Uislam ndio dini bora

Uislam ndio dini bora

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
8,476
Reaction score
12,666
Muislam hutakiwi kusherekea mwaka mpya. Muislam unatakiwa ujue haya

Kwa Uislamu, miezi mitukufu (Ash-hur al-Hurum) ni miezi minne kati ya miezi kumi na miwili ya kalenda ya Kiislamu ambayo ina heshima maalumu. Miezi hiyo ni:
Dhul-Qa‘dah (ذو القعدة)
Dhul-Hijjah (ذو الحجة)
Muharram (محرم)
Rajab (رجب)

Umuhimu wa miezi mitukufu
Miezi hii imetajwa katika Qur’ani:
“Hakika idadi ya miezi kwa Mwenyezi Mungu ni miezi kumi na miwili… katika hiyo ipo miezi minne mitukufu.”
(Qur’ani 9:36)

Katika miezi hii:
Dhambi zina uzito mkubwa zaidi, hivyo Muislamu anatakiwa ajiepushe sana na maovu.
Matendo mema hulipwa zaidi, kama vile kufunga, kuswali, kutoa sadaka, na dhikri.

Zamani vita viliharamishwa ndani ya miezi hii, isipokuwa kwa kujilinda.

Maelezo mafupi ya kila mwezi

Dhul-Qa‘dah: Mwezi wa maandalizi ya Hija; vita viliharamishwa.

Dhul-Hijjah: Mwezi wa Hija na Iddi ya Adh-ha; una siku kumi bora sana.

Muharram: Mwezi wa kwanza wa mwaka wa Kiislamu; kufunga siku ya ‘Ashura ni Sunnah.

Rajab: Mwezi wa heshima; huhusishwa na tukio la Israa na Mi‘raj kwa wanazuoni weng
 
Ubora wake ni kwenye matokeo (firdaus) au process ya kuuishi (duniani)?
 
𝗗𝗶𝗻𝗶 𝘆𝗮 𝗺𝗮𝗷𝗶𝗻𝗶
Cha ajabu kila siku tunasikia makelele makanisani kondoo wakitolewa mapepo.
Toooooka kwa jiiiiiiiiina la yesu!! Shindwaaaa kwa Jiiiina la yesu.!!

Sasa km uislamu ni dini ya majini inakuwaje hayo majini yawaingie wagalatia tu?
Wapi umewahi kuona au kusikia msikitini wanakemea mapepo ?
Au wagalatia mnaiba mpk majini?! Manake nyie kwa wizi ni balaa.
Serikalini mnaiba kila kukicha. Sasa kwa roho zenu za chuki mkaona muibe mpk majini .
Manina 🤣 🤣
 
Hii miezi yote ilikuwa ya wapagan wa kiarab/quresh.
Nitajie jina la mwezi mmoja hapo ambao haukuwepo kabla ya uislam
 
Cha ajabu kila siku tunasikia makelele makanisani kondoo wakitolewa mapepo.
Toooooka kwa jiiiiiiiiina la yesu!! Shindwaaaa kwa Jiiiina la yesu.!!

Sasa km uislamu ni dini ya majini inakuwaje hayo majini yawaingie wagalatia tu?
Wapi umewahi kuona au kusikia msikitini wanakemea mapepo ?
Au wagalatia mnaiba mpk majini?! Manake nyie kwa wizi ni balaa.
Serikalini mnaiba kila kukicha. Sasa kwa roho zenu za chuki mkaona muibe mpk majini .
Manina 🤣 🤣
Lakini si mnakubali kuwa Majini ni Maislamu:
Shida Iko wapi sasa:
 
Cha ajabu kila siku tunasikia makelele makanisani kondoo wakitolewa mapepo.
Toooooka kwa jiiiiiiiiina la yesu!! Shindwaaaa kwa Jiiiina la yesu.!!

Sasa km uislamu ni dini ya majini inakuwaje hayo majini yawaingie wagalatia tu?
Wapi umewahi kuona au kusikia msikitini wanakemea mapepo ?
Au wagalatia mnaiba mpk majini?! Manake nyie kwa wizi ni balaa.
Serikalini mnaiba kila kukicha. Sasa kwa roho zenu za chuki mkaona muibe mpk majini .
Manina 🤣 🤣
Mtayakemeaje sasa
Mnataka waswali wapi ?
Si ni waumini wenzenu, au nakosea jamani 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom