Uislamu ni project ya wakatoliki

Uislamu ni project ya wakatoliki

Wewe uwezo wako wa kuelewa ni mdogo sana lakini kwakuwa nimeamua nikufundishe acha tu niendelee kufundisha

Hilo andiko la Luka nilikuonyesha Baada ya wewe kusema binadamu hatuzaliwi na dini Yani ukipinga andiko la Quran kuwa watu wote wanazaliwa wakiwa waislam

Hilo andiko la Luka linasema Yohana alijazwa roho mtakatifu tokea akiwa tumboni Kwa mama yake kwahiyo Yahona anazaliwa akiwa na roho mtakatifu

Nikakwambia hili andiko linathibisha kuwa Yohana amezaliwa akiwa na dini maana haiwezekani Yohana azaliwe huku roho mtakatifu akiwa ndani yake alafu awe mpagani

Swali likabaki Yohana amezaliwa akiwa na dini JE hiyo dini ni ipi ?

Mimi nikakwambia hiyo Dini ni uislam ila wewe kama unabisha weka ushahidi wako kuwa Yohana alikuwa mkristo kama wewe
Huo ushahidi haujaweka na sio wewe tu wakusanyike wachungaji wote Duniani hawawezi kuwa na ushahidi kuwa dini ya Yohana ni ukristo

Labda utajiuliza kwanini nimetoa andiko la Luka?

Nimetoa hilo andiko Kwa sababu lipo katika kitabu ambacho wewe unakiamini na hiyo story hapo ya Zakaria na mwanawe Yohana haijachakachuliwa sana inafanana na iliyopo ndani ya Quran
Ndani ya Quran Yohana anaitwa Yahaya

Quran 3:38
Pale pale Zakariya akamwomba Mola wake Mlezi, akasema: Mola wangu Mlezi! Nipe kutoka kwako uzao mwema. Wewe ndiye unaye sikia maombi.
Quran 3:39
Alipo kuwa kasimama chumbani akisali, Malaika kamnadia: Hakika Mwenyezi Mungu anakubashiria Yahya, ataye kuwa mwenye kusadikisha neno litokalo kwa Mwenyezi Mungu, na ni bwana na mt'awa na Nabii kwa watu wema.

Nabii Yohana pamoja na baba yake nabii Zakaria wote walikuwa waislam

Kama wewe unao ushahidi kuwa walikuwa wagalatia kama wewe weka hapa tuuone
Unaposema Yohana kazaliwa na dini, unamaanisha roho mtakatifu ndo dini?

Kitu ambacho unaharibu ni kuunganisha Aya za Biblia takatifu na Quran. Achana na hiyo kitu.

Swali langu ni kwamba roho mtakatifu ndo dini?

Waislam mnasema watu wote wanazaliwa na dini, hilo fundisho halipo kwenye Biblia. Unajaribu kuonyesha hiyo aya inayomuhusu Yohana kujazwa roho mtakatifu ikuunge mkono kwenye imani yako ya watu kuzaliwa na dini. Mkuu hebu acha Imani za ajabu, mtu anazaliwaje na dini? Roho mtakatifu sio dini. Kama ni dini hebu nionyeshe ambapo kwenye Biblia panaonyesha kila mmoja anazaliwa akiwa amejazwa roho mtakatifu....

Ifike hatua usilazimishe Imani yako ithibitishwe na Aya za Biblia. Ikiwa dini yako inafundisha mnazaliwa mkiwa waislam usitake iwe lazima na sisi wakristo tuamini hilo.
 
Roho mtakatifu ndio alikuwa link kati ya Mungu na manabii wake

Kazi ya roho mtakatifu ni kuchukua mafundisho kutoka Kwa Mungu kuyaleta Kwa manabii binadamu

Manabii wamefundishwa dini na roho mtakatifu

Kuhusu kutumia Bibilia
Ndani ya Bibilia Kuna Maneno ya watu na Maneno ya Mungu

Muislam hana mipaka katika kutumia Maneno ya Mungu kupitia manabii wote wa Mungu

Na nilisha kukuambia manabii wote wa Mungu walikuwa waislam na ndio maana tunatumia maandiko Yao bila ya shida

