Uislamu ni project ya wakatoliki

We jamaa acha kuchanganya Aya za Biblia na Quran. Biblia haijazungumza kuhusu uislam. Mi sijakubali kwamba yohana kazaliwa na dini. Nasisitiza, mtu anazaliwa akiwa empty.
Wewe unasema Yohana hajazaliwa na dini ila Bibilia inasema Yohana amezaliwa akiwa na dini

Luka 1:15
Kwa sababu atakuwa mkuu mbele za Bwana; hatakunywa divai wala kileo; naye atajazwa Roho Mtakatifu hata tangu tumboni mwa mamaye.

Haiwezekani mtu azaliwe na roho mtakatifu akiwa ndani yake alafu awe mpagani

Mimi sifuati Mawazo yako Mimi nafuata maandiko ya Bibilia

Anaye Sema hapo ni Mungu na Wewe kupinga Maneno ya Mungu Mimi sishangai Kwa sababu wewe ni kafiri
 
Kumbe na nyinyi waislam mnakubali kwamba Biblia ni Mungu ndo anayesema... Kitu nataka kujua hapo kwenye hiyo Aya ni kwamba, wapi hapo panaonyesha yohana ni muislam?
Kuzaliwa amejazwa roho mtakatifu ndo uislam?
 
Kumbe na nyinyi waislam mnakubali kwamba Biblia ni Mungu ndo anayesema... Kitu nataka kujua hapo kwenye hiyo Aya ni kwamba, wapi hapo panaonyesha yohana ni muislam?
Kuzaliwa amejazwa roho mtakatifu ndo uislam?

Yohana alikuwa Muislam na sio Yohana tu manabii wote wa Mungu walikuwa waislam

Kama wewe unao ushahidi kuwa Yohana alikuwa mkristo kama wewe weka hapa tuuone
 
Yohana alikuwa Muislam na sio Yohana tu manabii wote wa Mungu walikuwa waislam

Kama wewe unao ushahidi kuwa Yohana alikuwa mkristo kama wewe weka hapa tuuone
Kitu ambacho hujasema hadi sasa ni kwamba Aya hiyo ni kwa vipi imezungumzia uislam? Hadi sasa sioni ukijibu swali hilo.

Kitu unapaswa kuelewa ni kwamba hakuna uislam ambao umezungumzwa kwenye Biblia. Ila ukiungaunga Aya unaweza kujipa moyo na kudhani Biblia imeeleza kuhusu dini dhaifu ya kiislam.

Unasema yohana alikuwa muislam, onyesha sasa huo uislam wa yohana unabaki kuleta mambo ya roho mtakatifu. Nakuuliza roho mtakatifu ndo uislam unabaki kurukaruka tu.

Ok, Baki na Imani yako kuamini Yohana ni muislam.
 
Mkuu hii elimu ya majini kama bado ipo -- ije kuongeza nguvu huku kwenye no reforms no elections

Ombi la kipekee
 
Mbona hushangai Yesu kujua Taurati? Kuwa muungwana kwani hakuna mfanano kati ya Injili na Taurati?
 
1924 ni mwaka Quran imekusanywa iwe moja na mfalme Fuad wa misri ,mwaka 1985 ndio Saudia Arabia wakaikubali

Kabla ya hapo Quran ilikuwa tofauti tofauti ,ndio maana zilichomwq na kuundwa hii moja

Hii historia HUIJUI?
Mkuu una madini hatari, wewe ni Bishop au?
Ila naona una jina la Kiislamu, πŸ˜„πŸ˜„
 
Una uhakika Wapalestina ni uzao wa Ibrahim?
 
Mbona wasomi wa Taurati walimkamata kama wewe unavyo ikataa Quran
Wapi uliothibitisha walikuwa wasomi wa torati? Yesu aliwachana live kuwa hawajui maandiko


Quran usiweke kwenye mizani na hivo vitabu ni kuvunja heshima ya torati

Quran ni kitabu kimeundwa na wahuni wachache hapo Al Azhar University mwaka 1924 kwa usimamizi wa Mfalme Fuad

Someni historia , ndio maana hata Saudi Arabia alipotekea mudi hawana matini ya Uthman,Bali wanategemea hii Quran ya hafs iliyoundwa na wahuni wachache
 
Naomba wasifu wa Huyo Yahwee katika Biblia
YHWH linajulikana kama Tetragrammaton, yaani herufi nne za Kiebrania: Χ™ (Yod), Χ” (He), Χ• (Waw), Χ” (He).

