Huwezi kunikimbiza au hata mada yako hakuna ya kunikimbiza.Hili nilishakujibu na hapa nakujibu tena. Uje tena usema hukujibiwa.Sijaona swali lolote ,mada mlijibiwa mkakimbia
Kila siku nawauliza, kwanini Quran ziliharibiwa ,ikakusanywa moja ,nyingine zilikuwa na shida gani?
Je matini au Manuscript ya Uthman ipo wapi
Bado unajichanganya sana na unazalisha maswali zaidiHuwezi kunikimbiza au hata mada yako hakuna ya kunikimbiza.Hili nilishakujibu na hapa nakujibu tena. Uje tena usema hukujibiwa.
Hapa nakujibu kwa swali, ziliharibiwa na kina nani na ilikuwa lini ?
Kukusanywa kwa Qur'an nilikupa sababu Ile siku na sio sababu ya kuharibiwa kama unavyo sema wewe. Huwa najiuliza habari za Waislamu huwa unazisoma wapi ? Huenda unazisoma kwa wale ambao sio Waislamu au kwa maadui Waislamu.
Ile siku nilikujibu ndio maana ukakimbia, nilikwambia sijui matini Iko wapi. Lakini alichokifanya swahaba Uthman ni kuandika nakala nyingine tano na kuzitawanya katika Ile mini mitano, huku akiwatuma na walio ihifadhi Qur'an Ile, ili wakawafundishe watu husika.
Lakini kwetu sisi hatuna haja tena na Matini hiyo, sababu kuwepo kwake na kutokuwepo kwake ni sawa, tangu Mtume yuko hai Qur'an ilikuwa inahifadhiwa vifuani mwa watu. Ndio maana ukisoma habari za viraa utaona chain inafika mpaka kwa Mtume, na kwa njia nyingi.
Sasa usije tena ukasema hujajibiwa swali au maswali yako. Wewe ndio hujibu maswali ninayo kuuliza.
Kula chuma hicho makerubi wa MwamposyaMtu hazaliwi na dini acha utoto.
Mtoto anapozaliwa anakuwa empty hana dini, kabila wala utaifa. Baada ya kuzaliwa anarithi vitu vyote kutoka kwa walezi wake.
Dini dhaifu ya kiislam ndo inafundisha eti mtu anazaliwa akiwa muislam. Hili ni fundisho la kijinga mzee.
Mwamposya ndo nani?Kula chuma hicho makerubi wa Mwamposya
Tofautisha kati ya Kanisa Katoliki na Kanisa katoliki la Roma.Hongera Kwa kutambua kuwa kanisa katoliki ni dini ya kipagani
Ila labda Kuna kitu ambacho bado haujakijua ni kuwa
Kanisa katoliki ndio baba wa madhehebu ya makanisa yote Duniani
Martin Luther alitoka katika kanisa katoliki akaanzisha kanisa la Lutheran church
Uingereza walijitenga kutoka kanisa katoliki wakanzisha Anglican church
Helena white alijitenga kutoka kanisa katoliki akaanzisha kanisa la sabato
Kama sio kuwepo Kwa kanisa katoliki na hayo makanisa mengine yote yasinge kuwepo
Hivyo basi ukristo wote ni mpagani
Ila hayo mengine sijui uislam na kanisa katoliki hapo bado Wazungu wanakudanganyeni Ili muendelee kuwa mizukule Yao
Mudy mwenyewe alizaliwa Pagan, Baba zake Pagan wanaabudu sanamu.Inamaana ninaposema mtu anazaliwa akiwa mtupu kabisa hana chochote unahitaji ushahidi?
Uislam huu wa Muhammad ndo umeleta fundisho la kwamba mtu anazaliwa akiwa muislam.
Unaweza kunionyesha kwenye vitabu vya Mungu vya kabla ya mudi ambapo panaonyesha mtu anazaliwa akiwa muislam?
Alikusanya kwa ajili ya vizazi vijavyo, na hii sababu ya viongozi wote. Sababu wasomaji walikuwa wanakufa.. Kama Qur’an ilikuwa vifuani tu, kwa nini Abu Bakr alikusanya maandishi baada ya vita vya Yamama?
2. Kama Qur’an haijawahi haririwa, kwa nini Uthman aliamuru kuandikwa upya na kufuta tofauti za usomaji?
Habari ya kuzichoma hizo nakala umezitoa wapi ? Na ni nakala gani zilizo chomwa ?3. Kama nakala zote zilikuwa sawa, kwa nini Uthman azichome?
Bila shaka kabisa naweza.4. Je, unaweza kutaja msururu wa usomaji (chain of qiraa) unaofika kwa Mtume moja kwa moja bila kupitia kwa sahaba aliyeandika au kusoma?
5. Kama matini ya Uthman haina umuhimu, kwa nini leo Waislamu wote duniani wanasoma Qur’an hiyo hiyo ya Uthman?
Kweli kabisaaaaa, halafu haya mafuasi ya mudi yanajifanya hayajui hilo.Mudy mwenyewe alizaliwa Pagan, Baba zake Pagan wanaabudu sanamu.
Muhammad mwenyewe alizaliwa akiwa mpagani yeye na familia yake yooote na mababu zake.....mkuu dini tunazikuta Duniani hatuzaliwi nazo.Luka 1:15
Kwa sababu atakuwa mkuu mbele za Bwana; hatakunywa divai wala kileo; naye atajazwa Roho Mtakatifu hata tangu tumboni mwa mamaye.