Kwa mfano Quran inasema Ibrahim, Isaka na Yakobo hao wote walikuwa waislam

Ukipata andiko katika Bibilia kuwa dini ya Ibrahim, Isaka na Yakobo ni ukristo au uyahudi Mimi nakuwa mgalatia kama wewe Leo Leo

Hata wakusanyike wachungaji na ma Padre Duniani mzima hawawezi Kutoa hilo andiko na huo ndio uthibitisho kuwa wewe na wagalatia wenzanko mmepotea

Ndio maana Mimi nakuambia
Ibrahim
Isaka
Yakobo
Zakaria
Yohana

Hao wote walikuwa waislam

Wewe unapinga haya basi Sema walikuwa na dini gani hauna jibu Wala haujui pa kulipata hilo jibu

Wazungu wamekupotezeni wewe subiri siku yako ya kufa ifike uende Jahanamu
 
Umeamua kunipeleka jehanamu kabisa😅

Sawa, we nenda peponi.

Before Muhammad hakuna uislam, don't fool yourself...

Uislam umeanza juzi tu hapa miaka 1400 iliyopita, hakuna kitabu chochote kinachozungumza kuhusu uislam ambacho kimekuwepo kabla ya mudi.
 
Tajaja Kwa ushahidi wa maandiko dini ya

Ibrahim
Isaka
Yakobo

Hata kama unaamini walikuwa wapagani weka huo ushahidi
 
Mzeebaba hebu nionyeshe vitabu vinavyowataja hao watu kwamba ni waislam ukiachana na Quran hii iliyotungwa miaka ya hivi karibuni.

Ukitumia Quran kuVerify uislam wa hao watu ni sawa saahii itokee dini mpya Kisha iwataje mitume wote wa kwenye Biblia ni wa dini hiyo Kisha watuulize wakristo, wapi Biblia inawataja hao mitume kuwa ni wakristo?

Ni wapi zaburi, torati na injili hao watu wanatajwa kwamba ni waislam?
 
Acha porojo

Tajaja Kwa ushahidi wa maandiko dini ya

Ibrahim
Isaka
Yakobo

Hata kama unaamini walikuwa wapagani weka huo ushahidi

Kama Bibilia imekuwa bubu katika hili Sema acha kuruka ruka
 
Biblia imekuwa bubu, ok and fine..... nionyeshe vitabu before mashairi ya mudi kwamba hao watu walitambulika kwamba ni waislam.
 
Lazima Bibilia iwe bubu katika hili Kwa sababu waliyoandika Bibilia lengo lao lilikuwa kuwapoteza vilaza kama wewe msioweza kutumia akili zenu Ili kujua ukweli

Kitabu Cha Luka kimeandikwa na mganga wa kienyeji tena ni mpagani

Kitabu Cha Mathayo na Matendo ya mitume kimeandikwa na Paulo fisadi wa kidini aliyetumwa na Waroma Ili awapoteze watu 666

Aliyeandika kitabu Cha Yohana Hadi Leo hi ajulikani ni nani hicho kitabu kiliokotwa Egypt miaka 30 Baada ya Yesu kupaa

We may never know for certain who wrote the Gospel of John, any more than we can know who wrote the books of Matthew, Mark and Luke. We do know that John is a gospel apart, however. Early Matthew, Mark and Luke are so alike in their telling that they are called the Synoptic Gospels,

Kama wewe unamjua aliyeandika kitabu Cha Yohana mtaje Ili Dunia ikupe zawadi maana Hadi Leo hii bado anatafutwa

Injili pekee iliyopo Duniani Kwa Sasa ambayo imeandikwa na mkono wa mwanafunzi wa Yesu ni Injili ya Barinaba na imefichwa na wajanja wenu Ili nyinyi wagalatia msiisome muendelee kuwa misukule ya kikristo

Yani nyinyi wagalatia mtaenda Jahanamu Kwa ujinga wenu
 
Naona umekimbia swali umeanza porojo, narudia tena. Nionyeshe kwenye torati au zaburi au injili ambapo yakobo, isaka na Ibrahim wanatajwa kuwa ni waislam. Tafadhali usiruke hapo, nataka jibu.

