2. Je, unafahamu kuwa Uthman aliamuru kuchomwa kwa nakala zote nyingine za Qur’an ili kubaki na msahafu mmoja pekee? Unadhani ni kwa nini alifanya hivyo kama Qur’an zote zilikuwa sawa?
Maswali yako mepesi sana. Labda nikuulize swali, je ni wapi katika historia imeelezwa ya kuwa kitendo hicho kilipingwa na maswahaba ?
Jibu ni rahisi sana, ili watu wawe na marejeo Moja, na isiletw mkanganyiko kwa wengine. Ilikuwa sawa ndio maana pakawa hakuna haja ya mtu kuwa na nakala yakez zaidi ya Ile Moja iliyo andikwa kwa makubaliani na kwa amri ya Mtawala.
Lakini ziada nyingine ushawahi kujiuliza kwanini kipindi Mtume yuko hai Qur'an ilikuwa haijakusanywa sehemu Moja ?