Sura 23:5-6 says:
5 [Most certainly true believers] . . . guard their private parts scrupulously, 6 except with regard to their wives and those who are legally in their possession, for in that case they shall not be blameworthy. (Sayyid Abul A’La Maududi, The Meaning of the Quran, vol. 3, p. 237)
The key words are "those who are legally in their possession." Maududi (d. 1979) is a highly respected commentator on the Quran, and he interprets the plain meaning of the clause, saying that sex with slave-girls is lawful.

Unalo jingine?
 
Sasa huoni kama unaji contradict mwenyewe hapo? 😀

Si umeona hapo key WORD?

Unauliza kama nina jengine wakati kwenye Quote yangu umetekeleza nusu ya point moja tu. Hebu irudie tena halafu fanya nlichokuomba
 
Contradiction iko wapi? Tangu mwanzo naandika kuwa uislamu unaruhusu mwanaume kulala na yeyote alie chini ya mamlaka yake. Aya hiyo imepingana na nini hapo? Look here, wewe unataka ubishi usio na sababu maana najua hata wewe mwenyewe huoni contradiction.
Kiki ulishawahi kusikia kwenye za Kiislamu kuna mtu kafungwa Kwa ubakaji? Ila wakijiloga kufanya hayo maneno nchi zilizostaarabika huwa wanakiona cha Moto pamoja na utetezi kuwa ni Islamic tradition.
 
Mkeo ukifanya nae sex unakuwa unambaka? Au Girlfriend wako ukifanya nae sex unakuwa unambaka?
 
Upande wa pili hukaa jopo na kuamua sikukuu iwe tarehe 25kila disemba.Waislamu hutegemea muandamo wa mwezi hivyo kisayansi kuna tofauti ya location/mahala hivyo mwezi hauwezi kuonekana dunia nzima kwa muda mmoja.Kasome vizuri mistari ya latitudo na longitudo na majira yake utaelewa kwa nini waislamu hawana universal date kama nyie.Kumbuka unajimu haukuanzishw na wazungu bali mashariki ya kati.Warabu wanaelimu ya unajimu zaidi ya wazungu.Umewahi kujiuliza kwa nini tarehe za wazungu haziendani na miandamo ya mwezi.Wazungu wanajua wao walipotoa tarehe lakini hazipo sahihi.Leo tarehe 3 wakati mwezi utaandama leo au kesho ambap ndio tarehe moja kwa mijibu wa mwandamo.
ok
 
Mkeo ukifanya nae sex unakuwa unambaka? Au Girlfriend wako ukifanya nae sex unakuwa unambaka?

Are you crazy?? Wapi nimeandika habari ya mke au girl friend? Hiyo aya niliyonukuu nilikuambia inahusiana na girlfriend au mke? Au kwako mtumwa na/au mtumishi wa ndani ni mke au girlfriend?
Give us a break.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom