Hammer11
JF-Expert Member
- Feb 18, 2024
- 2,029
- 2,657
Kila mtu anajazwa roho akiwa tumboniWe mzee tunapojadili achana na maneno haya, "uwezo wako wa kufikiri ni mdogo"
We unajionaje?
Ikiwa unaamini mtu anazaliwa na dini, hapo tuseme nini kuhusu uwezo huo wa kufikiri?
"Atajazwa roho mtakatifu hata tangu tumboni mwa mamaye" hiyo ni dini? Aaaaaaaagh! Hiyo ni uislam? Hebu eleza vizuri ueleweke.
Hata hivyo anavyozaliwa huyo haimaniishi watu wote wanazaliwa hivyo...
Ikiwa unajiona una akili sana funguka uelewa wako kwenye hiyo Aya acha kurukaruka.