Swali lingine ambalo linakuja baada ya maelezo yako haya. Injili yenu ya Issa aliandika nani maana naona umewakosoa waandishi wa injili ya kwenye Biblia. Halafu niambie kama unakubali injili iliyoandikwa na Barnaba tuijadili pamoja hapa kama hujaikataa au inawezekana hata hujawahi kuiona.
 
Nimesha kujibu ila Kwa sababu uwelewa wako mdogo hauelewi Hadi ufafanuliwe sana sana ndio uwelewe

Nimekuambia hizi Injili zenu mnazosoma Wazungu wamezichakachua Kwa makusudi Ili waanzishe dini Yao ya ukristo

Yesu kitabu chake kinaitwa Injili na sio Injili kama iliyoandikwa la Mathayo au Luka

Na nimekuambia mtu aliyeandika Injili ya Yohana Hadi Leo hii hajulikani

Mnasoma vitabu ambavyo watu wamezichakachua Kwa makusudi

Luka 1:1
Kwa kuwa watu wengi wametia mikono kutunga kwa taratibu habari za mambo yale yaliyotimizwa katikati yetu,
Luka 1:2
kama walivyotuhadithia wale waliokuwa mashahidi wenye kuyaona, na watumishi wa lile neno tokea mwanzo,
Luka 1:3
nimeona vema mimi nami, kwa kuwa nimejitafutia usahihi wa mambo hayo yote tangu mwanzo, kukuandikia kwa taratibu, Theofilo mtukufu

Na nimekuambia Injili pekee iliyopo Duniani Kwa Sasa ambayo imeandikwa na mkono wa mwanafunzi wa Yesu ni Injili ya Barinaba na imefichwa Ili msiisome

Hivyo basi Injili ya Yesu Kwa Sasa haipo

Musa alipewa kitabu kinaitwa Taurati na sio Kumbukumbu la Taurati hivyo basi Taurati haipo na hayo Baki bado pia yamechakachiliwa

Yeremia 8:8
Mwasemaje, Sisi tuna akili, na torati ya BWANA tunayo pamoja nasi? Lakini, tazama, kalamu yenye uongo ya waandishi imeifanya kuwa uongo.

Hilo jibu unalolitaka unatakiwa ulete hapa

Taurati original
Zaburi original
Injili original
 
Mi najadili kistaarabu sana na wewe wala sikudharau kwa hiyo na wewe uwe na busara. Kama huwezi kujadili kistaarabu Kaa kimya.

Sasa ndugu swala la kuleta Torati original, zaburi original na injili original ni langu au lako? Mi naviamini hivi vitabu vilivyopo ndo original. Sasa ikiwa we unaona sio original ndo ulete hivo unaviona original.

Swali lingine ambalo hujajibu ni kwamba, unasema injili ya Yesu haipo, vipi ya Issa ipo au nayo haipo? Kama ipo nionyeshe na aliandika nani? Au ndo hiyo unasema aliandika Barnaba? Hiyo haijafichwa ipo mitandaoni. Kama unakubali tuijadili pamoja hapa.

Swali lingine ambalo umelikwepa Kisha umeanza porojo za kuona vitabu vyetu vimechakachuliwa ni kwamba, wapi Yakobo, Isaka na Ibrahim wanatajwa kwamba ni waislam kwenye vitabu vya kabla ya mashairi ya mudi? Sasa kwa sababu nyie ndo mnavyo hivo ambavyo unasema ni original nahisi ipo sehemu ambapo wanatajwa kwamba ni waislam. Niletee.

Ukienda nje na maswali haya nitakuwa nimeshindwa kujadili na wewe maana inaonekana hatutafika mwisho.
 
