Uislam ndio dini bora

Uislam ndio dini bora

Muislam hutakiwi kusherekea mwaka mpya. Muislam unatakiwa ujue haya

Kwa Uislamu, miezi mitukufu (Ash-hur al-Hurum) ni miezi minne kati ya miezi kumi na miwili ya kalenda ya Kiislamu ambayo ina heshima maalumu. Miezi hiyo ni:
Dhul-Qa‘dah (ذو القعدة)
Dhul-Hijjah (ذو الحجة)
Muharram (محرم)
Rajab (رجب)

Umuhimu wa miezi mitukufu
Miezi hii imetajwa katika Qur’ani:
“Hakika idadi ya miezi kwa Mwenyezi Mungu ni miezi kumi na miwili… katika hiyo ipo miezi minne mitukufu.”
(Qur’ani 9:36)

Katika miezi hii:
Dhambi zina uzito mkubwa zaidi, hivyo Muislamu anatakiwa ajiepushe sana na maovu.
Matendo mema hulipwa zaidi, kama vile kufunga, kuswali, kutoa sadaka, na dhikri.

Zamani vita viliharamishwa ndani ya miezi hii, isipokuwa kwa kujilinda.

Maelezo mafupi ya kila mwezi

Dhul-Qa‘dah: Mwezi wa maandalizi ya Hija; vita viliharamishwa.

Dhul-Hijjah: Mwezi wa Hija na Iddi ya Adh-ha; una siku kumi bora sana.

Muharram: Mwezi wa kwanza wa mwaka wa Kiislamu; kufunga siku ya ‘Ashura ni Sunnah.

Rajab: Mwezi wa heshima; huhusishwa na tukio la Israa na Mi‘raj kwa wanazuoni weng
IMG_1503.jpeg
IMG_1347.jpeg
 
Kwani nani kawalazimisha kusherekea???
 
Kama shetani tu nae ni muislam na majini pia nayo ni maislam kwa nn isiwe dini bora kabisa
 
Huwa naheshimu sana dini za watu.
Inaonekana sherehe unayosherekea ipo kwenye kitabu chenu cha quaran na hadithi.

SWALI: 1. SHEREHE YA MAULID IMEANDIKWA KWENYE KITABU GANI AU HADITHI IPI (kumbuka shia na suna wote ni waislamu lakini wanatofautiana siku ya kusherehekea maulid )

2. na kama haipo kwenye maandiko tuiite ni haramu?

ushauri

1. siku kuu na miandamo ya mwezi haitakupeleka kwa mwenyezi wako

2. wanaomjua MUNGU hawako chini ya sheria bali wanaongozwa na amri za MUNGU.

3. Acha kuhangaika na imani za watu, tupo nyakati za mwisho kila mtu anaelekea kuchanganyikiwa na ni swala la muda

4. ishini katika upatanishi na si uchonganishi.

5. utahukumiwa kutokana na kile unachokiamini, acha kuvuruga imani za watu.

6. unaweza kuta unaiishi hyo miezi, huli kitimoto lakn we ni mzinzi na mfiraji na muongo, siku ya kiyama utakiona cha moto (TUBU, ACHA KUJIDANGANYA NA KANZU)
 
Dini bora ni ile inayohubiri upendo na haki kwa watu wote. Ni ile inayokuguarantee mahali utaenda baada ya maisha ya hapa duniani.

Kinyume na hapo hiyo dini haina uhalali wa kujiita ati ni bora
 
Cha ajabu kila siku tunasikia makelele makanisani kondoo wakitolewa mapepo.
Toooooka kwa jiiiiiiiiina la yesu!! Shindwaaaa kwa Jiiiina la yesu.!!

Sasa km uislamu ni dini ya majini inakuwaje hayo majini yawaingie wagalatia tu?
Wapi umewahi kuona au kusikia msikitini wanakemea mapepo ?
Au wagalatia mnaiba mpk majini?! Manake nyie kwa wizi ni balaa.
Serikalini mnaiba kila kukicha. Sasa kwa roho zenu za chuki mkaona muibe mpk majini .
Manina 🤣 🤣
Mnayafunga na yanakaa ndani yenu bila kuyatoa alf unaona ni sawa
 
Mtayakemeaje sasa
Mnataka waswali wapi ?
Si ni waumini wenzenu, au nakosea jamani 🤣🤣🤣
Sasa vipi jirani aweke mbuzi halafu wewe ukachunge porini?
Wagalatia ndio wenye majini.
Kila weekend mnaenda kuyakemea tena kwa malipo.
Sisi waislamu kimyaa. Huwezi kusikia eti shehe anasema tooooka tooooka pepo mchafu

