2. Je, unafahamu kuwa Uthman aliamuru kuchomwa kwa nakala zote nyingine za Qur’an ili kubaki na msahafu mmoja pekee? Unadhani ni kwa nini alifanya hivyo kama Qur’an zote zilikuwa sawa?
Wakristo mna ujinga mwingi sana, yaani vitu hamvisomi Wala kuvifatilia. Ushahidi upo ndio maana Kuna hiyo fani Qiraat.3. Je, una ushahidi kwamba kila aya ya Qur’an ya sasa ilikuwa katika nakala za mwanzo kabisa zilizokusanywa katika zama za Abu Bakr? Au kuna aya ambazo zilijulikana kwa baadhi tu ya maswahaba?
Sijakuomba porojo, nimekuuliza kwanini zilichomwa motoMaswali yako mepesi sana. Labda nikuulize swali, je ni wapi katika historia imeelezwa ya kuwa kitendo hicho kilipingwa na maswahaba ?
Jibu ni rahisi sana, ili watu wawe na marejeo Moja, na isiletw mkanganyiko kwa wengine. Ilikuwa sawa ndio maana pakawa hakuna haja ya mtu kuwa na nakala yakez zaidi ya Ile Moja iliyo andikwa kwa makubaliani na kwa amri ya Mtawala.
Lakini ziada nyingine ushawahi kujiuliza kwanini kipindi Mtume yuko hai Qur'an ilikuwa haijakusanywa sehemu Moja ?
Tuliza akili Sasa , unarudia maswali. Swali hili nimeshalijibu kwenye swali la kwanza.4. Ikiwa Qur'an haijawahi kubadilika hata herufi moja, kwa nini tunakuwa na matoleo tofauti ya qira’at kama Hafs na Warsh? Na je, tofauti hizi zilitoka wapi?
Nimekuomba ushahidi sijakuomba ngonjeraWakristo mna ujinga mwingi sana, yaani vitu hamvisomi Wala kuvifatilia. Ushahidi upo ndio maana Kuna hiyo fani Qiraat.
Na ndio maana kwetu sisi si ajabu hilo sababu tunasoma na tunajua hilo.
Sasa acha utoto, usinipotezee muda nimekupa sababu. Kama ni porojo kosoa hiyo sababu kwa kuandika sababu nyingine.Sijakuomba porojo, nimekuuliza kwanini zilichomwa moto
Hayo mengine ni porojo tu
Ushahidi nikupe mara ngapi ?Nimekuomba ushahidi sijakuomba ngonjera
Shahidi zipo za kutosha, soma vitabu vilivyo andikwa na Imam Jazari na elimu ya Qiraa, imekunukulia mpaka chain.5. Ikiwa Qur’an ni ile ile kutoka kwa Mtume (s.a.w) hadi sasa, una ushahidi gani wa maandiko ya asili (manuscripts) kutoka karne ya 1 au ya 2 Hijri yanayolingana kwa asilimia 100 na Qur’an ya leo?
Qur'an ina chain inayofika mpaka Mtume.6. Katika historia ya Usahihi wa maandiko (textual criticism), ni kawaida maandiko ya kale kupitia uhakiki wa mabadiliko madogo madogo. Je, Qur’an imetoka vipi kwenye utaratibu huo wa kihistoria kama maandiko mengine ya kale?
Kwamba sijasoma uislamu? Mimi nimezaliwa kwenye family ya Uislamu nimesoma juzuu zote nina elimu ya lugha ya kiarabu, elimu ya majini ,fiqh ,Tuliza akili Sasa , unarudia maswali. Swali hili nimeshalijibu kwenye swali la kwanza.
Hivyo visomo vyote vimepokelewa Toka kwa Mtume, na alivihakiki Mtume.
Shida hujasoma fani ya Qiraat, zaidi umedokoa kwa WAJINGA wenzako mtandaoni pasi na wewe kufanya utafiti.
Wewe unawasikia hao Maimamu wawili Hafsi na Warshi ? Bali wapo wengine nane, kama vile Ibn Kathir, Al Kisai, Ya'kubu, Khalaf, Hamza, Ja'afar na wengine
Sasa kama hata huijui Qur'an, unasemaje umeusoma UISLAMU na umesoma juzuu ?Kwamba sijasoma uislamu? Mimi nimezaliwa kwenye family ya Uislamu nimesoma juzuu zote nina elimu ya lugha ya kiarabu, elimu ya majini ,fiqh ,
Nina elimu ya Uislamu kuliko hata MASHEIKH wako
Sikuukana uislamu kienyeji, ni ndani ya MSIKITI siku ya ijumaa ,moja ya maamuzi Bora kabisa nimewahi kufanya katika maisha yangu
Kama umeshakubali kuwa Yohana mbatizaji anazaliwa na diniBasi sawa kama hivyo ndo unavyoielewa hiyo Aya. Lakini sijaona kama hayo maneno yanaeleza kuhusu uislam.