Tafsiri ya jina hili kwa Kiebrania inahusishwa na kitenzi "kuwepo", hivyo humaanisha β€œYeye aliyepo, aliyekuwepo, na atakayekuwapo” (Kutoka 3:14).

Kwa sababu ya utakatifu wa jina hili, Wayahudi wengi walikwepa kulitamka na badala yake walitumia maneno kama Adonai (Bwana) au HaShem (Jina).

Yahweh ndiye Muumba wa mbingu na dunia (Mwanzo 1).

Anajulikana kama Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo.

Ndiye aliyejifunua kwa Musa katika kichaka kilichowaka moto na kumwambia: β€œMimi ni Niliye” (Kutoka 3:13-15).

Mtakatifu kabisa (Isaya 6:3)

Mwenye huruma na neema, si mwepesi wa hasira (Kutoka 34:6).

Mwaminifu kwa agano lake, husimamia ahadi zake kwa kizazi hata kizazi.

Mwenye haki, ambaye hachukulii dhambi kwa uzito mdogo.

Mungu wa wivu, anayechukia ibada ya sanamu (Kutoka 20:5).

Yahweh alifanya agano na Waisraeli kupitia Musa kwenye Mlima Sinai.

Anahitaji haki, rehema, na uaminifu kutoka kwa watu wake (Mika 6:8).

Anawabariki wale wanaomtii na kuwaadhibu wanaomwasi, kama inavyoonekana katika historia ya Waisraeli.

Yahweh anajitambulisha kuwa Mungu mmoja wa kweli, tofauti na miungu ya kipagani (Kumbukumbu la Torati 6:4).
 
Ndioo upande wa ismaeli mtoto wanje wa ibrahim hamfuatili historia ismaeli ndio kajenga ule msikiti pale gaza
Ibrahim wakati anatoka Mesopotamia kwenda nchi ya Kaanani aliwakuta kwenye ile nchi Wakanani na Wafilisti (Wapalestina)
Walikuwepo iwe leo hii usema Wapalestina ni uzao wa Ibrahim?
 
Ndioo upande wa ismaeli mtoto wanje wa ibrahim hamfuatili historia ismaeli ndio kajenga ule msikiti pale gaza
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Huu uzushi umeupata wapo
 
Wewe uwezo wako wa kuelewa ni mdogo sana lakini kwakuwa nimeamua nikufundishe acha tu niendelee kufundisha

Hilo andiko la Luka nilikuonyesha Baada ya wewe kusema binadamu hatuzaliwi na dini Yani ukipinga andiko la Quran kuwa watu wote wanazaliwa wakiwa waislam

Hilo andiko la Luka linasema Yohana alijazwa roho mtakatifu tokea akiwa tumboni Kwa mama yake kwahiyo Yahona anazaliwa akiwa na roho mtakatifu

Nikakwambia hili andiko linathibisha kuwa Yohana amezaliwa akiwa na dini maana haiwezekani Yohana azaliwe huku roho mtakatifu akiwa ndani yake alafu awe mpagani

Swali likabaki Yohana amezaliwa akiwa na dini JE hiyo dini ni ipi ?

Mimi nikakwambia hiyo Dini ni uislam ila wewe kama unabisha weka ushahidi wako kuwa Yohana alikuwa mkristo kama wewe
Huo ushahidi haujaweka na sio wewe tu wakusanyike wachungaji wote Duniani hawawezi kuwa na ushahidi kuwa dini ya Yohana ni ukristo

Labda utajiuliza kwanini nimetoa andiko la Luka?

Nimetoa hilo andiko Kwa sababu lipo katika kitabu ambacho wewe unakiamini na hiyo story hapo ya Zakaria na mwanawe Yohana haijachakachuliwa sana inafanana na iliyopo ndani ya Quran
Ndani ya Quran Yohana anaitwa Yahaya

Quran 3:38
Pale pale Zakariya akamwomba Mola wake Mlezi, akasema: Mola wangu Mlezi! Nipe kutoka kwako uzao mwema. Wewe ndiye unaye sikia maombi.
Quran 3:39
Alipo kuwa kasimama chumbani akisali, Malaika kamnadia: Hakika Mwenyezi Mungu anakubashiria Yahya, ataye kuwa mwenye kusadikisha neno litokalo kwa Mwenyezi Mungu, na ni bwana na mt'awa na Nabii kwa watu wema.

Nabii Yohana pamoja na baba yake nabii Zakaria wote walikuwa waislam

Kama wewe unao ushahidi kuwa walikuwa wagalatia kama wewe weka hapa tuuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…