Wewe ukisema Injili na Taurati unazosoma ni original utakuwa unapingana na Bibilia ambalo lenyewe linasema hivyo vitabu sio original

INJILI IMECHAKACHULIWA
Luka 1:1
Kwa kuwa watu wengi wametia mikono kutunga kwa taratibu habari za mambo yale yaliyotimizwa katikati yetu,
Luka 1:2
kama walivyotuhadithia wale waliokuwa mashahidi wenye kuyaona, na watumishi wa lile neno tokea mwanzo,
Luka 1:3
nimeona vema mimi nami, kwa kuwa nimejitafutia usahihi wa mambo hayo yote tangu mwanzo, kukuandikia kwa taratibu, Theofilo mtukufu,

TAURATI IMECHAKACHULIWA
Yeremia 8:8
Mwasemaje, Sisi tuna akili, na torati ya BWANA tunayo pamoja nasi? Lakini, tazama, kalamu yenye uongo ya waandishi imeifanya kuwa uongo.

Hivyo basi Kwa mujibu wa Bibilia Injili original haipo na Taurati original pia haipo

Na Mimi sifuati Mawazo yako Mimi nangalia maandiko ya Kitabu ambacho Kila J2 unakiweka kwapani na kuenda nacho kanisani

Isa ndio Yesu na kitabu chake alichopewa na Mungu kinaitwa Injili ila Kwa Sasa hicho kitabu hakipo yapo mabaki tu yaliyochakachuliwa ya hicho kitabu

Ibrahim Isaka na Yakobo ni waislam na wewe imeshindwa kuthibitisha kuwa walikuwa wakristo au Wayahudi au wapagani

Kwa kuwa hivyo vitabu watu wamevichakachua kitu pekee kitakacho thibitisha kupitia hivyo vitabu kuwa wao walikuwa waislam ni
Walichhokuwa wanakiamini katika Imani Yao na Matendo waliyokuwa wakifanya katika ibada zao

Kama upo tayari tuangalie Ibrahim, Isaka na Yakobo waliamini Miungu mingapi na walifafanya vipi ibada zao tuingie ndani ya Bibilia tuangalie

Waislam wanaamini na kumuabudu Mungu mmoja tu

Waislam wakifanya ibada za kumuabudu Mungu wao lazima wasujudu

Waislam wakifanya ibada Huwa wanaelekea sehemu maalumu walipo ambiwa na Mungu wao waelekee
 
Aliyekwambia Yesu ndo Isa nani?
Yesu alikufa msalabani Isa hajafa, unawezaje kusema ni mtu mmoja hapo?

haya twende polepole, kwa akili yako uliyonayo unaamini Mungu atakuwa mpumbavu kiasi hicho hadi aruhusu vitabu vyake vyote vitatu vichakachukiwe? Basi huyo Mungu hafai kuitwa Mungu maana hana nguvu hata ya kulinda vitabu vyake.

Ok, acha niendane na vile unavyoamini. Wakati wakristo wanachakachua vitabu, waislam hawakuwepo wakahifadhi hata vichache?
 
Narudia tena kama wewe unakataa kuwa hivyo vitabu haijachakachuliwa basi wewe unapingana na Bibilia sio Mimi

Mungu hawezi kuwa mpumbavu ila wale waliochakachua ndio wapumbavu na wataadhibiwa Kwa hilo na wale wanaofuata maandiko yaliyochakachuliwa pia ni wapumbavu na wataadhibiwa Kwa hilo Kwa sababu ndio maana Mungu aliwapa akili Ili waweze kutambua vitu kama hivyo

Lakini bado Mungu hajawacha binadamu wapotee Baada ya kuchachuliwa hivyo vitabu akamleta mtume Muhammad na kitabu Cha Quran na kazi Moja wapo ya Quran ni kusawazisha Yale yaliyo chakachuliwa na kuyafichua Yale yaliyo fichwa na Mungu ameahidi hii Quran hakuna binadamu yoyote atakayeweza kuchakachua Hadi Sasa Ina miaka 1400 ipo kama ilivyo
Na ndio maana Leo hii Muislam akisoma maandiko ya Bibilia atakuambia hili ni la kweli na hili sio kweli

Waislam waliohifadhi walikuwepo na hata wayahudi Hadi Leo hii misingi ya Taurati na Zaburi na Injili wamehifadhi na ndio maana wayahudi wanaamini Mungu ni mmoja tu Kwa sababu Taurati , Zaburi na Injili zilifundisha hivyo
hayo ya sijui Mungu baba Mungu mwana na Mungu roho mtakatifu ndio mambo ya hao walichakachua
Na ndio maana wayahudi na Imani ya kikristo ni kama bangi na polisi wanajua kuwa hilo ni kanyaboya la Wazungu