Twende unavyotaka, hiyo Aya inamaanisha kila mtu anazaliwa akiwa muislam kama mnavyofundisha?
wewe ni punguani kabisa hicho unachokifikilia wewe umekitolea wapi? yan huo mwaka hukuepo umesoma ktk vitabu vya uongo na kweli au ulimsikiliza huyo mpumbavu mwenzako, unaambiwa quran ilikua just modernized kutoka ktk old style kuja ktk printed way et unaanza kuleta pye pye zako. Ok, Bible yako imebadilishwa mara ngapi na kuna machapisho mangapi mpk leo?Acha utapeli kijana
Kwanini Kabla ya 1924 , Quran haikuwa moja na mpaka Leo hizo Quran hazikubaliki
Matini ya Uthman zikowapi ili tuthibitishe hii Quran sio ya juzi
Haya kaulize kwa CHATGPT tena
Na roman ambaye alitoa amri ya kumuua yesu na huyo huyo roman ambaye alikuja kuanzisha dini ya ukristo nae afanywe nini. kumbukA YESU alikua myahudi na pia alikua ana practice dini ya kiyahud, ila wa roma wakaja kumua kwa political reason tu then baada ya kufa, dini ya ukristo yan follower of christ ikaanzishwa. NYIE MLAANIWE PIA KWA KUKOSA UFAHAAMUAliyesanifu huu mpango wa kuunda dini ya kiislam ya waarabu, alaaniwe kwa nguvu zote kokote kule aliko
Na roman ambaye alitoa amri ya kumuua yesu na huyo huyo roman ambaye alikuja kuanzisha dini ya ukristo nae afanywe nini. kumbukA YESU alikua myahudi na pia alikua ana practice dini ya kiyahud, ila wa roma wakaja kumua kwa political reason tu then baada ya kufa, dini ya ukristo yan follower of christ ikaanzishwa. NYIE MLAANIWE PIA KWA KUKOSA UFAHAAMU
We jamaa acha kuchanganya Aya za Biblia na Quran. Biblia haijazungumza kuhusu uislam. Mi sijakubali kwamba yohana kazaliwa na dini. Nasisitiza, mtu anazaliwa akiwa empty.Kama umeshakubali kuwa Yohana mbatizaji anazaliwa na dini
Mimi nakuambia Sasa dini ya mzee Zakaria na mwanawe Yohana ni uislam
Quran 3:38
Pale pale Zakariya akamwomba Mola wake Mlezi, akasema: Mola wangu Mlezi! Nipe kutoka kwako uzao mwema. Wewe ndiye unaye sikia maombi.
Quran 3:39
Alipo kuwa kasimama chumbani akisali, Malaika kamnadia: Hakika Mwenyezi Mungu anakubashiria Yahya, ataye kuwa mwenye kusadikisha neno litokalo kwa Mwenyezi Mungu, na ni bwana na mt'awa na Nabii kwa watu wema.
Onesha wapi pameandikwa Yesu aliuliwa na waroma. Au ndiyo nyie mnaosema mko kwenye kundi la izirael praisers.
Hata kwenye biblia huyo Paulo alitumwaje na roman empire wakati katika kipindi chake dola la warumi lilikua bado halijaupokea ukristo....na ndo kipindi ambacho dola la kirumi lilikua linawatesa wakristo sasa wanawezaje kumtuma Paulo aeneze ukristo wakati wao tu hawajaupokea na walikua wanaupingaNimekuelewa mkuu wewe umeulezea ukristo Kwa njia ya Historia za tawala mbalimbali na Mimi nilielezea ukristo Kwa njia ya Bibilia
Kwan mpaka Yesu anasuburubiwa si kulikuwa na utawala wa rumi, kwa iyo jamaa waliona political threat kama wakiendelea kumuacha jamaa anaendelea kukususanya watu kuona hivyo ilibid awe crucified
Hata kwenye biblia huyo Paulo alitumwaje na roman empire wakati katika kipindi chake dola la warumi lilikua bado halijaupokea ukristo....na ndo kipindi ambacho dola la kirumi lilikua linawatesa wakristo sasa wanawezaje kumtuma Paulo aeneze ukristo wakati wao tu hawajaupokea na walikua wanaupinga