Sasa km nyie Wagalatia hamna majini huwa mnakemea hewa au? 🤣🤣
 
Muislam hutakiwi kusherekea mwaka mpya. Muislam unatakiwa ujue haya

Kwa Uislamu, miezi mitukufu (Ash-hur al-Hurum) ni miezi minne kati ya miezi kumi na miwili ya kalenda ya Kiislamu ambayo ina heshima maalumu. Miezi hiyo ni:
Dhul-Qa‘dah (ذو القعدة)
Dhul-Hijjah (ذو الحجة)
Muharram (محرم)
Rajab (رجب)

Umuhimu wa miezi mitukufu
Miezi hii imetajwa katika Qur’ani:
“Hakika idadi ya miezi kwa Mwenyezi Mungu ni miezi kumi na miwili… katika hiyo ipo miezi minne mitukufu.”
(Qur’ani 9:36)

Katika miezi hii:
Dhambi zina uzito mkubwa zaidi, hivyo Muislamu anatakiwa ajiepushe sana na maovu.
Matendo mema hulipwa zaidi, kama vile kufunga, kuswali, kutoa sadaka, na dhikri.

Zamani vita viliharamishwa ndani ya miezi hii, isipokuwa kwa kujilinda.

Maelezo mafupi ya kila mwezi

Dhul-Qa‘dah: Mwezi wa maandalizi ya Hija; vita viliharamishwa.

Dhul-Hijjah: Mwezi wa Hija na Iddi ya Adh-ha; una siku kumi bora sana.

Muharram: Mwezi wa kwanza wa mwaka wa Kiislamu; kufunga siku ya ‘Ashura ni Sunnah.

Rajab: Mwezi wa heshima; huhusishwa na tukio la Israa na Mi‘raj kwa wanazuoni weng
Dini ya copy na kupest, Quran inataja idadi ya miezi 12 ambayo warumi waliitumia kabla ya hiyo koran
 
Teh teh teh
Yaani Majini tufuge sisi waislamu ndani ya miskiti halafu
Kuyatoa myatoe nyinyi makanisani.
We kweli kandanda
Whatever
Jini linikaa kwa yoyote
Ila kibaya ni yule aliyenalo na hajui na limekaa kimya
 
Hio nakubali bila shaka.
Tatizo ni kwamba wenzetu wagalatia wanaimani majini yanafugwa na waislamu kama unavyofuga kuku au mbuzi
Cha ajabu sasa wao ndio wanaokemea hayo majini kila siku makanisani huku wanakusanya fungu la kumi.
Hao waislamu wanaodaiwa kuwa wanafuga majini wako kimyaa.
Hapo ndipo ninaposhindwa kushangaa.
 
Huwa naheshimu sana dini za watu.
Inaonekana sherehe unayosherekea ipo kwenye kitabu chenu cha quaran na hadithi.

SWALI: 1. SHEREHE YA MAULID IMEANDIKWA KWENYE KITABU GANI AU HADITHI IPI (kumbuka shia na suna wote ni waislamu lakini wanatofautiana siku ya kusherehekea maulid )

2. na kama haipo kwenye maandiko tuiite ni haramu?

ushauri

1. siku kuu na miandamo ya mwezi haitakupeleka kwa mwenyezi wako

2. wanaomjua MUNGU hawako chini ya sheria bali wanaongozwa na amri za MUNGU.

3. Acha kuhangaika na imani za watu, tupo nyakati za mwisho kila mtu anaelekea kuchanganyikiwa na ni swala la muda

4. ishini katika upatanishi na si uchonganishi.

5. utahukumiwa kutokana na kile unachokiamini, acha kuvuruga imani za watu.

6. unaweza kuta unaiishi hyo miezi, huli kitimoto lakn we ni mzinzi na mfiraji na muongo, siku ya kiyama utakiona cha moto (TUBU, ACHA KUJIDANGANYA NA KANZU)
Tupate Wazamini Kidogo toka Studio live toka Talaban
 
Attachments

  • ssstwitter.com_1767062620059.mp4
    4.6 MB
  • ssstwitter.com_1767093749201.mp4
    6.4 MB
  • ssstwitter.com_1766833309598.mp4
    3.7 MB
  • ssstwitter.com_1766427498472.mp4
    3 MB
Hio nakubali bila shaka.
Tatizo ni kwamba wenzetu wagalatia wanaimani majini yanafugwa na waislamu kama unavyofuga kuku au mbuzi
Cha ajabu sasa wao ndio wanaokemea hayo majini kila siku makanisani huku wanakusanya fungu la kumi.
Hao waislamu wanaodaiwa kuwa wanafuga majini wako kimyaa.
Hapo ndipo ninaposhindwa kushangaa.
Ni makosa ya kimtizamo
 
Back
Top Bottom