Wakristo
Dini ya ukristo imeanzishwa na wapagani na kazi Yao kubwa ya kwanza ilikuwa kuchakachua Injili na wakaichakachua na kuseti mambo Yao

Taurati, Zaburi na Injili hivyo vitabu vilikuwa ni special Kwa ajili ya Wana wa Israel na sio Kwa ulimwengu mzima Yani Sheri zilizopo ndani ya Taurati zilikuwa zinawahusu wa Israel peke Yao
Quran ndio ndio ilikuja kuvunja hili na kuwataka wa Israel na watu wote Duniani waifuate Quran maana utawala wa Taurati umefika mwisho
 
Taurati, Zaburi na Injili hivyo vitabu vilikuwa ni special Kwa ajili ya Wana wa Israel na sio Kwa ulimwengu mzima
WAkati hivi vitabu vinaletwa kwa ajili ya waisrael, watu ambao sio waisrael waliletewa vitabu gani?
 
Walipelekewa mitume mfano nabii Luti hakupewa kitabu, nabii Shuaibu pia hakupewa kitabu

Na Kuna jamii zingine hazikupelekewa mtume Wala vitabu katika Quran Mungu anasema hajawahi kuiadhibu jamii yoyote ambayo hajaipelekea mtume

Kwahiyo zile jamii ambazo hazikupelekewa mtume Wala vitabu hazitahikumiwa Kwa kutomjua Mungu katika kipindi Cha maisha Yao ila ofa Kwa Sasa haipo tena
 
Imani yako ya ajabu kweli kweli. Yani wengine waishi maisha ya ofa katika nyakati hizo hizo ambazo wengine wanaishi kwenye maisha ya sheria...sawa sio kesi. Kwa hiyo umesema torati, zaburi na injili zote ni kwa ajili ya waisrael.....ina maana kuanzia kipindi cha Musa hadi Yesu vitabu vilikuwa kwa ajili ya waisrael tu?

Maelezo yako yananifanya niwe na maswali meeeengi sana. Inawezekana saahii upo busy na majukumu ya kimaisha, time ipi upo free twende haraka hadi tuelewane..
 
Lazima ushangae na uwe na maswali mengi Kwa sababu umedanganywa sana

Any way
wakati watu wa nabii Shuaibu wanaangamizwa Kwa kutokubali uwepo wa Mungu na Sheria zake huku kwetu kipindi hicho hicho Babu zetu walikuwa wanaabudu mizumu , milima na miti mikubwa lakini hawakuangamizwa Kwa sababu walikuwa hawajaletewa ufunuo

Taurati ni kitabu Kwa ajili ya Wana wa Israel na manabii wote Baada ya Musa waliotoka katika uzao wa Yakobo hawakuwa na Sheria nyingine zaidi ya Sheria za Taurati
Hata Yesu aliwambia Wana wa Israel kuwa
Msidhani Mimi nitawashitaki Kwa baba yupo atakayewashitaki nae ni Musa akiamanisha Musa ndio aliyopewa Sheria na hukumu

Kuna manabii waliyotokana na Uzao wa Isaka na Yakobo na ndio hao wenye Taurati

Kuna manabii wengine Wala hawakutokana na Uzao wa Yakobo hawa hawakuwa na kitabu Cha Sheria na hukumu ila Sheria na hukumu zilikuwepo ktk mafundisho Yao kama akina Nuhu. Luti Ibrahim, Enoko na Shuaibu

Na nabii wa mwisho ndio ametoka ktk Uzao wa Ishmael na kitabu chake Cha Quran kina amri Sheria na hukumu kama Taurati

Na ndio maana majini first time wanaisikia Quran walienda kuwahadithia wenzao kuwa wamesikia kitabu Baada ya Musa

Kwa sababu Sheria na hukumu walizo zisikia hawakuwa kuzisikia ktk kitabu chochote zaidi ya Taurati
 