Sasa atajazwa roho mtakatifu tangu akiwa tumboni Kwa mama yake Ili iweje kama sio kuzaliwa na dini?
Yani anazaliwa akiwa tayari ameshawekewa muongozo wa kuufata na huo muongozo ndio dini yenyewe
Kijana huu uzushi wenu imebaki kwenu nyie maamuma ,ndio maana ule mjadala wa sheikh Muhammad Hijab na Qadhi ,walisema kwa nyie maamuma inatakiwa mdanganywe kuwa Quran haijawahi kubadilikaAlikusanya kwa ajili ya vizazi vijavyo, na hii sababu ya viongozi wote. Sababu wasomaji walikuwa wanakufa.
Si kweli habari hizi unazipata wapi ?
Aliamuru kuandikwa baada ya kupewa ushauri na swahaba Hudhaifa bin Al Yamani, kwa kuchelea vifo vya wali hifadhi Qur'an. Na UISLAMU ulikuwa umetangaa mini mingi na mikubwa kwahiyo ikaandikwa kwa ajili ya kutawanya.
Kingine habari za kufutwa ndio nazisikia kwako ndio maana najiuliza hizi habari huwa unazitoa wapi ?
Uthman hakufua bali alizokisanya lahaja zote sehemu Moja, ili isije huko mbele ikaleta shida kwa Waislamu, endapo wakisikia huyu anasoma hivi na yule anasoma vile. Ndio maana vikawepo viraa kumi.
Kingine, nakuomba ujibu maswali ninayo kuuliza, sio unauliza tu maswali na hujibu unayo ulizwa.
Habari ya kuzichoma hizo nakala umezitoa wapi ? Na ni nakala gani zilizo chomwa ?
Bila shaka kabisa naweza.
Unaposema kwanza Qur'an ya Uthman unaelewa maana yake ?
Hatusemi Haina umuhimu, bali hiyo ndiyo iliyo tangaa na ndio inayo tumika, japokuwa kipindi inakusanywa haimaanishi maswahaba hawakuwepo Wala hawakuwa na wanafunzi, la hasha Ile iliandikwa kwa ajili ya watu wengine wa mini tofauti.
Ina make sense , uislamu kama dini ,ni dini mpya,mimi nimeisoma hii comment kama ilivo mkuu -- haikumake sense, wewe ni mtaalamu sana emu iangalie ina make sense?
mtalaamu ile comment stand-alone haiwezi make senseIna make sense , uislamu kama dini ,ni dini mpya,
Quran hii ya hafs imekusanywa juzi tu hapo misri mwaka 1924
,haya nakaribisha maswali sasa
But mimi naona waislamu wengi ndo misukule ya waarabu,Hongera Kwa kutambua kuwa kanisa katoliki ni dini ya kipagani
Ila labda Kuna kitu ambacho bado haujakijua ni kuwa
Kanisa katoliki ndio baba wa madhehebu ya makanisa yote Duniani
Martin Luther alitoka katika kanisa katoliki akaanzisha kanisa la Lutheran church
Uingereza walijitenga kutoka kanisa katoliki wakanzisha Anglican church
Helena white alijitenga kutoka kanisa katoliki akaanzisha kanisa la sabato
Kama sio kuwepo Kwa kanisa katoliki na hayo makanisa mengine yote yasinge kuwepo
Hivyo basi ukristo wote ni mpagani
Ila hayo mengine sijui uislam na kanisa katoliki hapo bado Wazungu wanakudanganyeni Ili muendelee kuwa mizukule Yao
Alichokiandika huyo ni sahihi kabisaUnao ushahidi wa haya uliyoandika?
Au umeyatoa kichwani kwako?
Dini sahihi inafundisha chuki? au mungu wenu ndo alisema mchukie watu wengineNikama vile unatuambia kuwa Uislamu umeanzishwa na katoliki ili upingane na Uyahudi,Ajabu ni kwamba Aya nyingi zinapinga ukristo na kuwaita wakristo ni watu walio “potea”
Muhammad ni mtume wa mwisho ameletwa kukamilisha Uislamu na ndio dini sahihi,Uislamu ni mafundisho ya kumpwekesha Allah (sw) na kamwe Allah hajazaa wala hajazaliwa kama mnavyo amini nyie makafiri
sawa mkuuKwa wasomi wa historia wanaelewa,ndio maana nimeweka sawa kama hukuelewa
Naendelea kusisitiza ili mjadala uwe na maana. Unatakiwa ujibu maswali ninayo kuuliza.Kijana huu uzushi wenu imebaki kwenu nyie maamuma ,ndio maana ule mjadala wa sheikh Muhammad Hijab na Qadhi ,walisema kwa nyie maamuma inatakiwa mdanganywe kuwa Quran haijawahi kubadilika
Hakuna swali nililo ruka. Ili uonyeshe kama nimeruka swali, usibadilshe swali. Bali onyesha wapi nimeruka.Maswali yangu unaruka ruka tu ,NARUDIA Tena
1. Ikiwa Qur'an haijawahi kubadilika, unawezaje kuelezea tofauti za lahaja (qira'at) zilizokuwepo kabla ya kuunganisha msahafu mmoja katika utawala wa Uthman bin Affan?
(Mfano: Kisomo cha Ibn Mas'ud, Ubay bin Ka'b na wengine kilikuwa tofauti katika baadhi ya maneno – je, hizi tofauti zilifutwa vipi?)