Lazima ushangae na uwe na maswali mengi Kwa sababu umedanganywa sana

Any way
wakati watu wa nabii Shuaibu wanaangamizwa Kwa kutokubali uwepo wa Mungu na Sheria zake huku kwetu kipindi hicho hicho Babu zetu walikuwa wanaabudu mizumu , milima na miti mikubwa lakini hawakuangamizwa Kwa sababu walikuwa hawajaletewa ufunuo

Taurati ni kitabu Kwa ajili ya Wana wa Israel na manabii wote Baada ya Musa waliotoka katika uzao wa Yakobo hawakuwa na Sheria nyingine zaidi ya Sheria za Taurati
Hata Yesu aliwambia Wana wa Israel kuwa
Msidhani Mimi nitawashitaki Kwa baba yupo atakayewashitaki nae ni Musa akiamanisha Musa ndio aliyopewa Sheria na hukumu

Kuna manabii waliyotokana na Uzao wa Isaka na Yakobo na ndio hao wenye Taurati

Kuna manabii wengine Wala hawakutokana na Uzao wa Yakobo hawa hawakuwa na kitabu Cha Sheria na hukumu ila Sheria na hukumu zilikuwepo ktk mafundisho Yao kama akina Nuhu. Luti Ibrahim, Enoko na Shuaibu

Na nabii wa mwisho ndio ametoka ktk Uzao wa Ishmael
Mkuu kama vitabu vyote ni kwa ajili ya waisrael, wengine wote ulimwenguni hawataingia kwenye hukumu kwa sababu hawakupewa kitabu? Acha kwanza kipindi hiki cha mudi, nazungumzia kipindi cha Yesu kurudi nyumba.
 
Taurati ni Sheria na hukumu Kwa ajili ya Wana wa Israel
Quran 17:2
Na tukampa Musa Kitabu, na tukakifanya uwongofu kwa Wana wa Israili. (Tukawambia): Msiwe na mtegemewa ila Mimi!

Na sio Taurati tu manabii wote waliotokana na kizazi Cha Isaka na Yakobo Hadi nabii wa mwisho ambaye ni Yesu walikuwa ni manabii Kwa ajili ya Wana wa Israel tu

Mungu anamfunulia Nabii Mika Ujio wa Yesu
Mika 4:2
Nawe Bethlehemu, katika nchi ya Yuda, Hu mdogo kamwe katika majumbe wa Yuda; Kwa kuwa kwako atatoka mtawala Atakayewachunga watu wangu Israeli.

Yesu anathibisha kuwa utabiri wa nabii Mika upo sahihi na umetimia

Mathayo 15:24
Akajibu, akasema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.

Quran ikaja kugongelea msumari kuwa Yesu alikuwa mtume Kwa ajili ya Wana wa Israel

Quran 61:6
Na Isa bin Mariamu alipo sema: Enyi Wana wa Israili! Hakika mimi ni Mtume wa Mwenyezi Mungu kwenu, ninaye thibitisha yaliyo kuwa kabla yangu katika Taurati,

Manabii 3 hao Yani Mika , Yesu mwenyewe na Muhammad wote kauli zao zinafana kuwa Yesu ni mtume Kwa ajili ya Wana wa Israel

Manabii walioandikwa ndani ya Bibilia ni manabii waliyotoka katika kizazi Cha Ibrahim, Isaka na Yakobo lakini manabii walikuwa wengi katika miji mbalimbali ambao humo katika Bibilia hawapo Historia inasema manabii walikuwa zaidi ya laki 2

Na Ile miji ambayo haikupelekewa nabii kabisa hawakuadhibiwa na Wala hawataenda motoni Kwa sababu sio kosa lao
Kama ilivyo Kwa waliokufa wakiwa watoto au waliozaliwa machizi wataenda peponi haijalishi walikuwa katika uislam au ukristo au upagani

Pia Miungu alishasema hatawaadhibu watu ambao hakuwapelekea mtume

Quran 17:15
Anaye ongoka basi anaongoka kwa ajili ya nafsi yake. Na anaye potea basi anapotea kwa khasara yake mwenyewe. Wala habebi mbebaji mzigo wa mwengine. Wala Sisi hatuadhibu mpaka tumpeleke Mtume.
 
Back
Top Bottom